Sugu Vs. Tuzo za Heshima-Fiesta!!Kulikoni??

Hata Balozi, Adili na Mr. Paul hawapo?Dully Sykes alifanya mageuzi kwa watoto na kuleta dance hall za kibongo?tafakari chukua hatua

Bob Sio muasisi wa reggae, yeye ni mfalme wa reggae

Bob Marley performing in concert, circa 1980.
Robert Nesta Marley
Tuff Gong
6 February 1945
Nine Mile, Saint Ann, Jamaica
11 May 1981 (aged 36)
Miami, Florida, US
Reggae, ska, rocksteady
Singer-songwriter, musician
Vocals, guitar, piano, saxophone, harmonica, percussion
1962–1981
Studio One, Upsetter, Tuff Gong
Bob Marley & the Wailers, Wailers Band, The Upsetters, I Threes
bobmarley.com

Background information
Birth name
Also known as
Born
Died Genres
Occupations
Instruments
Years active Labels
Associated acts
Website

Je huu ndio muendelezo wa bifu zao ama(Sugu na Ruge-Clouds Media group)??Utatoaje tuzo za heshima kwa waasisi au waimbaji wa mwanzo Bongoflava ukamwacha Sugu aka Mr 2?? Hiki ni kichekesho kwa Waandaaji wa Fiesta CloudsFm(Media).

Baadhi waliopata ni hawa:

Juma Nature

Fid Q

Bushoke

Prof Jay

Jay Dii

Unique Sisters

Mr Nice

Mabaga Fresh

Mandojo na Domokaya....n.k Sugu hayupo kundini. Hii imekaaje?? Wako seriaz kweli hawa??

kwani sugu ndo mwanzilishi wa harakati za muziki huo,au naye anajitafutia umarufu mbuzi!!!
Mie naweza kusema ni miongoni mwa waanzilishi na watetezi waliokuwa msitari wa mbele, japo wadau wengi walikuwepo kabla ya clouds. Mfano, Kim & the Boyz, kina Saleh Jabir, II Proud, Balozi, Soggy Dog, Solo Thang na wengine wengi nimewasahau. Enzi hizo hakukuwa na redio za fm.

zile tuzo ni kwa waliotoa mchango kwenye bongofleva bt kifiesta zaidi......sugu hajashirk fiesta toka enzi so asubiri hall of fame kwenye kili awards huko......na huyo sugu anasema wasanii wanahujumiwa malipo kwny fiesta hv hajui fiesta z mo than the payment?...tc the feeling of participatin in the biggest concert in TZ that matters...n wasanii wanalijua hilo....

Ni swala la kusikitisha kwenye tuzo kama zile kuwakosa watu kama Xplasters, Mapacha, Immam Abbas, University Corner, Manzese Crew, hardcore Unit.
For sure clouds hawapo serious ktk mipango yao.

Kwanza Unit
Sugu
Deplowmatz (Dola Soul aka Balozi & Saigon)
Hard Blasters
GWM

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom