waingereza wana kasumba hiyo,hata hao waliwika kutokana na umahiri wa FC Barcelona,na england kwa ligi ya Spain wanakuza timu 2 wanazitangaza na kiasi kwamba utasikia wa2 wanadai ligi ya spain haina upinzani 7bu timu 2 na wanajaa mpk el clasico ndio wengi wanaangalia mechi hiyo tu,kwahiyo ni vigumu kifaa kutoka Rayo Vallecano au zaidi ya timu hizo el clasico mchezaji kuchezea kujulikana,wewe unadhani hao uliowataja wangekuwa sio Barca au AC Milan kuwaona ktk UEFA Champions ligi ungewajua?lakini Suarez UCL hajacheza akiwa na Liverpool lakini tayari maarufu,kinyume na la liga kama hawajakuona ktk UCL hautajulikana,eg kina Falcao kajulikana ktk UCL na kuwafunga Chelsea ktk super cup hat tric,ndio utakuta Aguero hajawahi kucheza na Atetico Madrid UCL hakujulikana mpk kaja England,Torres alikuwa Atletico Madrid nae hakujulikana mpk kaja England,kina Cazorla,Navas,Negredo na kadhalika.