Sumaye haeleweki anachosimamia

Sumaye haeleweki anachosimamia

Ni wazi kuwa walifanikiwa kutokana na mfumo huo kutokuwa wa haki na unaoneemesha ufisadi. Huo ndio mfumo walioamua kuusaliti leo hii. Ni wakati wa CCM kujuta kulea wasaliti hao hadi wamefikia hatua ya kukiletea chama kashkash kiasi hiki. Hili ni somo muhimu. Wenzenu wanasema there is no honour among thieves.

Ndesamburo na Mbowe nao walikuwa mafisadi?
 
this time ni madaliko kuanzia raisi ubunge na udiwani wacha wampizike
 
kwa kweli nimekuwa najiuliza alikuwaje pm kwa miaka 10? Ni mnafiki, mbeya, na muongo.
Eti pale kawe akasema eti sisiemu walituahidi maisha bora ila mpaka sasa bado, kweli? Hii kitu ni ya yeye kusema hivyo? Nimemdharau sana huyu babu. Yeye kawa pm wa sisiemu juzi juzi tu kwa miaka 10, leo anaongea pumba!
usishangae ndio maana anaitwa sifuri
 
huyu jamaa amejidhalilisha sana,amekuwa icon ya unafiki na uchu wa madaraka,atajuta sana baada ya october

Hiki ni kipindi cha kampeini,kwa ujumla maccm yamepoteana ndio maana wamekuwa ni watu wanaotegemea zaidi nguvu ya wasanii,malori bika kusahau matusi
 
Mimi huwa simuelewi anayoyaongea ,mfano akieleza kuwa ccm haijawafanyia kitu wananchi basi miongon wa kuwalaumu ni yeye kwakuwa alikuwa miongoni mwao tena PM ,ndio maana kiongozi mmoja mstaafu akaamua kuwaita malofa, neno
h
alikuwahusu wana chadema wote ,sasa nawao wameamua kujiita hivyo,

Mfumo mbovu was fisiem ndo unaodumaza nchi hi I,ila baada ya 25/10 tutakuwa tumeuzika rasmi
 
Kwa kweli nimekuwa najiuliza alikuwaje pm kwa miaka 10? ni MNAFIKI, MBEYA, na MUONGO.
Eti pale kawe akasema eti sisiemu WALITUAHIDI maisha bora ila mpaka sasa bado, kweli? hii kitu ni ya yeye kusema hivyo? NIMEMDHARAU sana huyu babu. Yeye kawa pm wa sisiemu juzi juzi tu kwa miaka 10, leo anaongea pumba!

umesahau magufuri yuko serikalini lakini bado anashangaa watu wanauziwa dawa, viwanda vimekufa mgawo wa umeme, kila kitu anashangaa fisadi anashangaa nayeye yumo humohumo kwenye ccm sumaye alikuwa pm miaka kumi iliyopita
 
Sio amejidhalilisha tu - ni mmoja wa watu waliotupotezea miaka kumi yetu Watanzania. Magufuli akiingia madarakani asiwaache watu kama hawa. Kumbe walivyokuwa madarakani walijua kabisa hakuna wanachokifanya (kama anavyohubiri yeye mwenyewe) - ila waling'ang'ania tu kubebwa na mabenzi na kuchukua mishahara ambayo sisi tunailipia kodi - wakati hakuna wanacho deliver kwa ajili ya Watanzania.

Kwahiyo unakili kuwa serikali ya ccm hakuna kitu ilicho deliver?😆😆 asante sana kwa kurufumbua macho ndio maana tumeamua kuifuta kabisa ccm
 
Niliwahi kumsikia akisema kwamba yeye na Mh.Mkapa walikuwa anafanya mambo yao kimya kimya bila ya kuhitisha press conferences au kujitapa tapa,aliongezea kusema watumishi wabovu wengi walikuwa wahachishwa kazi kimya kimya,pamoja na mapungufu ya hapa na pale ya Mh.Sumaye mambo mengine nakubaliana nae - wakati wa uongozi wa Mh.Mkapa Taifa letu lilirudisha heshima na kuweza kuaminiwa tena na wafadhili, mambo ya rushwa lakini hayakuwa na kasi na kiwango cha hivi sasa -hali inatisha kweli kweli PCCB hipo hipo tu kwa jina wanakazania kuwashika dagaa lakini hawana ubavu wa kuwashtaki ma mafia na waharifu sugu sasa hapo nashindwa kuelewa kama wanakwama kutokana na shinikizo la kisiasa au nini sijui! Mh.Magufuli akibahatika kushika madaraka sekta hii anapaswa kuifumua na kuihunda upya na ahakikishe ma CEO wanakuwa madarakani kwa term moja tu ya miaka mitano.

Narudia kusema Mh.Mkapa na Mh.Sumaye Taifa letu waliliweza sana Kiuchumi na kinidhamu,kiongozi atakaye kuja anapaswa kuhiga na sehemu nyingine kuboresha zaidi ya Mh.Mkapa na Sumaye-we need a semi-dictator to run our Country ili aweze kurudisha nidhamu katika sekta ZOTE.

Lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa
 

Attachments

  • 1443860663251.jpg
    1443860663251.jpg
    46 KB · Views: 70
Ndivyo mlivyo maccm mnawazaga matumbo yenu tu!

Kwani yeye Sumaye anawaza tumbo la nani sasa? alisema ccm ikimpitisha fisadi lowasa kuwa mgombea atahama chama! sasa kamfuata huko huko baada ya kununuliwa tena kwa bei ndogo inayomdhalilisha kabisa na yeye ndio amepewa kibarua cha kumsafisha huyo aliyemchafua kwa kumuita fisadi. Lowasa anawachezea akili sana watu wenye njaa kali.
 
Sio wewe tu mtoa mada ambae huelewi, hata Jakaya hajaelewa bado.
It's a complicated movie without subtitles...hard for pro CCM to understand.
However October 25 utaelewa, ukishindwa kuelewa utaona, usipoona utasikia.

TO HELL CCM.

Tunajiandaa kuwapa mkono wa buriani ccm
 

Attachments

  • 1443860893541.jpg
    1443860893541.jpg
    67.8 KB · Views: 65
Back
Top Bottom