PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,231
- 45,739
Usiwe na wasiwasi mkuu kilakitu MUNGU atafanyaGwajima na Polepole wamesamehewa,
Ila wasaliti ndani ya chama kina jasusi uchwara, unahitaji moyo mpana.
Usiwe na wasiwasi mkuu kilakitu MUNGU atafanyaGwajima na Polepole wamesamehewa,
Ila wasaliti ndani ya chama kina jasusi uchwara, unahitaji moyo mpana.
Wewe mbona pia ni uchafu kama unabisha sokomeza dole lako la kati kwenye tundu yako ya haja kubwa kisha litoe uone kama inzi hawajalishangilia, pumbavu kabisa wewe.Ccm ikitema uchafu ndugu zangu wanaokota. polepole aliongoza mbinu chafu ya kufunga mikutano ya vyama vya siasa kwa miaka 6 leo hii Chadema wanamuona Polepole wa maana kwao.
Gwajima alishindwa kiuongozi kwa kila namna akiwa mbunge wa kawe leo hii Gwajima ameonekan wa maana Kwa chadema.huu ni mwaka wa mwisho kwao.
Hawa ndio wale wanaliaga Walisema wamekioigania chama bila Msaada 😁😁
Lema anatakiwa ajifunze kusamehe asiishi na chuki, gwajima na pole pole wamesamehewaSugu amelelewa,
Amueleweshe na Lemma,
Amwambie kuwa kuukomboa nchi unahitaji makundi yote wakiwamo maadui watakaoasi mfumo na kuungana nawe.
Sijui unaongea vitu gani,ila hauna hoja.Wapi unaponisomea CHAUMMA?
Kutokuungwa mkono Bashiru, Polepole, Ndugai na wengine, tujitathmini
Acheni kukurupuka. Hii siyo ile ya mwamba.
Vita hupiganwa na agenda za leo mkononi.
Polepole na Gwajima ni washirika kindaki ndaki.
Dhana ya kusema kuwasamehe ni ya kijinga!
Kusamehe ni kazi ya Mungu au umechanganyikiwa? Unasoma kitabu gani Cha dini ambacho kinakataza mwanadamu kumsamehe mwanadamu mwenzie?wewe nı mungu unahukumu na kusamehe?
mwanadamu ni dynamic creature. kwa sasa John HECHE na wenzake, Humphrey Polepole, Mtumishi wa Mungu JOSEPHAT GWAJIMA, ni sauti ya wananchi wanatufaa sana waTanzania hasa waTanganyika.Ccm ikitema uchafu ndugu zangu wanaokota. polepole aliongoza mbinu chafu ya kufunga mikutano ya vyama vya siasa kwa miaka 6 leo hii Chadema wanamuona Polepole wa maana kwao.