Dingswayo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 4,019
- 2,923
Nilipokuwa nasoma shule ya msingi miaka ya 60, nilisoma kitabu ambacho kilikuwa na hadithi ya Sultani Kipingo. Mojawapo ya sifa za sultani huyo zilikuwa ni ulafi wa kupindukia. Kulikuwa na picha ya kuchora inayo muonyesha sultani huyo. Leo nimeiona hii picha hapo juu, na inafikia karibu na jinsi ambavyo nilifikiria kuwa angeweza kufanana.