Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,551
huyu jamaa amejidhalilisha sana,amekuwa icon ya unafiki na uchu wa madaraka,atajuta sana baada ya october
Asubiri ataipata fresh ya shamba
huyu jamaa amejidhalilisha sana,amekuwa icon ya unafiki na uchu wa madaraka,atajuta sana baada ya october
Kwa kweli nimekuwa najiuliza alikuwaje pm kwa miaka 10? ni MNAFIKI, MBEYA, na MUONGO.
Eti pale kawe akasema eti sisiemu WALITUAHIDI maisha bora ila mpaka sasa bado, kweli? hii kitu ni ya yeye kusema hivyo? NIMEMDHARAU sana huyu babu. Yeye kawa pm wa sisiemu juzi juzi tu kwa miaka 10, leo anaongea pumba!
huyu jamaa amejidhalilisha sana,amekuwa icon ya unafiki na uchu wa madaraka,atajuta sana baada ya october
Mpaka sasa katika timu zote za Wagombea anayeshusha nondo nzuri ni Bwana F.Sumaye,sio kama watu wengine kwenye Kampeni eti nivue shati nisivueeeee!!!!Kifimbo oyeeeee!!!.CCM OUT
Yeye Sumaye, Lowassa, Mbowe, Mtei, Ndesamburo, Mengi, Bakhressa, Manji, na wengine wengif tu walifanikiwa vipi chini ya huo mfumo wa CCM ambao Sumaye anaukosoa?
huyu jamaa amejidhalilisha sana,amekuwa icon ya unafiki na uchu wa madaraka,atajuta sana baada ya october
Sio amejidhalilisha tu - ni mmoja wa watu waliotupotezea miaka kumi yetu Watanzania. Magufuli akiingia madarakani asiwaache watu kama hawa. Kumbe walivyokuwa madarakani walijua kabisa hakuna wanachokifanya (kama anavyohubiri yeye mwenyewe) - ila waling'ang'ania tu kubebwa na mabenzi na kuchukua mishahara ambayo sisi tunailipia kodi - wakati hakuna wanacho deliver kwa ajili ya Watanzania.
Mpaka sasa katika timu zote za Wagombea anayeshusha nondo nzuri ni Bwana F.Sumaye,sio kama watu wengine kwenye Kampeni eti nivue shati nisivueeeee!!!!Kifimbo oyeeeee!!!.CCM OUT
huyu jamaa amejidhalilisha sana,amekuwa icon ya unafiki na uchu wa madaraka,atajuta sana baada ya october
huyu jamaa amejidhalilisha sana,amekuwa icon ya unafiki na uchu wa madaraka,atajuta sana baada ya october
Niliwahi kumsikia akisema kwamba yeye na Mh.Mkapa walikuwa anafanya mambo yao kimya kimya bila ya kuhitisha press conferences au kujitapa tapa,aliongezea kusema watumishi wabovu wengi walikuwa wahachishwa kazi kimya kimya,pamoja na mapungufu ya hapa na pale ya Mh.Sumaye mambo mengine nakubaliana nae - wakati wa uongozi wa Mh.Mkapa Taifa letu lilirudisha heshima na kuweza kuaminiwa tena na wafadhili, mambo ya rushwa lakini hayakuwa na kasi na kiwango cha hivi sasa -hali inatisha kweli kweli PCCB hipo hipo tu kwa jina wanakazania kuwashika dagaa lakini hawana ubavu wa kuwashtaki ma mafia na waharifu sugu sasa hapo nashindwa kuelewa kama wanakwama kutokana na shinikizo la kisiasa au nini sijui! Mh.Magufuli akibahatika kushika madaraka sekta hii anapaswa kuifumua na kuihunda upya na ahakikishe ma CEO wanakuwa madarakani kwa term moja tu ya miaka mitano.
Narudia kusema Mh.Mkapa na Mh.Sumaye Taifa letu waliliweza sana Kiuchumi na kinidhamu,kiongozi atakaye kuja anapaswa kuhiga na sehemu nyingine kuboresha zaidi ya Mh.Mkapa na Sumaye-we need a semi-dictator to run our Country ili aweze kurudisha nidhamu katika sekta ZOTE.
huyu jamaa amejidhalilisha sana,amekuwa icon ya unafiki na uchu wa madaraka,atajuta sana baada ya october
Mimi huwa simuelewi anayoyaongea ,mfano akieleza kuwa ccm haijawafanyia kitu wananchi basi miongon wa kuwalaumu ni yeye kwakuwa alikuwa miongoni mwao tena PM ,ndio maana kiongozi mmoja mstaafu akaamua kuwaita malofa, neno halikuwahusu wana chadema wote ,sasa nawao wameamua kujiita hivyo,