Sumaye haeleweki anachosimamia

Sumaye haeleweki anachosimamia

Ina maana ndesamburo sio tajiri? Mbowe sio tajiri? Sijagusia swala la uchumi kama nchi, nimezungumzo ukombozi wa kiuchumi kwa watu na ndio maana tunazungumzia watu.

Unashawishi Upumbavu jaribu kuwafanya watu wawe wajinga ili waelimike.
Kama huoni.hatakuaikia husikii?
Umewahi kujiuliza Ridhiwan kapata wapi Utajiri alio nao?
 
Unashawishi Upumbavu jaribu kuwafanya watu wawe wajinga ili waelimike.
Kama huoni.hatakuaikia husikii?
Umewahi kujiuliza Ridhiwan kapata wapi Utajiri alio nao?

Huko kote unakoenda siko. Hapa Tunazungumzia waliopata utajiri huku mfumo wa CCM ukiwepo na bila kuwa na uhusiano na CCM kama wananchi wa kawaida. Wao waliwezaje?
 
kwa kweli nimekuwa najiuliza alikuwaje pm kwa miaka 10? Ni mnafiki, mbeya, na muongo.
Eti pale kawe akasema eti sisiemu walituahidi maisha bora ila mpaka sasa bado, kweli? Hii kitu ni ya yeye kusema hivyo? Nimemdharau sana huyu babu. Yeye kawa pm wa sisiemu juzi juzi tu kwa miaka 10, leo anaongea pumba!
usujiulize tu ilikuwaje jiulize wewe na baba yako na mama yako amjawahi kuwa ata wajumbe wa nyumba kumi !!?
Na hamna dalili hizo !!
Kusoma kuelewa kukesha bwebwe sumaye kasoma na kichwani zimo ndiyo jibu unalo takiwa kulipata baada ya kuwazaa !!
 
MTU ALIEKUWA WAZIRI MKUU KWA MIAKA KUMI,anashangaa kwa nini anaiponda CCM imefanya nini wakati na yeye alikuwa waziri mkuu kupitia CCM,malofa nao wanamshangilia jamani kweli watanzania sijui nani katuloga,hivi Sumaye ni wa kusisima na kuanza kuuponda uongozi ambapo yeye alikuwa waziri mkuu kwa miaka kumi?kaacha nini?leo ndo akili yake inazeeka ndo aje asababishe maendeleo?
 
Huko kote unakoenda siko. Hapa Tunazungumzia waliopata utajiri huku mfumo wa CCM ukiwepo na bila kuwa na uhusiano na CCM kama wananchi wa kawaida. Wao waliwezaje?
Wazee wako walikuwa wanyapara toka ukoloni. Acha ujinga kuwaza kuwa mfumo wa ccm ndio uliwapatia utajiri mbowe na ndesapesa. Koma kabisa
 
Sumaye ni mti wenye matunda. Ameonekana star ukawa ndicho kinachowauma kuja kutapikia jf
 
CCM mtuambie MWANYANGE kawakosea nini mpaka kuamua kumfanyia mlivyomfanyia!???.
 
MTU anapoomba kuleta uongozi mbadala anajua kuna kushindwa Na kushinda,kwa mtazamo huu was mleta mada eti MTU anayejaribu kufanya hivyo anamuona msaliti, mjinga Na eti atakuwa na maisha magumu baada ya uchaguzi akishindwa, kwa mtizamo huu itaichua Tanzania miaka 1000 kupiga hatua. Na kwa kweli hili linaelezea kiwango cha ujinga cha mleta mada

Ujinga walionao, wanafikiri watz bado wanadanganywa kama zamani, Sumaye anaonekana kama ndo kaingia juzi kutoka mbinguni, tukubali tusikubali Makufuli ana uwezo mkubwa sana wa kuibadirisha hii nchi, kwanza baada ya nyerere ni Mzee Warioba ,Makifuri na Kinana ambao wameonyesha kuwa ni majasili sana, Dr Makufuri anasema uzembe wa serikali ambayo bado anaiudumu mpaka sasa, na anasema kwa dhati serikali anayoitaka, na anasema bila woga, ni dhahiri kwamba anachoamini ndicho atakachokifanya baada ya kumpigia kura nyingi sana.

Sumaye na Lowasa wanafiki sana, wangekuwa wazalendo, pia wangeweza kusema haya wanayoyasema wakati ule wakiwa serikalini, kama anavofanya Dr.Makufuri. jana walikuwa wanasema kidumu chama cha mapinduzi leo baada ya kukosa nafasi, wanasema eti ccm wezi na hawajafanya kitu, na wakati huo wao ndo wezi wakubwa, ni jambo la ajabu sana, ebu angalia Lowasa alivowavuruga UKAWA kwa hizo pesa zake, wate UKAWA wamegeuka kuwa wapambe wa Lowasa(wameufyata) je ukiwapa serikali itakuwaje? Na waliikuta chadema kama imelewa gongo hivi ndo wakaingia na kwa kuwa walikuwa bado wamelewa, walipewa pesa ya kuzimua na supu juu, walijikuta wanafanya maamuzi ya kilevi, ss ulevi umewatoka wanashindwa nn cha kufanya. Dr.Slaa kaondoka upande wa chadema-cuf Prof.Lipumba naye kaondoka, sasa Mama Tanzania ndo msemaji mkuu wa Team Lowasa. chejea pecha ww!
 
inawezekana we ndo huelewi anachosema.kama mjinga mwenzio amechangia upuuzi wako eti sumaye alisema hakuna ccm ilichofanya.yeye na ujinga wake kama wewe kadai hamwelewi anachosema.kisa alikuwa pm,kwa kuwafungua tu tatizo sio kuwa pm.tatizo mfumo,hata huyu anayetisha watu majukwaani anajiapiza bure ameshaambiwa alinde maslahi ya chama.....angalieni vitu kwa undani msiangalie juu juu tu.

chadema wanapinga ukwel unaosemwa na mzee wa kazi tu hlf wanakubaliana na uovu kwa mtu yeyote anayeonyesha dalili za kuwaunga mkono
 
Wazee wako walikuwa wanyapara toka ukoloni. Acha ujinga kuwaza kuwa mfumo wa ccm ndio uliwapatia utajiri mbowe na ndesapesa. Koma kabisa

Ni katika mazingira yapi ambamo Mbowe na Ndesamburo walitajirikia?
 
Back
Top Bottom