uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,041
- 8,644
Nani apigie magoti wauza madawa ya kulevya
Mijizi ilikuwepo hapo lumumba na ikulu penyewe ndo maana asad aliondolewa kinyume kabisa na katibaHuyo msemaji na wewe Mmawia wote waongo na waoumbavu watupu!
Sasa hivi ni enzi ya majizi ya nchi kupambana na Legacy!
mabwabwa yatapinga kuwa bashite aka makonda hakupiga magotiNyumbu tu wa Ufipa ndio wataamini, lakini Mimi niliyebatizwa jina la Sukuma Gang hata kami ni Mhaya Original SIKUBALI eti Makonda alipiga magoti! Nasema HAKUNA KITU KAM HICHO!
Hbr yako mlinda legacy!!Huyo msemaji na wewe Mmawia wote waongo na waoumbavu watupu!
Sasa hivi ni enzi ya majizi ya nchi kupambana na Legacy!
Mmh 🤔🤔 hebu ngoja kwanza nisome comments za walinda legacy na babu yao johnthebaptist!!Hujafa hujaumbika na hakuna aijuaye kesho yake.
Msikilize vizuri huu ujumbe jinsi Makonda alivyo mpigia mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Mbowe magoti.
View attachment 2592447
"Nikamwambia Makonda ninyi mmelifanyia taifa hili makosa, mmetesa watu, mmefunga watu, mmeua watu, huyu Mwenyekiti ulikwenda ukampima mkojo ukamsingizia mambo ya madawa ya kulevya. Leo unakuja hapa unapiga magoti kumwamkia Mwenyekiti wakati hujachukua hatua yoyote taifa lione kwamba unasikitika, kwamba hauna furaha na yale uliyoyasababisha!"
Ungekua na akili kijiko tu ungeweza kueleza upumbavu wake.Huyo msemaji na wewe Mmawia wote waongo na waoumbavu watupu!
Sasa hivi ni enzi ya majizi ya nchi kupambana na Legacy!
Mama Keegan umerudi.Halafu hamuna kideo wala hata lolote... Kuonyesha 🤔
Hali ya makonda ni mbaya sana leo na hata kesho.Hujafa hujaumbika na hakuna aijuaye kesho yake.
Msikilize vizuri huu ujumbe jinsi Makonda alivyo mpigia mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Mbowe magoti.
View attachment 2592447
"Nikamwambia Makonda ninyi mmelifanyia taifa hili makosa, mmetesa watu, mmefunga watu, mmeua watu, huyu Mwenyekiti ulikwenda ukampima mkojo ukamsingizia mambo ya madawa ya kulevya. Leo unakuja hapa unapiga magoti kumwamkia Mwenyekiti wakati hujachukua hatua yoyote taifa lione kwamba unasikitika, kwamba hauna furaha na yale uliyoyasababisha!"
Kwani yuko wapi kwanza makonda? Sio rahisi kupita wiki hata moja bila kuonekana.Nyumbu tu wa Ufipa ndio wataamini, lakini Mimi niliyebatizwa jina la Sukuma Gang hata kami ni Mhaya Original SIKUBALI eti Makonda alipiga magoti! Nasema HAKUNA KITU KAM HICHO!
Mbona hasira😅😅Huyo msemaji na wewe Mmawia wote waongo na waoumbavu watupu!
Sasa hivi ni enzi ya majizi ya nchi kupambana na Legacy!
Sukuma gang watapingaVyema Makonda alivyokiri makosa, sasa ametambua ile nafasi adhimu aliyopewa kuongoza aliipoteza, japo hata hawa waliopo sasa nao wanaongoza kimazoea mazoea tu.
Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app
Legacy my assHuyo msemaji na wewe Mmawia wote waongo na waoumbavu watupu!
Sasa hivi ni enzi ya majizi ya nchi kupambana na Legacy!