nyoka wa makengeza Sumaye kamwe hawezi kujuta kwani amejitambua na ameamua kuwapatia watanzania mabadiliko wanayoyataka nje ya mafisiemu.
huyu jamaa amejidhalilisha sana,amekuwa icon ya unafiki na uchu wa madaraka,atajuta sana baada ya october