Suluhisho kwa wanaume wote mliokula vibuti

Suluhisho kwa wanaume wote mliokula vibuti

Usijaribu,matokeo yake ni kupata timu ya wanawake,simu yako ikipigwa ni wasiwasi tu hasa ukiwa na mwanamke muda huo,pia utaonana na wanawake ving'ang'anizi wanaotaka kuolewa hasa 30's yrs,furaha inageuka kuwa shida,hasira hasara


Nilikuwa na wangu anakaribia 30 anataka niache kumalizia masters nioe nikamwambia hebu sogea mbele aiseeeee mimi nafanya ya msingi wewe unasema ndoa......wengi kuanzia 30 wanakimbilia kuolewa
 
Hii ni kwa vijana wote na wanaume wote mlioachwa solemba na wapenzi wenu.njia pekee ya kupunguza maumivu na mawazo ya kuachwa na wapenzi wenu ni kuwa playboy.kuwa classic playboy.hit and run ndio itasawazisha msongo wa mawazo uliowatawala.infact maisha yenyewe mafupi hatujui tarehe zetu[/QUO

Na wadada walioachwa wawe ma playgirl.................
 
Hii ni kwa vijana wote na wanaume wote mlioachwa solemba na wapenzi wenu.njia pekee ya kupunguza maumivu na mawazo ya kuachwa na wapenzi wenu ni kuwa playboy.kuwa classic playboy.hit and run ndio itasawazisha msongo wa mawazo uliowatawala.infact maisha yenyewe mafupi hatujui tarehe zetu[/QUONa wadada walioachwa wawe ma playgirl.................
Watulie tu watapata wenza wao.
 
Hii ni kwa vijana wote na wanaume wote mlioachwa solemba na wapenzi wenu.njia pekee ya kupunguza maumivu na mawazo ya kuachwa na wapenzi wenu ni kuwa playboy.kuwa classic playboy.hit and run ndio itasawazisha msongo wa mawazo uliowatawala.infact maisha yenyewe mafupi hatujui tarehe zetu

kwanza unakichinjio? kapige kur kwanza maan uzungumzayo hayan maan ht kidogo
 
Hii ni kwa vijana wote na wanaume wote mlioachwa solemba na wapenzi wenu.njia pekee ya kupunguza maumivu na mawazo ya kuachwa na wapenzi wenu ni kuwa playboy.kuwa classic playboy.hit and run ndio itasawazisha msongo wa mawazo uliowatawala.infact maisha yenyewe mafupi hatujui tarehe zetu



Pam D ft mensen selecta 🎼🎼🎼🎼🎧
 
Hii ni kwa vijana wote na wanaume wote mlioachwa solemba na wapenzi wenu.njia pekee ya kupunguza maumivu na mawazo ya kuachwa na wapenzi wenu ni kuwa playboy.kuwa classic playboy.hit and run ndio itasawazisha msongo wa mawazo uliowatawala.infact maisha yenyewe mafupi hatujui tarehe zetu
Uzinzi ni dhambi,subiri uoe
 
unawatuma wanaume wenzio wakavurugwe zaid. acha kudanganya wenzio
 
Back
Top Bottom