falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,230
- 9,359
- Thread starter
- #41
Mabadiliko yanahitajika
Mabadiliko ndio haya
Mabadiliko yanahitajika
Uzinzi ni dhambi,subiri uoe
hahaha Niko bongo nimekuja kupiga kura Asubuhi nimeongea na wife ameongea kitu kama ulichoandika hapa ...Au ndio wewe mama wawili(mke wangu) nimeshtuka sana
Hahaha hapana siyo mama wawili....Nimeshampeleleza hafahamu hii jukwaaEeeh baba wawili ndio mimi sema tu sijakuambia id yangu lol
Hilo ndo suluhisho chapa ilale tu ila jitaharishe kuwa km mtu unaedaiwa maana dear dear zitakuwa nyingi na wale ving'ang'anizi wanapendaga ajabu
hahahahaha..daaahNini saikolojia, hujakutana sasa na mwanamke aliejipanga kibaiolojia nakwambia utatua mizigo yako hapo
juzi nimeumizwa na kidemu nipo ndani nalala tu full stress.
nikishamaliza kipindi iki cha mpito demu yoyote atakaye katisha mbele yangu nafumua vibaya vibaya.. binamu nafumua, mama ntile,beki 3, mwalimu,wauza ndizi nafumua kusepa
wanawake hawana akili ata kidogo akili zao zimeshikwa na shetani

Sababu ipo na mimi namsapotihahaha dogo relax. kuachwa kupo tu hakuna haja ya kufanya hivyo
hahahaha najua ipo ila hakuna haja. kwahiyo n wewe ikikutokea utafanya hivyo hivyoSababu ipo na mimi namsapoti
hahahaha najua ipo ila hakuna haja. kwahiyo n wewe ikikutokea utafanya hivyo hivyo
haya yanazingua ila hatukomiLazima nifanye hivyo mkuu hamna namna
juzi nimeumizwa na kidemu nipo ndani nalala tu full stress.
nikishamaliza kipindi iki cha mpito demu yoyote atakaye katisha mbele yangu nafumua vibaya vibaya.. binamu nafumua, mama ntile,beki 3, mwalimu,wauza ndizi nafumua kusepa
wanawake hawana akili ata kidogo akili zao zimeshikwa na shetani
Hahahahahahahahaha....mkuu unaweza kutandika mtu makofi ukiwa kwenye hali hiyo mimi najua mkuu hila pole sana kurecover unatakiwa kujitoa fahamu hila ukirudi kwenye game wewe fumua tu
Hii ni kwa vijana wote na wanaume wote mlioachwa solemba na wapenzi wenu.njia pekee ya kupunguza maumivu na mawazo ya kuachwa na wapenzi wenu ni kuwa playboy.kuwa classic playboy.hit and run ndio itasawazisha msongo wa mawazo uliowatawala.infact maisha yenyewe mafupi hatujui tarehe zetu
Karibu team FUMUA FUMUA aka GANYULA TU...Hahahahahahahahaha....mkuu unaweza kutandika mtu makofi ukiwa kwenye hali hiyo mimi najua mkuu hila pole sana kurecover unatakiwa kujitoa fahamu hila ukirudi kwenye game wewe fumua tu