salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 653
Jamaa analia lia kweli sasa kama rais analia lia atawezaje kuongoza nchi
Miaka 20 bungeni hajasikika akikemea rushwa wala ufisadi halafu leo eti oooh naunda mahakama ya mijizi; jeuri hiyo ataitoa wapi kama sio porojo za akina mjomba megawati. Watu wameikataa katiba ya wananchi yenye maadili yanayokomesha ufisadi na kulinda rasilimali za taifa halafu leo wanaibuka na porojo hizi. Eti ooh mama ntilie wasisumbuliwe, ooh machinga ni muhimu nitawapa benki na mikopo; unajua hawa jamaa wanatuona sisi ni punguani tangu lini katetea wanyonge bungeni? waliotutetea miaka yote huku wanazomewa leo wanaonekana hawajui kazi anayejua kazi ni huyo wa kupiga domo; inawezekana akili zetu sio nzuri inafaa tupimwe kuwaendekeza watu kama hawa na kuwakenulia meno