Subira

Subira

Upoleee... upole ni ngao yangu
Nakusubiri ii. ...Nakusubiri sichoki ii
Subira aaa...subira ni ngao nakusubiri ii. ..Nakusubiri sichoki
Iwe safi moyo wanguu. ...ooh wangu.....
Sina kinyongo na chukiii ooh chukiii....
Wabaya nafurahiaa. .sikwambii marafiki...wabaya nafurahiaa sikwambii marafiki.....

(Leo nimeamua kuwaburudisha na za kale)
Hujakosea hiyo avatar yake inaonyesha huyo njiwa khaswaaa.
 
Upoleee... upole ni ngao yangu
Nakusubiri ii. ...Nakusubiri sichoki ii
Subira aaa...subira ni ngao nakusubiri ii. ..Nakusubiri sichoki
Iwe safi moyo wanguu. ...ooh wangu.....
Sina kinyongo na chukiii ooh chukiii....
Wabaya nafurahiaa. .sikwambii marafiki...wabaya nafurahiaa sikwambii marafiki.....

(Leo nimeamua kuwaburudisha na za kale)
Nilikuja mbio kupata maknowledge yako,,,kumbe Leo umegeuka Issa Matona lol!!!
 
Gere mama Gere mamaa....Gere maaama Gere mama wanionea Gere!...watautwanga mtama waulime wenyewe eee....
Nguo ya kuazima haisitiriiii mwiliii.wewe mtu wa mia watakao elfu nnee...dau lako na mia wataka elfu mbilii ...yale nilokwambia sasa yameshatimiaa.....fahari eeh ndio mama wa ujingaa
Gere mama! Gere mama!
Sauti mbayaaa
 
Upoleee... upole ni ngao yangu
Nakusubiri ii. ...Nakusubiri sichoki ii
Subira aaa...subira ni ngao nakusubiri ii. ..Nakusubiri sichoki
Iwe safi moyo wanguu. ...ooh wangu.....
Sina kinyongo na chukiii ooh chukiii....
Wabaya nafurahiaa. .sikwambii marafiki...wabaya nafurahiaa sikwambii marafiki.....

(Leo nimeamua kuwaburudisha na za kale)
THANK YOU MUUNGWANA SASA NIMEANZA KUAMINI WEWE NI MUTU YA HIKIMA.
 
Unajua mwenza karibuni utatoka hospital utokapo tafadhali fika mjini umtafute mpaka umwone mchumba wangu Clara....nyumbani anapoishi ni msimbazi kota.....
Duu leo ni full shangwe ya zilizovuma na kupendwa enzi hizo
 
wimbo mmbaya,sababu kwenye outro umeninyima korabo hata yakunirusha kama zile nyimbo za kikongo haujafanya
Mbona hueleweki? Wimbo au wewe mwenyewe? Mi director wa muziki lakini siwezi imba. Niwekee sauti yako kwenye uzi huu ili tukusikie tutaamua. Mshana jr. atakuwa chief judge.
 
Mbona hueleweki? Wimbo au wewe mwenyewe? Mi director wa muziki lakini siwezi imba. Niwekee sauti yako kwenye uzi huu ili tukusikie tutaamua. Mshana jr. atakuwa chief judge.
 
Back
Top Bottom