mandingo6262
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 424
- 82
Nawashangaa mnaomtuhumu Tumbili kwa kutoa taarifa za umiliki wa hisa wa waziri mkuu mstaafu,
Ni nani kawaambia kuwa suala la kumiliki hisa esp amount kubwa kiasi hicho kinaweza kuwa siri? Lazima mtambue kuwa kuna majority shareholders na wale wanaomiliki hisa za kubangaiza.
ukiishakuwa majority shareholder basi unakuwa na voting power na pia lazima utakuwemo kwenye vikao vya bodi. Ukiingia kwenye tovuti utawakuta hawa wanahisa na hata kwenye kila ripoti ya mwaka wanakuwepo disclosed.
Nyi mnaomtuhumu Tumbiri fanyeni utafiti kwanza ndo mzungumze.
Nakala: Kimbunga, Mingoi, Ndallo, Matola, Crashwise, Mzee Mwanakijiji, Malaria Sugu, chama, mandingo6262, Rejao, Mungi, Putin, Salary Slip, etc

Last edited by TUMBIRI; 7th June 2013 at 21:08. Reason: Extension