DSN
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 2,837
- 1,674
Bila sugu Bongo flava haiba historia,ila inajulikana bifu la Sugu na Clouds.Zamani kulikua na Bifu kati ya Pro na Clouds baadae wakaona jamaa ni noma kwenye tamasha lao bila yeye wananchi hawatwaelewa kwenye matamasha yao ya FIESTA ikabidi waelewane nae.Ndio maana kwenye songi moja anasema "wengi wenu kabla amjaja mjini". Wadau wa mziki wanasema kilikuwa ni kidongo kwa Radio Presenter wa Clouds.
I hoope kama isingekuwa Safari za sugu majuu,na hisi hata yeye wangekuwa wamerekebisha nae kwa kuwa kwenye FIESTA hizi wangekuwa awaeleweki kwa wabongo kwenye matamasha yao.Lakini mengi ya matamasha yalikuwa yanamkuta Sugu Nje ya Nchi.
Lakini wajue Watanzania wanajua Sugu ndio Legender wa Bongo flava Tanzania