Sumaye haeleweki anachosimamia

Sumaye haeleweki anachosimamia

Tamaa nilianza kuiona kwa sumaye
pale alipokaribia kustaafu
Akafosi na akafanikiwa kujiongezea posho na marupurupu ya wazir mkuu atakapostaafu

Yeye kama Waziri mkuu hawezi kujiongezea, zungumza jambo jingine.
Ya mambo yanaamuliwa na Bunge ni Sheria iliyotungwa na bunge lako.
Usiseme alijipangia, tafuta jambo lingine
 
Haina uhusiano na hoja yangu kama vipi anzisha uzi wa kudai hizo pesa, mi namwambia huyu mwizi Sumaye arudishe ardhi za wanyonge.
Umeona ni kwa kiasi gani ulivyokuwa zwazwa..kwani zile pesa sio za wanyonge???
 
Eti amehamia upinzani kwa kuwa hawana safu yenye uzoefu na makini kiuongozi,huyo ndio Sumaye katika ubora wake.Hivi ana jambo gani la kujivunia alilofanya kwenye uongozi wake katika nchi hii kushawishi hadhira kuwa ni kiongozi bora.For me he is a bogus one.

Alikuwa naibu wa Maokola Majogo baada ya Miaka miwili akawa Waziri Mkuu ni kwamba alikuwa Muaminifu sana tena sana mpaka sasa ni Waziri Mkuu pekee aliyekaa Miaka 10 tangia Uhuru.
Wewe una nafasi gani?
 
Bandiko limesema ni wanufaika wa mfumo wa CCM; kwa nini wanaushambulia? Jibu langu ni kwa vile ni mfumo usio wa haki unaoneemesha ufisadi. Unganisha. Naona Manji na Bakhresa hujawataja.

Kwa hiyo wote waliotajirika au kujikomboa kiuchumi ndani ya utawala wa CCM ni mafisadi walioneemeshwa na mfumo usio wa haki wa CCM? Kuwataja Mbowe na Mwenzie, Nilikusidia kumulika wale waliofanikiwa kupitia huo mfumo bila kuwa watawala ndani ya chama tawala lakini hapo hapo wanaupinga huo mfumo.
Pia kuna mamilioni ya watu ambao wako vizuri kiuchumi ambao wamekuza uchumi wao ndani ya huohuo mfumo.
Sijui unasemaje kuhusiana na hilo?
 
Sumay kama wewe anadimamia miguu.au ulitaka asimamie kichwa?
 
Mpaka sasa katika timu zote za Wagombea anayeshusha nondo nzuri ni Bwana F.Sumaye,sio kama watu wengine kwenye Kampeni eti nivue shati nisivueeeee!!!!Kifimbo oyeeeee!!!.CCM OUT
hahahahaa Sumaye gani kama ni yule Mr ZERO usijidanganye kijana.....Suma na Edo ni Pwagu na Pwaguzi
 
Hakuna jitu jinga duniani kama Sumaye, ngoja baada ya oct 25 atakula mavi yake.
Pamoja na ushabiki wote wa kisiasa na kama unazijua siasa hasa za Tanzania, na dunia kote, huwezi kumtukana mtu kiasi hicho hasa mawaziri wakuu waliopita na binadamu yeyote katika medani za kisiasa vingnevyo unatumika na pia huna akili timamu, Tanzania ni nchi ya mfumo wa vyama vingi na hakuna aliyezaliwa kuwa mpinzani na walioko upinzani wote walikuwa na kadi za ccm chama chetu, kila mwanaccm ana haki ya kujiunga na upinzani kama anadhani anaweza kuwatetea watanzania na yy mwenyewe akiwa nje ya ccm au chama chochote cha upinzani na akiwa upinzani au ccm hawezi kusifia kule alikotoka kwani vingnevyo hakuwa na haja ya kutoka chama kimoja kwenda kingne na anayefanya hivyo watanzania wanasema amenunuliwa naahasimu wao.
Nadhan FS na wenzake wote upande wa upinzani wanahaki kwa kile wanachokisema imradi hawavunji sheria za nchi, na hata mpande wa chama chetu ccm wanasema na wanawasema wapinzani madhaifu yao, thats politics,washabiki,wapenzi wa vyama na wagombea tunatakiwa tuwe na akili zaidi ya wafanye siasa zaidi. Hakuna mwanasiasa ambaye sio mpenda madaraka na ni hulka ya kiumbe hai yeyote yule, binadamu anahitaji kutambuliwa,kuthaminiwa na kuwa maisha mazuri. Na siasa za Tanzania mwanasiasa ndo tajiri kuliko mhadhiri, daktari hata akiwa bingwa,uinginia na wataalamu wote hawana kitu ukilinganisha na mwanasiasa
Huwezi kutumia lugha chafu kiasi hicho kwa viongozi wakuu wa nchi hii hasa wastaafu hasa kwa mambo ambayo ni ya kisiasa.
Naamini hakuna binadamu yeyote yule asiyetaka madaraka yenye tija kwake, vingnevyo hata upande wetu wa ccm kusingekuwa na wagombea wa nafasi zote.
 
Kwani yeye Sumaye anawaza tumbo la nani sasa? alisema ccm ikimpitisha fisadi lowasa kuwa mgombea atahama chama! sasa kamfuata huko huko baada ya kununuliwa tena kwa bei ndogo inayomdhalilisha kabisa na yeye ndio amepewa kibarua cha kumsafisha huyo aliyemchafua kwa kumuita fisadi. Lowasa anawachezea akili sana watu wenye njaa kali.

Alisema CCM ikipitisha Fisadi atahama. Hakusema Lowasa collect?
Na sasa amehama baada ya ccm kumpiymtisha fisadi Magufuli alafu mafisadi wenzake ndiyo wako mstari wa mbele kumkampeni kam Andrew Chenge Tibaijuka Muhongo na wengine wengi @_@ kweli tuko serious?
 
Sumaye aliachwa aendelee japo alikuwa ziro ili kukwepa gharama za kuwalipa mawaziri wakuu wastaafu wengi.Kwa uziro wake hata TAMISEMI ilisitishwa kuwa chini ya PM mpaka lilivoondolewa.

Hakuondolewa Collect? alimaliza muda wake sawa?
pili unaposema hawakumuondoa nashikwa na Ukakasi, inamaana mtu anaweza kuwa anaharibu alafu anaachwa eti kwa sababu ya kuogopa gharama???
Sidhani mtu mwenye akili timamu kama mimi unaweza kunishawishi kwa hilo.
Tafuta njia nyingine
 
Back
Top Bottom