Sumaye haeleweki anachosimamia

Sumaye haeleweki anachosimamia

Mgombea wenu mwenyewe analaumu na kushangaa sasa hapo cha ajabu nini? semeni tu hamjui nchi inaendeshwaje mnambwelambwela tuuuu

Jamaa analia lia kweli sasa kama rais analia lia atawezaje kuongoza nchi
 
Eti amehamia upinzani kwa kuwa hawana safu yenye uzoefu na makini kiuongozi,huyo ndio Sumaye katika ubora wake.Hivi ana jambo gani la kujivunia alilofanya kwenye uongozi wake katika nchi hii kushawishi hadhira kuwa ni kiongozi bora.For me he is a bogus one.

Amejitambua na kuamua kutoka kwenye chama cha majizi
 
Kusaidia ukombozi ni kujidhalilisha? mwacheni Sumaye awapiganie wanyonge .Binafsi nampongeza sana kw kujitenga na wanafiki.

Tupo wengi tunao mpongeza sumaye kwa uamuzi wa kijasili
 
Kama siyo Ukatuni wa CCM na Mkapa ilikuwaje awe PM muda wote huo.

Sumaye aliachwa aendelee japo alikuwa ziro ili kukwepa gharama za kuwalipa mawaziri wakuu wastaafu wengi.Kwa uziro wake hata TAMISEMI ilisitishwa kuwa chini ya PM mpaka lilivoondolewa.
 
wewe unadhani Sumayi ni mpuuzi kama wewe mleta mada,awe ndani ya ccm asiwe baada ya uchaguzi,still anapata pension zake kama waziri mkuu mstaafu haijalishi yupo wapi,maisha yake yanaendelea,wewe usie jitambua ndo unamatatizo.

Mkuu ma ccm yanalopoka tu maana hata hizi post yanaandaliwa toka lumumba
 
vijana wa ccm bwana hamuoni ha makufuri analalamikia ccm kuwa ndo imetufikisha hapa tulipo majizi na majambaz!
 
Kwa kweli nimekuwa najiuliza alikuwaje pm kwa miaka 10? ni MNAFIKI, MBEYA, na MUONGO.
Eti pale kawe akasema eti sisiemu WALITUAHIDI maisha bora ila mpaka sasa bado, kweli? hii kitu ni ya yeye kusema hivyo? NIMEMDHARAU sana huyu babu. Yeye kawa pm wa sisiemu juzi juzi tu kwa miaka 10, leo anaongea pumba!

Kuwa PM hakumuondolei haki ya ku-Challenge maana kama anachoongea ni ukweli kwanini asiseme?
kama una hoja lete tuamboe maendeleo hayo.
Rais Olusugon Ubasanjo alikuwa Rais wa Nigeria kwa Miaka 10 kupitua PDP lakini alikuwa wa kwanza kuchana kadi ya PDP na kukiponda sana na akajiunga na Hasimu wake wa muda mrefu
Na wameshinda sasa haya naneno yenu yasiyo na tija kwa Taifa yanatoka wapi?
 
karibuni kwenye Cha-ndimu upigwe tobo mpaka kanzu hahahahaha umetumwa wewe sio bure,tulia unyoshwe nyambafu,mwambie kifimbo aje cha-ndimu
 
Kwani yeye Sumaye anawaza tumbo la nani sasa? alisema ccm ikimpitisha fisadi lowasa kuwa mgombea atahama chama! sasa kamfuata huko huko baada ya kununuliwa tena kwa bei ndogo inayomdhalilisha kabisa na yeye ndio amepewa kibarua cha kumsafisha huyo aliyemchafua kwa kumuita fisadi. Lowasa anawachezea akili sana watu wenye njaa kali.
Sumaye kwa sasa anawaza kuwakomboa watanzania na sio kulikomboa tumbo lake tatizo maccm mnawaza mavikuchu yenu tu yajae..ya wananchi wala hamna mda nayo!
 
Mimi huwa simuelewi anayoyaongea ,mfano akieleza kuwa ccm haijawafanyia kitu wananchi basi miongon wa kuwalaumu ni yeye kwakuwa alikuwa miongoni mwao tena PM ,ndio maana kiongozi mmoja mstaafu akaamua kuwaita malofa, neno halikuwahusu wana chadema wote ,sasa nawao wameamua kujiita hivyo,

Neno hilo linakuhusu hata wewe ila kwakuwa hujitambui unaona wanachadema.
Huyo kiongozi anatuona Malofa kwakuwa tulimchagua tusingemchagua asingethubutu.
Hata magufuli alisema tupige mbizi na kupaka kinyesi kiwe lami kwa sababu tulimpatia pa kusemea.
Sasa hivi hatuhitaji ahadi yoyote tena.
 
Huku na yy akijua ni mr.zero
na pia anataka tena awe kiongozi maana maneno yke mwenyewe kasema ukahawa hawana uzoefu..yy ameenda kutumia uzoefu wake ambao unajulikana kwa ubazilifu na unyonyaji..

Hivi kuna mnyonyaji kama Ridhiwan?
Na mzee wa Msoga vipi?
 
Magamba acheni kutapatapa na porojo zenu,anachosimamia sumaye ni kimoja tu kuhakikisha utawala wa magamba unaondoka madarakani,kutokana na kushindwa kusimamia msingi wa kuwepo kwao madarakani,sera mbovu,umaskini,uchumi unaoyumba yote ni matunda ya magamba,hoja za sumaye kuwepo au kutokuwepo serikalini haziwezi kuondoa ukweli kuwa kama taifa magamba wametufikisha hapa tulipo,hatuhitaji kuhubiriwa ukweli huu na sumaye,unless uwe unafikiri kwa kutumia makalio ndio utapingana na huu ukweli,bahati mbaya magamba mnashindwa jambo kutueleza kwa nini tuendelee kuwaamani baada ya kushindwa for fifty years,najua hamna hoja za msingi kutushawishi,badala yake mmekimbilia matusi na kejeli dhidi ya lowassa na ukawa.but hakuna atakayezuia wimbi la mabadiliko siyo ndoto ya mchana kama mnavyojidanganya but hii ndo hali halisi,ukiacha propaganda zenu kwenye mitandao huko mitaani tunakoishi hali halisi inajulikana.safari hamna pa kutokea.hata hilo bao la mkono hamtafanikiwa.you cant fool all the peoples at all the time.its the time for change.
 
Wewe je una akili kwa kudanganywa miaka 53 na bado hauja shituka?
tatizo unajua Tanzania tu ndiyo shida hiyo.

Miaka 53 gani niliodanganywa wakati ccm imeanza mwaka 1977 na mimi nimezaliwa 1980! sasa hata hesabu hujui unapelekwa tu kama ling'ombe! Lowasa out.....!
 
Sumaye kwa sasa anawaza kuwakomboa watanzania na sio kulikomboa tumbo lake tatizo maccm mnawaza mavikuchu yenu tu yajae..ya wananchi wala hamna mda nayo!

Sumaye arudishe mahekari ya ardhi kule mvomero na nyumba zaidi ya 5 alizonunua kwa bei ya kutupa, na atuambie miaka 10 Ya u PM wake alishindwaje kutukomboa maskini badala yake akapora mali na ardhi za wanyonge!?
 
Sio amejidhalilisha tu - ni mmoja wa watu waliotupotezea miaka kumi yetu Watanzania. Magufuli akiingia madarakani asiwaache watu kama hawa. Kumbe walivyokuwa madarakani walijua kabisa hakuna wanachokifanya (kama anavyohubiri yeye mwenyewe) - ila waling'ang'ania tu kubebwa na mabenzi na kuchukua mishahara ambayo sisi tunailipia kodi - wakati hakuna wanacho deliver kwa ajili ya Watanzania.

Aliondoa deni la Taifa na kufikia tilioni 6.8 Mkwere kalipaisha na kufikia tillion 48 hapo nadhani utajua yupi alikuwa mwadilifu.
 
Back
Top Bottom