fredmlay
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,849
- 391
Tatizo letu ni utamaduni wa kutokuwa wazi kwa viongozi wetu.. unapaswa ukiingia madarakani tujue una nini na siku ukitoka tujue umevuna nini sio swala la siri ukishakuwa mtumishi wa umma, sheria ipo ila kwakuwa nchi hii viongozi wanaongoza kwa kuvunja sheria basi huwa mambo hayatekelezwi.Nami naunga mkono hoja ya hizo 900mil ni zao la muda mrefu la hisa zake kuzaa na kuzaa kila mwaka!