GE2025 Sugu: Tumewasamehe Polepole na Gwajima

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
HATUFANYO CHOCHOTE KWA KUAMRISHWA NA POLEPOLE YAANI TUANENDEELEA NA MCHAKATO WA UCHAGUZI HAYO MANENO ANAYOTAKA KUYASEMA ASEME TU MANENO MATUPU HAYAWEZO KUTUVURUGA HATA SEKNDE MOJA YAANI ANAJISUMBUA TU MANGAPI YASHASEMWA NA HAYAJATUHARIBIA KITU HATA ASEMA TUNA KULA WATU BADO SIY NENO GUMU KWETU ASITAFUTE KUTISHA WATU HALAFU AJE AJISIFU KUWA MWAKA FULANI NILIZUIA UCHAGUZI MIMI PUMBAFU HUYO SLOWSLOW
Unatuumiza Macho Mkuu.
Huu Mwandiko Umeurithi Au?
 
Ccm ikitema uchafu ndugu zangu wanaokota. polepole aliongoza mbinu chafu ya kufunga mikutano ya vyama vya siasa kwa miaka 6 leo hii Chadema wanamuona Polepole wa maana kwao.
Gwajima alishindwa kiuongozi kwa kila namna akiwa mbunge wa kawe leo hii Gwajima ameonekan wa maana Kwa chadema.huu ni mwaka wa mwisho kwao.
The enemy of my enemy is MY FRIEND!
 
Walitubu lini na wapi? Wamesamehewa na Sugu/mwenyekiti kanda ya nyasa au CHADEMA nzima ndo imewasamehe? Hiyo haki inayopiganiwa na Gwajima na Polepole inainufaisha vipi CHADEMA?

Mtalala sana na viatu.

Sugu?

Gg2yVnxWMAAzCYT.jpg

Chadema inapigana upande mmoja na wote katika agenda ya leo si jana.

Ya msamaha na awaye yote, mtajuana wenyewe huko!
 
Sugu amelelewa,

Amueleweshe na Lemma,

Amwambie kuwa kuukomboa nchi unahitaji makundi yote wakiwamo maadui watakaoasi mfumo na kuungana nawe.
Yule mjinga mjinga anampongeza Kitila ila ingekuwa wengine angekosoa
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameeleza kuridhishwa na kile alichokiita mchango wa viongozi wa zamani na wa sasa katika kutetea haki na masilahi ya Watanzania.

Sugu ameyasema hayo siku ya Jumatano akizungumza na wanahabari moja kwa moja kupitia televisheni mtandao ambapo amesisitiza kuwa ni wakati muafaka kwa Watanzania wa makundi mbalimbali kama vile wastaafu, vijana, wanawake, na wafanyakazi kuungana na kutoa maoni yao kwa ajili ya amani na maendeleo ya taifa.

Soma pia: Polepole: Nilishajiapiza baba yangu mzee Polepole ndiye Mtu wa mwisho kuonewa katika nchi hii

“Nichukue fursa hii kutambua kwa kazi kubwa ya Bishop Josephat Gwajima na Balozi Humphrey Polepole... hata kama kuna rekodi za kauli au matendo yao ya huko nyuma ambavyo hatukubaliani navyo, lakini wametubu, wanazungumza kwa niaba ya nchi, basi tunawasamehe kwa sasa ili tuunganishe sauti hizi za Watanzania wote katika kuhakikisha nchi hii inakaa sawa”, amesema Sugu.
Hao nyumbu ni zoazoa kila takataka ya CCM kwao ni dhahabu, walimzoa Lowassa na wapambe wake mwishowe wakarudi nyumbani, ila hao ni sisimizi huwezi ht kuhisi uwepo wao
 
Ccm ikitema uchafu ndugu zangu wanaokota. polepole aliongoza mbinu chafu ya kufunga mikutano ya vyama vya siasa kwa miaka 6 leo hii Chadema wanamuona Polepole wa maana kwao.
Gwajima alishindwa kiuongozi kwa kila namna akiwa mbunge wa kawe leo hii Gwajima ameonekan wa maana Kwa chadema.huu ni mwaka wa mwisho kwao.
Ndio maana hayo majinga yameitwa nyumbu.
 
Ccm ikitema uchafu ndugu zangu wanaokota. polepole aliongoza mbinu chafu ya kufunga mikutano ya vyama vya siasa kwa miaka 6 leo hii Chadema wanamuona Polepole wa maana kwao.
Gwajima alishindwa kiuongozi kwa kila namna akiwa mbunge wa kawe leo hii Gwajima ameonekan wa maana Kwa chadema.huu ni mwaka wa mwisho kwao.
Tunachokiangalia ni wanafanya nini kwa Sasa.Imeandikwa,"Ni heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo"Mhubiri 7:8.Hata Mungu huangalia mwisho wako unakuwaje hapa duniani".
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameeleza kuridhishwa na kile alichokiita mchango wa viongozi wa zamani na wa sasa katika kutetea haki na masilahi ya Watanzania.

Sugu ameyasema hayo siku ya Jumatano akizungumza na wanahabari moja kwa moja kupitia televisheni mtandao ambapo amesisitiza kuwa ni wakati muafaka kwa Watanzania wa makundi mbalimbali kama vile wastaafu, vijana, wanawake, na wafanyakazi kuungana na kutoa maoni yao kwa ajili ya amani na maendeleo ya taifa.

Soma pia: Polepole: Nilishajiapiza baba yangu mzee Polepole ndiye Mtu wa mwisho kuonewa katika nchi hii

“Nichukue fursa hii kutambua kwa kazi kubwa ya Bishop Josephat Gwajima na Balozi Humphrey Polepole... hata kama kuna rekodi za kauli au matendo yao ya huko nyuma ambavyo hatukubaliani navyo, lakini wametubu, wanazungumza kwa niaba ya nchi, basi tunawasamehe kwa sasa ili tuunganishe sauti hizi za Watanzania wote katika kuhakikisha nchi hii inakaa sawa”, amesema Sugu.
Hawa Sasa ndio Wanasiasa harafu inakuta mpumbavu mmja fukara huko eti anawapigania badala ya kupigania familia yake 😂😂
 
Adui aliyeasi ana faida kubwa vitamin.
Ccm ikitema uchafu ndugu zangu wanaokota. polepole aliongoza mbinu chafu ya kufunga mikutano ya vyama vya siasa kwa miaka 6 leo hii Chadema wanamuona Polepole wa maana kwao.
Gwajima alishindwa kiuongozi kwa kila namna akiwa mbunge wa kawe leo hii Gwajima ameonekan wa maana Kwa chadema.huu ni mwaka wa mwisho kwao.
Adui aliyeasi ana faida kubwa vitani. Ni Polisi mjinga atakayemdharau jambazi sugu aliyelisha silaha Kwa Hiari.
 
Bado kuna kitu wanafeli..Sugu anasema Gwajima na Polepole wamesehewa sio jambo baya, haya sasa nini kinafuata baada ya kusamehewa? Kwasababu lengo ni kuishambulia CCM lazima watafute kitu kitakacho waunganisha kuwa pamoja wawe na sauti moja Na nguvu moja...haingii akilini mmoja yupo huku mwingine yupo kule wanashambulia bila kuwepo na nguvu ya pamoja...ndo pale tunasema UTAPELI WA FIKRA...
 
Ccm ikitema uchafu ndugu zangu wanaokota. polepole aliongoza mbinu chafu ya kufunga mikutano ya vyama vya siasa kwa miaka 6 leo hii Chadema wanamuona Polepole wa maana kwao.
Gwajima alishindwa kiuongozi kwa kila namna akiwa mbunge wa kawe leo hii Gwajima ameonekan wa maana Kwa chadema.huu ni mwaka wa mwisho kwao.

Kwa hiyo vita unapigana na agenda ya juzi? Kama ndivyo wenzake Sugu hawako CHAUMMA?

Gg2yVnxWMAAzCYT.jpg

Mbona yeye au aliyebaki hajanyanyapaliwa? Au ulisikia Kuna mmoja aliaemekana kusamehewa?
 
Sugu yupo sahihi, mtu hapingwi kwa hisia, mapenzi binafs wala historia yake.
Tunapinga au kusupport maneno na matendo yaliyo active kwa hoja kabambe.
Kikubwa ni kua nao makin asijeleta hoja za kifala badae.
Yaan tunaish nao ila tunawafunga Kengele.
 
Back
Top Bottom