Subaru forester ni gari ya maskini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Subaru forester ni gari ya maskini

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by rosemarie, Sep 13, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nimefanya research nimegundua Subaru forester ni gari nzuri hasa kwa barabara zetu na hali halisi tuliyo nayo
  parts za subaru kama bolljoint, shock up,cv joint,rack hand zinadumu kwa muda mrefu sana kulinganisha na magari mengine
  kama wewe unajijua ni smart nunua subaru utadumu nayo miaka mingi mno
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,289
  Likes Received: 22,057
  Trophy Points: 280
  asnte kwa ushauri. Vipi kuhusu matumizi yake ya mafuta?
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Corolla 100 & Probox ni magari yanayofahamu vizuri ugumu wa maisha ya MTANZANIA!

  Lita 10 za Petrol ni sawa na km 140! Kwa sisi tunaoishi Bunju round trip ya CBD unafanya nne! [Mon-Thur]!
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mafuta sio mbaya sana,lita moja inakwenda kl 11,nafikiri ni gari ya heshima na ya kudumu kwa muda mrefu,haiharibiki ovyo ovyo
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Kila kitu Nissan bana!
  Roho ya paka! Barabara zote tanzania unakwenda tu, ukifunga original spare part biashara imekwisha.
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  nakubaliana na wewe mkuu. any nissan 4-wheel inakuwa pouwa. ila siku ya kubadilisha hizo original spare parts inabidi utoe hela huku umejishikilia mahali,manake unaweza kupata homa! ila upuuzi wa kuharibikiwa sijui na nini sahau. sio mbaya kuwa na kagari kengine ka kuendea kanisani lakini,lol
  <br />
  <br />
   
 7. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  naona wewe ndo unajua haya mambo bana! Kagari ka kwenda kanisani mmmmmhhh! Ofcoz!
   
 8. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kuna kitu mmegundua wakuu??ukiwa na gari moja unataka na kengine kadogo,,teheehe,,hilo linasumbua wengi sana
   
 9. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  [​IMG]+BAN...BAN..BAN [​IMG]=nissan!

  kitu vitz bana...!
  hahahahahahahahahaha!
  vruuuuuuuuuuuuuuuuum DAR-IRINGA-DAR!

  spare parts zake hakuna kujishika popote....mkono huu umeshika serengeti na kiroba,mkono huu unatoa pesa sh elfu arobaini tu...

  habarr zenyoo banaaa
   
 10. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  lakini origina mkuu??au ni zile za miezi miwili lazima ubadilishe
   
 11. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  MKUU spare za toyota zipo available sana tu na bei zake za sisi watanzania wa kawaida...!

  just imagine IRINGA-DAR LITA 25 ZA MAFUTA....!hapo umeshabeba mkaa gunia,nyanya,vitunguu,matikiti,matopetope,maembe,ndizi,mchele na vichwa vitatu kwa elfu 45.....!sijafikiria kabisa kupanda basi mkuu!
   
 12. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mimi naikubari sana Suzuki Escudo old model, je waweza kuizungumzia hiyo?
   
 13. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  hahahahaaaa!
   
 14. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  miaka mitatu iliyopita nilimiliki suzuki escudo 1996 model,2.0lt
  niliipenda sana ilikuwa haili mafuta ila nilichukizwa na wepesi wa gari
  ni nyepesi sana hasa ukiwa barabarani unadrive fast ukikutana na gari nyingine inayumba sana
  halafu kwenye barabara zetu za udongo inakuwa kama siyo durable sana
  kwa bahati niliiuza kabla sijagundua matatizo ya suzuki
   
 15. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #15
  Aug 9, 2014
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  subaru.jpg

  cheki kitu hii !!!
   
Loading...