Husisahau kuureta hukifanikiwa au hikishindikana. (Samahan lakin, hiv umesema hapo juu upo chuo, yaan mpaka hapo ulipo hujui namna ya kutumia herufi!). Husisahau aisee.husinambie, asanteni mmerudisha matumaini ntakomaa nae, then nitareta mrejesho
ndio mkuu, nilidhani ataniona kijana niliyetulia nisiyenapapara, maana ndugu zetu kutoka nje huwahawapendi uwatamkie mapema kuwa unawapenda, i'm telling you this maana ilishawahi kunitokea kwa mnorwei mmoja, tumefahamiana nae within a week nikatema cheche, akanambia "you are a liar, a great liar, you can't fall in love in a week". but end of the day nilifanikiwa ila kwa mbinde, it takes me four months, can you imagine? wanaume tunaangaika sie!
Aendelee kumfwatilia....? Labda anasema ukweli kiwa ana mtu.......kiuhalisia, wanawake wengi kama sio wote tunaotongoza wana watu wao, wapo wachache walioumizwa au kuamua kwa sababu zao kuwa wapweke, na huwa hamsemi utamkataa mtu kwa sababu zingine kabisa, hapo ni kamtihani jamaa amepewa ajiongeze
teh teh teh! umenifurahisha, ntafanya ivyo this weekendKwa ninavyowajua hao Wanyarwanda, pindi wakifaham kuwa wanagombewa mahali, huwa wanajiinua sana na kuwachuna kisawasawa. Mkuu hajapata mwingine. Take it from me. Mpe mtihani, leo. Mwambie kuna vijisenti vinakusumbua na unaomba umtoe out this weekend. Mwambiye unataka mwende mbali kidogo popote unapopajua umwonyeshe nchi yako ilivyo nzuri. Mwambiye asichukue chochote wewe unatosha. Kama ana mtu, si atakuambia?? Nakuhakikishia, kabla hujamalizia sentensi atakuwa kishajib
asante kaka, sasa naweza kutofautisha maziwa na tui la nazihahahaaaaaa,hapo ndipo ulipokosea mkuu,mzungu ni tofauti sana na mwafrika,siku nyingine usichanganye madesa
hizo ni writing error ndugu, mbona huku JF mnajifanya mnajua sana? kasoro zenyewe zina kasoro. ok, anyway. nitaleta mrejesho kama nitakavyoupataHusisahau kuureta hukifanikiwa au hikishindikana. (Samahan lakin, hiv umesema hapo juu upo chuo, yaan mpaka hapo ulipo hujui namna ya kutumia herufi!). Husisahau aisee.
Husisahauhizo ni writing error ndugu, mbona huku JF mnajifanya mnajua sana? kasoro zenyewe zina kasoro. ok, anyway. nitaleta mrejesho kama nitakavyoupata
ndo ivyo tena nshachelewa, lakini wadau wamenitia moyo, notamganda mithili ya mdudu kupe, tena in this weekendUngefunguka mapema akakuelewa mtoto
swadakta mkuuHana mtu huyo anakuzingua tu...mkazie uzi unakula mzigo
Wasichana wengi wanatumia hiyo slogan kujilinda bt ukimkazia unakula maini...kazi kwako
shukran, wikend hii ntamtega kumtoa out, akizingua namimi nafunga vioo nasubiri aje mwenyeweAmini amini nakwambia mlie bati mwenyewe atakuja ila ukimganda atakutesa vibaya