Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
CCM mtuambie MWANYANGE kawakosea nini mpaka kuamua kumfanyia mlivyomfanyia!???.
Kafanywa nini na nani?
CCM mtuambie MWANYANGE kawakosea nini mpaka kuamua kumfanyia mlivyomfanyia!???.
Ni katika mazingira yapi ambamo Mbowe na Ndesamburo walitajirikia?
Urithi. Chimbuko lao walikuwa manyapara wa kikoloni. Na bado huwezi kulinganisha utajiri wa watu wa kuhesabika wakati majority ni maskini wa kutupwa. Jifunze uchumi
Aliyempa jina la Mr Zero alimtendea haki.huyu jamaa amejidhalilisha sana,amekuwa icon ya unafiki na uchu wa madaraka,atajuta sana baada ya october
Aliondoa deni la Taifa na kufikia tilioni 6.8 Mkwere kalipaisha na kufikia tillion 48 hapo nadhani utajua yupi alikuwa mwadilifu.
Mbona pinda kaweza kuwa pm kwa miaka nane na sumaye in strong zaidi kuliko Linda mzee wa kulialia!Kwa kweli itabidi tushangae pia mtu kma hyu aliwezaje kuwa pm kwa kipindi kirefu hicho
huyu jamaa amejidhalilisha sana,amekuwa icon ya unafiki na uchu wa madaraka,atajuta sana baada ya october
Kwa hiyo wote waliotajirika au kujikomboa kiuchumi ndani ya utawala wa CCM ni mafisadi walioneemeshwa na mfumo usio wa haki wa CCM? Kuwataja Mbowe na Mwenzie, Nilikusidia kumulika wale waliofanikiwa kupitia huo mfumo bila kuwa watawala ndani ya chama tawala lakini hapo hapo wanaupinga huo mfumo.
Pia kuna mamilioni ya watu ambao wako vizuri kiuchumi ambao wamekuza uchumi wao ndani ya huohuo mfumo.
Sijui unasemaje kuhusiana na hilo?
huyu jamaa amejidhalilisha sana,amekuwa icon ya unafiki na uchu wa madaraka,atajuta sana baada ya october
Kwa kweli nimekuwa najiuliza alikuwaje pm kwa miaka 10? ni MNAFIKI, MBEYA, na MUONGO.
Eti pale kawe akasema eti sisiemu WALITUAHIDI maisha bora ila mpaka sasa bado, kweli? hii kitu ni ya yeye kusema hivyo? NIMEMDHARAU sana huyu babu. Yeye kawa pm wa sisiemu juzi juzi tu kwa miaka 10, leo anaongea pumba!
Ni katika mazingira yapi ambamo Mbowe na Ndesamburo walitajirikia?
Utajiri wa kurithi kutoka Ukoloni? Acha kudanganya watu, hujui chochote kuhusiana na utajiri wa hao watu. Kwa hiyo watu wote waliofanikiwa na kuboresha uchumi wao binafsi walirithi toka zama za ukoloni?
Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini (Chadema), Philemon Ndesambro, amewataka wakazi wa Moshi kutoogopa kukopa fedha kwenye taasisi za fedha nchini kwa sababu, hata yeye amekuwa akikopa kuendesha biashara zake.
Siri hiyo ya Ndesamburo ambaye anamiliki vitega uchumi mbalimbali nchini, ikiwamo Hoteli za kitalii na Kampuni ya Utalii ya Keys miji ya Moshi na Dar es Salaam, alisema kinachotakiwa ni nidhamu katika urejeshaji mikopo hiyo.
Ndesamburo alitoa kauli hiyo juzi mjini Moshi, wakati akifungua mkutano wa tano wa Chama cha Akiba na Mikopo (Saccos) cha Usharika wa Karanga wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini.
Msiogope kukopa na baada ya kukopa lazima mkumbuke kurejesha mkopo kwa uaminifu hii ndio siri ya utajiri na hata mimi ninatumia mikopo kufanya biashara zangu kwa mafanikio, alisisitiza.
Mbunge huyo alitaka uongozi wa Saccos hiyo kuangalia uwezekano wa kuanzisha idara maalumu ya wataalamu wa masuala ya ujasiriamali, ambao watakuwa na wajibu wa kutoa mafunzo na ushauri kwa kila mkopaji.
Katika taarifa yake kwa mbunge huyo, Mwenyekiti wa chama hicho, Humphrey Urassa, alisema chama hicho kinakabiliwa na changamoto ya kusaidia makundi maalumu, wakiwamo wajane, yatima na walemavu.
Urassa alisema kama wangepata ufadhili wa Sh10 milioni kutoka kwa mbunge huyo na wengine, wangeweza kukopesha makundi hayo maalumu kwa sababu hayana uwezo wa kununua hisa wala kuweka akiba.
Akijibu maombi hayo, Ndesamburo aliahidi kukisaidia chama hicho fedha, lakini akakataa kutaja kiwango zaidi aliwataka viongozi wa chama hicho kukutana naye ofisini kwake ili kukubaliana jinsi atakavyosaidia.
Wewe ulikuwa wapi wakati wa Mbowe Club?
baba yake Mbowe anamiliki Mali tangua zamani sana unaonekana ni Mgeni sana ww?
Naona ndio umeipata hoja. Naijua Historia ya Mbowe vyema sana , Baba yake alikuwa na uwezo enzi hizo na alimsponsor hata Nyerere kipindi fulani, lakini ilikuwa enzi hizo. Mbowe Club si kitu cha ajabu kwani kila mtu aliekulia Dar tangu enzi hizo, haiwezi kuwa kitu kigeni kwake. Mazingira yasingekuwa favourable kwa mtu alie na juhudi kujikwamua kiuchumi, hiyo club isingekuwapo na kudumu mpaka leo. Unajua Mbowe amewahi kufanya kazi BOT?
Haya maelezo yako bado hayajitosherezi kuonyesha walipata wapi utajiri.
Kama hujui kaa kimya
Kwa kweli nimekuwa najiuliza alikuwaje pm kwa miaka 10? ni MNAFIKI, MBEYA, na MUONGO.
Eti pale kawe akasema eti sisiemu WALITUAHIDI maisha bora ila mpaka sasa bado, kweli? hii kitu ni ya yeye kusema hivyo? NIMEMDHARAU sana huyu babu. Yeye kawa pm wa sisiemu juzi juzi tu kwa miaka 10, leo anaongea pumba!