Enzi zile dunia ilikuwa bado haijavaa bikiniNyimbo nzuri mkuu, ila nna mashaka walioitambua ni wachache sana, maana wenyewe wameshazoea miziki yao ya sikuhizi yenye adhabu katikaki ya burudani utasikia mikono juu, mikono juu, piga keleeeee
Zuwena zuwenaaaaa kweli nakupendaaaaaa.Zuwena...Zuwena nakupenda sana
![]()
Hata siwaachi na chochote maana naogopa kurogwaUnatuachaje sasa...!!!

Mkuu baadaye utatutisha ukisema huyu subira ni jini![]()
![]()
![]()
![]()
ni tabadili fani yani pamoja na kujitetea na kuweka angalizo lakini bado tuu
![]()
![]()
![]()
![]()
....yakatangazwa majina ya watuu waliokuwamo kwenye ajali hiyoo..mojawapo kati ya watu hao alikuwemo mpenzi Zuwenaaa. ...
Nikatoka bila kujitambua mikono kichwani huku nikilia....
Kuoana ni jambo la sifa, na tena ni jambo la fahari kubwa kwa watu wawili waliopendana.
Hivi leo Ndyanao na Saiba, mnaoana kumbukeni kuwa mmekuwa mmekubali ahadi yenu kwa Munguuu. Hivi mnawakumbuka Ndyanao na Saiba? Mnamkumbuka dada yake na Patrick Balisidya watu mliokuwa mlimani enzi hizo?
niah Mungu anatupenda sana tumeishi kuiona JF !Hapo tunasubiri kwenda Mtukura front line we acha tunawinda ndege wasile mpunga. Sisemi wapi watakuja wengi hapo.