Mwambie akiyagutie mnyarwanda mwenzake ugonge na akufundishe "kunyaza"Kama wasemavyo wahenga kuwa "mapenzi hayana shujaa", mwenzenu yamenipata. Kuna dada mmoja mnyarwanda tunasoma nae chuo kimoja, yeye first year mimi third year.
Mimi ni miongoni mwa marafiki zake wa mwanzo hapa chuo kwa kuwa nilikuwa free kugonga nae kimombo maana wenzangu hawapendi kugonga kimombo muda mwingi.
Nilitokea kumpenda, siunajua tena wanyarwanda walivyojaliwa! yaani mashallah!. Lakini sikuwahi kumtamkia wazi zaidi ya texts za hapa na pale na callings kwa mbali.
Sasa leo nimefunguka na hii ndiyo text yake aliyonijibu:
"i have someone, i did it coz i thought we are just friends. u never talked so i thought u are not interested in. i gave that chance to someone else. so was it my fault or your fault?".
Nimeumia sana ndugu zangu.
mh! nami muda unakuja wakukamuaPole kwa kushika pembe wakati mwenzako anakamua na kunywa maziwa.
ntamwambiaMwambie akiyagutie mnyarwanda mwenzake ugonge na akufundishe "kunyaza"
Yeye hataki kula....anataka awe wake wa kudumu....ndiyo maana anaumiaMtoto wa kiume wewe jiamini, huo mzigo mbona unaula kabisa mkuu!
Kila la herimh! nami muda unakuja wakukamua
asante mkuu, umepatia vyote kasoro domo zege, mi sio domo zege ata kidogo nduguYaani kwa thread yako tu naweza kupiga picha ulivokua domo zege na michomekeo yako, begi lako mgongoni na kidhungu chako cha kuunga unga! Na usipobadilika amini nakuambia utakua inaambulia manyoya kila siku
asante kwa ushauriUlifanya maamuzi magumu kutomwambia lakini siku nyingine usione ugumu kufanya maamuzi magumu ktk maisha yako
yeah ndugu, naamini falsafa iyoAu ndo zile usinikubali haraka
asante, ila naomba ifahamike kuwa mimi siyo domo zege, ningekuwa domo zege ningekuwasijamjua msichana hadi leo, lakini nshawajua wasichana kama wanne ivisiku nyingine usiwe domo zege kiasi hicho
kiuhalisia, wanawake wengi kama sio wote tunaotongoza wana watu wao, wapo wachache walioumizwa au kuamua kwa sababu zao kuwa wapweke, na huwa hamsemi utamkataa mtu kwa sababu zingine kabisa, hapo ni kamtihani jamaa amepewa ajiongezeYeye hataki kula....anataka awe wake wa kudumu....ndiyo maana anaumia
asanteKila la heri
asante, ila naomba ifahamike kuwa mimi siyo domo zege, ningekuwa domo zege ningekuwasijamjua msichana hadi leo, lakini nshawajua wasichana kama wanne ivi
husinambie, asanteni mmerudisha matumaini ntakomaa nae, then nitareta mrejeshoMpaka hapo unaumiza kichwa wakat mwenyew keshaelekea kibla! Kaa ushangae hapo
Naomba nikuelekeze kidogo tu. Huwa noun hazifatani,If me I were you, siwezi hata kumtamkia namtaka au nampenda but atajikuta tu yeye ndo anabwabwaja yote hayo. Na mzigo ananipa ndio anaanza kuhangaika ooo mi nakupenda...
Ji evaluate mkuu
ndio mkuu, nilidhani ataniona kijana niliyetulia nisiyenapapara, maana ndugu zetu kutoka nje huwahawapendi uwatamkie mapema kuwa unawapenda, i'm telling you this maana ilishawahi kunitokea kwa mnorwei mmoja, tumefahamiana nae within a week nikatema cheche, akanambia "you are a liar, a great liar, you can't fall in love in a week". but end of the day nilifanikiwa ila kwa mbinde, it takes me four months, can you imagine? wanaume tunaangaika sie!sasa unalalamika nn mkuu,au ulijua kwa kukawia kwako kumtamkia kuwa unampenda ndio atakuona wewe ndio upo poa kwa kuwa hukumtamkia mapema
Mwambie akupe nduguyeKama wasemavyo wahenga kuwa "mapenzi hayana shujaa", mwenzenu yamenipata. Kuna dada mmoja mnyarwanda tunasoma nae chuo kimoja, yeye first year mimi third year.
Mimi ni miongoni mwa marafiki zake wa mwanzo hapa chuo kwa kuwa nilikuwa free kugonga nae kimombo maana wenzangu hawapendi kugonga kimombo muda mwingi.
Nilitokea kumpenda, siunajua tena wanyarwanda walivyojaliwa! yaani mashallah!. Lakini sikuwahi kumtamkia wazi zaidi ya texts za hapa na pale na callings kwa mbali.
Sasa leo nimefunguka na hii ndiyo text yake aliyonijibu:
"i have someone, i did it coz i thought we are just friends. u never talked so i thought u are not interested in. i gave that chance to someone else. so was it my fault or your fault?".
Nimeumia sana ndugu zangu.
tatizo uliopenda ni moyo ndugu, umempenda yeye na siyo nduguyeMwambie akupe nduguye