SUGU anafanya nini hapa?

SUGU anafanya nini hapa?

Hawa ndiyo makamanda wetu wanchi haito tawalika, alitakiwa awepo Bungeni leo.
 
anatoa 'Salute' ama salamu ya heshima za mwisho.
 
wa2 bwana!hapo cha ajabu nini?ka anzia shati licpeperushwe na upepo.we unadhan anafanyaje?hebu twambie
 
4.jpg Kamandaaaaa.....
 
Wakware ndio matatizo yao hayo; hawafikirii mambo ya maana wao ni .........basi!!
 
Wakware ndio matatizo yao hayo; hawafikirii mambo ya maana wao ni .........basi!!

mbona hakuna anaejibu jamani au nyie hamjaelewa kama mimi,mh.sugu kama umo humu hebu vunja ukimya wewe mwenyewe tuambie ulikua unafanya nini hapo
 
hongera kamanda sugu....!unaijua tasnia yA sanaa na wasanii...manake unajua tasnia hii imepoteza hazina kubwa kiasi gani...!

pumzika kwa amani "the devil kingdom"
 
Ana maanisha kuwa kifo cha Kanumba kimesababishwa na wivu wa Mapenzi ndo maana Kamanda kakamata Nyeti"
 
Back
Top Bottom