Suarez v diego costa

Suarez v diego costa

Tusipende Kuwa wa nazi jamani mwaka Jana mbona nilisema robin van Parsie mkali? Tusipende kucheka kitu bila sababu sababu tunaongelea Costa na Suarez tu seem ukweli mbona striker zenu haziwafungi hao vibao de kwahiyo inamaanisha wabovu ? Kama alivyo Benteke sasa hivi? suarez kamzidi hata Assist Huyo Costa hata welbeck tukitoa unazi mkali zaidi ya ma striker wote wanaochezea Chelsea na nimesema sio kwa kuichukia Chelsea kwa ukweli.
 
Mnafananisha kifo ( Suarez) na Usingizi ( d Costa)!!!! AfterMessi&Ronaldo anayefuata ni L Suarez!! Kushindwa kuzifunga timu kubwa ni jitihada ya hzo timu KUMCHUNGA KM HEWA YA OXYGEN! AMEKUJA ENGLAND 2011 JAN,alichowafanya man u mpaka dirk kuyt anafunga 3pekeyake Natumai unakumbuka., Game aliyomng'ata ivanovic alifunga kwa kichwa na game kuisha. 2-2!man cty ameshamfunga Joe Hart kwa faulo zaid ya mita 27 toka golini! Mancini analijua hili.MWACHE SUAREZ AITWE SUAREZ NDG
 
Suarez ngoma nyingine. Mimi ni Utd damu ila ukweli nasema. Namuogopa sana huyu goal machine. Waache wajitahidi wakacheze UEFA
 
Mbona huyo Costa kashindwa kuifunga 'timu kubwa' jana?

unajua ana magoli mangapi UCL mpaka sasa na ktk mechi ngapi?jamaa hatari tupu,hata rekodi zinaonyesha suarez amefunga zaidi dhidi ya vibonde yani timu 5 za chini,na hajafunga dhidi ya timu 6 za juu mbona rekodi zipo wazi!na kinachomsaidia ni kucheza ligi tu kiasi anapata muda mwingi wa kupumzika,tofauti na wenzake wanaoshiriki UCL wanakutana na timu nyingi kali hapohapo bado wanapiga magoli wakirudi ktk ligi licha ya uchovu,subiri acheze ucl utamkataa huyo zombi kama hajadaka mipira na kung'ata watu
 
Suarez ngoma nyingine. Mimi ni Utd damu ila ukweli nasema. Namuogopa sana huyu goal machine. Waache wajitahidi wakacheze UEFA

hamna kitu hapo,angeipeleka timu yake Brazil kwanza ndio angekuwa wa maana,machine huzioni kina CR7,RIBERY n.k?kashndwa kuisaidia timu yake ya taifa kila nyanja,kombe la mabara kachemka,kufuzu WC katokota,liverpool msimu wa ngapi huu hata UEFA ndogo kashndwa kuisadia,hamna kitu hapo pumba tupu kumfananisha na diego costa ni matusi makubwa japo ni mchezaji mzuri ila hana effect!
 
Mnafananisha kifo ( Suarez) na Usingizi ( d Costa)!!!! AfterMessi&Ronaldo anayefuata ni L Suarez!! Kushindwa kuzifunga timu kubwa ni jitihada ya hzo timu KUMCHUNGA KM HEWA YA OXYGEN! AMEKUJA ENGLAND 2011 JAN,alichowafanya man u mpaka dirk kuyt anafunga 3pekeyake Natumai unakumbuka., Game aliyomng'ata ivanovic alifunga kwa kichwa na game kuisha. 2-2!man cty ameshamfunga Joe Hart kwa faulo zaid ya mita 27 toka golini! Mancini analijua hili.MWACHE SUAREZ AITWE SUAREZ NDG

mibange hiyo hatare kwa afya yako!
Gwiji la soka duniani RONADINHO GAUCHO alikaririwa akimzungumzia mchezaji mwenzake Messi baada ya kuchukua tuzo ya uchezaji bora mwaka flani nanukuu"HUWEZI KUWA MCHEZAJI BORA DUNIANI KWA KUZIFUNGA RAYO VALECANO,OSASUNA,ESPANYOL,GETAFE" sijui kama mulimuelewa hapa?maana sijui wengne munatumia nn kufikiri
 
hamna kitu hapo,angeipeleka timu yake Brazil kwanza ndio angekuwa wa maana,machine huzioni kina CR7,RIBERY n.k?kashndwa kuisaidia timu yake ya taifa kila nyanja,kombe la mabara kachemka,kufuzu WC katokota
Tuanzie hapa
1. Hivi unajua aliyeongoza kwa kufunga goli nyingi kwenye World cup qualifying msimu huu huko South America?,

2. Na huyo Diego Costa umeanza kumjua lini!?

3. Uafahamu hata timu yake ya Taifa ya wakubwa anayochezea?

4. Kacheza game ngapi kwenye timu ya Taifa na kafunga goli ngapi af ndio uje umlinganishe na suarez.
 
Tusipende Kuwa wa nazi jamani mwaka Jana mbona nilisema robin van Parsie mkali? Tusipende kucheka kitu bila sababu sababu tunaongelea Costa na Suarez tu seem ukweli mbona striker zenu haziwafungi hao vibao de kwahiyo inamaanisha wabovu ? Kama alivyo Benteke sasa hivi? suarez kamzidi hata Assist Huyo Costa hata welbeck tukitoa unazi mkali zaidi ya ma striker wote wanaochezea Chelsea na nimesema sio kwa kuichukia Chelsea kwa ukweli.

acha bange haikupendi!
Luis suarez ni mzuri hatukatai ila rekodi zake bado sana kumfananisha na costa,mwenzie kwenye ligi anashika nafac ya pili tena kwa point sawa na anayeongoza ligi na ucl anaongoza kundi na magoli yake muhimu sana,ila suarez si uruguay si liverpool ambyo kaisaidia chochote,hvyo kuwafananisha hawa subr liver wacheze ucl,huwezi kulinganisha mtu anayeshndana na kina welbeck,giroud,demba ba,benteke, na mtu ambaye anatoa homa kwa CR7,MESSI,SANCHEZ,NEYMER,HULK,MANDZUKIC,LEWANDOWSKI,MARTINEZ,ROONEY,RVP,benzema,higuain,cavani,ibraimovic n.k huo ni upumbavu wa dhahiri kwa sasa costa huwezi mfananisha na suarez maana suarez hata RVP hampati kwani anaisaidia timu,liverpool wakimaliza bg4 na kufuzu ucl ndo 2tajaribu kumfananisha suarez na costa ila kwa sasa utakuwa uwendawazimu.kuongoza ligi na ufungaji dhidi ya madrd,barca,messi na cr7 co mchezo
 
mibange hiyo hatare kwa afya yako!
Gwiji la soka duniani RONADINHO GAUCHO alikaririwa akimzungumzia mchezaji mwenzake Messi baada ya kuchukua tuzo ya uchezaji bora mwaka flani nanukuu"HUWEZI KUWA MCHEZAJI BORA DUNIANI KWA KUZIFUNGA RAYO VALECANO,OSASUNA,ESPANYOL,GETAFE" sijui kama mulimuelewa hapa?maana sijui wengne munatumia nn kufikiri

Kama issue ni kuzifunga timu kubwa ndio huwe mchezaji bora, nadhani kwangu Michu wa Swansea City ndiye atakuwa mchezaji bora, niambie timu kubwa ya BPL ambayo haijawahi kugmfungwa na huyu jamaa?!
 
mda mwingine tutumie akili za kawaida tu,michu kaifanyia nini swansea na hispania?unaweza ukafunga magoli ila yasiwe muhimu kwa timu,amechukua bpl?amefuzu ucl?ameitwa spain?na hayo ndiyo yanayomnyima credit suarez kwa sasa!angalia magoli ya RVP japo co mengi sn bt ni muhimu kwa timu,sasa suarez anafunga migoli kibao timu ipo palepale kama sanamu la posta
 
Tuanzie hapa
1. Hivi unajua aliyeongoza kwa kufunga goli nyingi kwenye World cup qualifying msimu huu huko South America?,

2. Na huyo Diego Costa umeanza kumjua lini!?

3. Uafahamu hata timu yake ya Taifa ya wakubwa anayochezea?

4. Kacheza game ngapi kwenye timu ya Taifa na kafunga goli ngapi af ndio uje umlinganishe na suarez.

sasa hayo magoli yake ktk mechi za kufuzu yameisaidia nini uruguay?acha bange!

Basi tufanye magoli ya suarez yameipeleka uruguay brazil(umefurahi?)

hapa hatuangalii historia na hata tukiangalia hayo suarez kaifanyia nini uruguay?kudaka mpira ambao ulikuwa goli la wazi dhidi ya ghana ?hilo naamini ndilo aliloisaidia timu yake kufika robo final world cup,ingawa ile ilikuwa kazi ya kipa na yeye kaz yake kufunga!zaid ya hapo hamna kitu
COSTA KWA SASA YUPO JUU YA SUAREZ KUBALI KATAA
 
sielewi swala moja la watu kukataa uwezo wa Suarez, mtu aliyeanza mechi ya kwanza wakat top scorer ana magoli 8 leo yeye anaongoza kwa magoli 9 mbele, dalili ya uchizi ni kukataa ukweli, wote unaokataa ubora wa Suarez mtakuwa machizi kidogo
 
unadandia treni kwa mbele jombaa!hakuna anayekataa uwezo wa suarez hapa...tatizo ni mtu anayelinganishwa nae hapo ndipo kwenye tatizo,jaribu kupitia michango ya wengine ndio utaelewa vizuri!
Mi namlaumu mleta mada angempambanisha suarez na sturridge,giroud,lukaku,na wanaofanana na hao ila kwa RVP,AGUERO,ROONEY atasubiri
 
kaka nafuatilia mpira na namjua huyo Costa wenu, acheni unazi mwisho wa msimu utabadili kauli mkibisha subiria Brazil ndo mtamtambua vzur
 
sasa hayo magoli yake ktk mechi za kufuzu yameisaidia nini uruguay?acha bange!

Basi tufanye magoli ya suarez yameipeleka uruguay brazil(umefurahi?)

hapa hatuangalii historia na hata tukiangalia hayo suarez kaifanyia nini uruguay?kudaka mpira ambao ulikuwa goli la wazi dhidi ya ghana ?hilo naamini ndilo aliloisaidia timu yake kufika robo final world cup,ingawa ile ilikuwa kazi ya kipa na yeye kaz yake kufunga!zaid ya hapo hamna kitu
COSTA KWA SASA YUPO JUU YA SUAREZ KUBALI KATAA

kaka Uruguay wako kundi moja na England
 
Kwa info tu Luis Suarez ndiye aliyeibeba Uruguay kwenda Kombe la dunia Brazil mwaka huu. Na ndiye aliyebeba kiatu cha dhahabu kwa kuwa mfungaji bora wa mashindano akiwapita mastraika wakali wote unaowajua kina Messi,Edson Cavani,Higuain hata huyo Diego Costa ambaye sijui hata kama ana goli moja timu ya taifa! Hebu pitia link hii http://www.express.co.uk/sport/foot...Everton-after-securing-Uruguay-World-Cup-spot
 
kaka nafuatilia mpira na namjua huyo Costa wenu, acheni unazi mwisho wa msimu utabadili kauli mkibisha subiria Brazil ndo mtamtambua vzur

ok!ngoja tusubiri june sio mbali tuombe uzima ndugu yangu
 
timu ndogo zinacheza premier league? kuweni wakweli suarez yupo vizuri sana msimu huu
Kwa kiwango chako cha akili ManCity na Cardiff ipi timu kubwa? Arsenal na Sunderland currently ipi ndogo na ipi kubwa? Ukubwa wa timu ni ile kiwango chake katika uchezaji soka ndani ya Ligi na nje ya Ligi.
 
sasa hayo magoli yake ktk mechi za kufuzu yameisaidia nini uruguay?acha bange!

Basi tufanye magoli ya suarez yameipeleka uruguay brazil(umefurahi?)

hapa hatuangalii historia na hata tukiangalia hayo suarez kaifanyia nini uruguay?kudaka mpira ambao ulikuwa goli la wazi dhidi ya ghana ?hilo naamini ndilo aliloisaidia timu yake kufika robo final world cup,ingawa ile ilikuwa kazi ya kipa na yeye kaz yake kufunga!zaid ya hapo hamna kitu
COSTA KWA SASA YUPO JUU YA SUAREZ KUBALI KATAA
Ulivyoandika kishabiki utadhani Uruguay haija qualify World Brazil, Kaangalie group D zipo timu gani. Suarez ndio kaisaidia kuipeleka huko. Vipi Costa kwenye National team?

Nimekuuliza swali rahisi umeshindwa kunijibu, Huyo Costa anachezea timu gani ya Taifa na kacheza game ngapi!?

Kuhusu kudaka mpira na Ghana hauoni aliisaidia timu yake ya Taifa kwenda nusu fainali? Mbona Maradona tunamuona shujaa pamoja na goli lake la mkono.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom