Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Tunaingia kwenye Organized Public Transport ambapo daladala haina nafasi. Mwanzoni lazima kuwepo na usumbufu ila itakaa sawa tu.
Ni jambo zuri, lakini kwa UDARt wamefeli.
Tunaingia kwenye Organized Public Transport ambapo daladala haina nafasi. Mwanzoni lazima kuwepo na usumbufu ila itakaa sawa tu.
Si kila changamoto inaweza kutatuliwa kabla ya mradi kuanza..muda mwingine ni ngumu kujua una hitaji magari kiasi gani kwenye route fulani kabla hujaanza mradi husika na hakuna mradi wowote ule dunia unao kosa changamoto kabisa..Sio kila changamoto ni ya kuikumbatia you must consider hao walengwa kwanza... no wonder business plan inatafutwa baada ya miradi kuanza. No ujinga wa hali ya juu
Nielewe sipingani na mradi napingana na njia waliyotumia inaumiza walaji kuliko kuwasaidia.
Wamefeli mno, kuna siku binamu yangu alizimia kisa huo msongamano wa kujaza watu! alafu timing ya magari kwenye vituo navyo changamoto ikifika saa kumi na moja jion ruti ya gerezani kimara inakua overloaded sijui magari machache au ndo poor management.Kazi ipo kwa kweli.Ni jambo zuri, lakini kwa UDARt wamefeli.
Wamefeli mno, kuna siku binamu yangu alizimia kisa huo msongamano wa kujaza watu! alafu timing ya magari kwenye vituo navyo changamoto ikifika saa kumi na moja jion ruti ya gerezani kimara inakua overloaded sijui magari machache au ndo poor management.Kazi ipo kwa kweli.
Unatumia ticket ile ile kivipi mkuu, ama ukifika fire hutoki ndani ya ile checkpoint yao?
Mbezi to Kimara kwa mwendokasi ni sh. 400 halafu Kimara to Muhi2 ni sh. 650: wakati kwa daladala ya kawaida Mbezi to Muhimbili ni sh. 500 hadi 600. Huku ni kukomoa wananchi sio kuboresha. Kimsingi ilitakiwa kuacha zikose abiria zife natural death kuliko kulazimisha mambo. Huyu Kisena kawakamata decision makers anawapelekesha kama magari mabovu.Mkuu hapo napingana na ww,kumbuka mwendokasi haipotezi muda mwingi njiani tofauti na daladala zinazosimama kila kituo,it takes about 30 mns from Kimara to Fire,na pale Fire gari ni nyingi ukisubiri sana ni dakika kumi tu unafika muhimbili dakika tano.Ndani ya lisaa limoja unakuwa tayari uko Muhimbili.Kumbuka nauli hulipi tena,unatumia ticket ile ile.Cha msingi ni kuondoa usumbufu wa kutoka Mbezi hadi Kimara na kurudi Mbezi ,otherwise huu utaratibu utakuwa poa sana,unapunguza muda unaopotea kwenye daladala na Dsm itakuwa nzuri ikiwa mwendokasi utatamalaki jiji zima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ungekuwa umetumia hiyo route ungemuelewa mchangiaji. Kiufupi ufanisi wa mwendokasi bado! Lazima wawe na competitor ili kuwe na tija katika utendaji wao. Muda wa watu kuyasubiri, kuload na kuoff load abiria ni tatizo kubwa!Mkuu hapo napingana na ww,kumbuka mwendokasi haipotezi muda mwingi njiani tofauti na daladala zinazosimama kila kituo,it takes about 30 mns from Kimara to Fire,na pale Fire gari ni nyingi ukisubiri sana ni dakika kumi tu unafika muhimbili dakika tano.Ndani ya lisaa limoja unakuwa tayari uko Muhimbili.Kumbuka nauli hulipi tena,unatumia ticket ile ile.Cha msingi ni kuondoa usumbufu wa kutoka Mbezi hadi Kimara na kurudi Mbezi ,otherwise huu utaratibu utakuwa poa sana,unapunguza muda unaopotea kwenye daladala na Dsm itakuwa nzuri ikiwa mwendokasi utatamalaki jiji zima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndio majanga, sijui watu huwa hawawazi mbele impact itakuaje kwa kila maamuz wanayochukua.Hutoke nje ya check point ndio lakini how about Mbezi to Kimara? kwa kweli ni hapo ndio shida inakoanzia
Root = RouteNi siku ya tatu hii Sumatra wameondoa root ya Daladala za Mbezi-Muhimbili. Je! Wanamsaidia mwananchi wa kipato cha chini kwa hali hii??
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu, ni kosa kubwa wanalofanya kuacha kampuni moja kuhodhi utoaji wa huduma za usafiri. Mwisho wa siku itakuwa ni kero tupu kama tunavyoona kwenye makampuni kama tanesco. Wanachotakiwa kufanya ni kuweka vigezo vya magari yanayotakiwa kutoa usafiri wa umma kwa dsm, then makampuni na watu binafsi waruhusiwe ku compete hali itakayosaidia kuboresha utoaji wa huduma na kupunguza kero za kutegemea kampuni moja"...ila itakaa sawa..."
Hiyo ni nadharia na matamanio (wishful thinking). Kuna wajanja wameamua kukamua pesa kwa njia ya UDART. UDART ni usafiri wa kikomunisti kama korea kaskazini. Mtu unalazimishwa kula usichopenda.
Kama hujui. Mwendokasi haipotezi muda njiani ila inapoteza muda kituoni kuisubiria kabla ya kuipanda!Mkuu hapo napingana na ww,kumbuka mwendokasi haipotezi muda mwingi njiani tofauti na daladala zinazosimama kila kituo,it takes about 30 mns from Kimara to Fire,na pale Fire gari ni nyingi ukisubiri sana ni dakika kumi tu unafika muhimbili dakika tano.Ndani ya lisaa limoja unakuwa tayari uko Muhimbili.Kumbuka nauli hulipi tena,unatumia ticket ile ile.Cha msingi ni kuondoa usumbufu wa kutoka Mbezi hadi Kimara na kurudi Mbezi ,otherwise huu utaratibu utakuwa poa sana,unapunguza muda unaopotea kwenye daladala na Dsm itakuwa nzuri ikiwa mwendokasi utatamalaki jiji zima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Changamoto za route ya kimara tu zimewashinda sembuse hiyo mbezi ambayo hata barabara haijajengwa? Kwahiyo watu wanyanyasike mpaka barabara ijengwe?Si kila changamoto inaweza kutatuliwa kabla ya mradi kuanza..muda mwingine ni ngumu kujua una hitaji magari kiasi gani kwenye route fulani kabla hujaanza mradi husika na hakuna mradi wowote ule dunia unao kosa changamoto kabisa..
Miradi mingi changamoto zake sahihi huanza kujulikana baada ya mradi kuanza...
Kwa hiyo changa moto zinaweza kutatuliwa wakati mradi unaendelea...
Hapo bado kujazana kama wakimbiziKama hujui. Mwendokasi haipotezi muda njiani ila inapoteza muda kituoni kuisubiria kabla ya kuipanda!
Sent using Jamii Forums mobile app