Suarez v diego costa

Suarez v diego costa

Hahaha kaka,kwani ubora wa magoli unaangalia umezifunga timu kubwa? Kwani timu anazozifunga Suarez hao wengine je hawachezi nazo?? El- Pistorelo ni injini nyingine bana..... Kumbuka hata mwaka jana hadi anafungiwa mechi 10 alikuwa anaongoza kwa goli 23 ambapo Van Persie alichukua advantage ya kukosa mpinzani. This time tena licha ya kutocheza mechi 5 za mwanzo bado amemzidi goli 9 mfungaji anayefuatia. Tukubali tu jamaa fundi.....na kuna uwezekano wa msimu huu kuvunja rekodi ya mfungaji bora wa EPL kwa kupita goli 34,rekodi ya Alan Shearer na Andy Cole kwani ana mechi 17 mkononi akibakisha goli 13 tu kuifunika hiyo rekodi.
 
Nimekusoma sana mkuu kwa nyongeza kwani spain hawana timu zinazoitwa na baadh ya wadau et tim ndogo? Jibu ni zipo hata ushindan spain n mdogo tofaut na uingereza wajama.
 
Nakubali ushindani wa Spain ni mdogo zaidi na ndiyo maana timu bingwa zinajulikana karibia miaka 10 ni timu mbili tu ndo zinabadilishana tofauti na England.... Angalia misimamo ya ligi huwezi jua EPL nani bingwa hadi sasa wakati La liga bingwa unaweza predict. Ila yote ktk yote tisubiri mwisho wa Ligi na kombe la dunia najua ndo yatatupa picha kamili ya hawa watu wawili. Ila kwangu turufu inamuendea Luis Suarez,ni mtazamo tu.
 
acha bange haikupendi!
Luis suarez ni mzuri hatukatai ila rekodi zake bado sana kumfananisha na costa,mwenzie kwenye ligi anashika nafac ya pili tena kwa point sawa na anayeongoza ligi na ucl anaongoza kundi na magoli yake muhimu sana,ila suarez si uruguay si liverpool ambyo kaisaidia chochote,hvyo kuwafananisha hawa subr liver wacheze ucl,huwezi kulinganisha mtu anayeshndana na kina welbeck,giroud,demba ba,benteke, na mtu ambaye anatoa homa kwa CR7,MESSI,SANCHEZ,NEYMER,HULK,MANDZUKIC,LEWANDOWSKI,MARTINEZ,ROONEY,RVP,benzema,higuain,cavani,ibraimovic n.k huo ni upumbavu wa dhahiri kwa sasa costa huwezi mfananisha na suarez maana suarez hata RVP hampati kwani anaisaidia timu,liverpool wakimaliza bg4 na kufuzu ucl ndo 2tajaribu kumfananisha suarez na costa ila kwa sasa utakuwa uwendawazimu.kuongoza ligi na ufungaji dhidi ya madrd,barca,messi na cr7 co mchezo

Mkuu Happycuit!

Nilipoanza kusoma post zako mwanzoni kabisa wa uzi huu,niligundua unatumia unazi sana kupost hapa,wewe ni mnazi wa Man Utd! KUBALI,KATAA!

Luis Alberto Suarez Diaz,ni balaa sana kwa sasa mjomba! Nina wasiwasi either humfahamu Suarez au umeamua tu kubisha..

Mtu wnayefuatilia EPL vizuri anamfahamu vizuri Suarez ni nani,Kumlinganisha na RVP ni kutomtendea haki hata kidogo...

Ngoja niishie hapa,kama utakuwa hujanielewa,"watu wa mpira" watakuwa wamenielewa...

Diego costa yupo poa sana,ila suarez yupo safi zaidi yake...unaweza kuamua kukubaliana nami au kuendelea kupost kinazi...

BTW..nadeclare interest...mimi ni shabiki wa kutupwa wa Liverpool FC...YNWA!!
 
Last edited by a moderator:
Suarez ndo mchezaji aliyefunga gol la msim dhid ya nolwich alifunga umbali wa mita 40 huyo costa mpaka leo kapata gol la dzain hiyo?
 
kuondoka kwa Falcao pale Atletico madrid ndo kuliko mpandisha chat Diogo Costa, Falcao alikuwa akimfunika costa sana. Atletico Madrid walimuuza Falcao wakijua wanambadala wake hapa namaanisha Diego costa.

Pale Barcelono, kama mtakumbuka, Deco, na Gaucho walikuwa wakiwazibia Andrea Iniesta na Leonel messi kwa kuwa tu walikuwa ni wachezaji wenye majina. Deco alipoondoka iniesta akaanza kupata nafasi mpaka sasa panga pangua ana namba ya kudumu labda awe majeruhi, hali kadhali kwa messi hivyo hivyo.

Luis Suarez yeye ni aina ya mchezaji kama alivyo cr7 na messi. Wanauwezo binafsi, wasipopangwa timu inakuwa kwenye hali mbaya. Suarez anafunga, kwa style yoyete ile, free kick, kichwa, kulazimisha na kila aina ya vurugu. Nakuhakikishia kama Suarez angeanza tangu mwanzo wa ligi livepool ingekuwa mbali.
Suarez ni mkali!
 
Mkuu Happycuit!

Nilipoanza kusoma post zako mwanzoni kabisa wa uzi huu,niligundua unatumia unazi sana kupost hapa,wewe ni mnazi wa Man Utd! KUBALI,KATAA!

Luis Alberto Suarez Diaz,ni balaa sana kwa sasa mjomba! Nina wasiwasi either humfahamu Suarez au umeamua tu kubisha..

Mtu wnayefuatilia EPL vizuri anamfahamu vizuri Suarez ni nani,Kumlinganisha na RVP ni kutomtendea haki hata kidogo...

Ngoja niishie hapa,kama utakuwa hujanielewa,"watu wa mpira" watakuwa wamenielewa...

Diego costa yupo poa sana,ila suarez yupo safi zaidi yake...unaweza kuamua kukubaliana nami au kuendelea kupost kinazi...

BTW..nadeclare interest...mimi ni shabiki wa kutupwa wa Liverpool FC...YNWA!!

yah!nimekupata mkuu wangu suarez ni zaidi ya costa kwakweli,
 
Last edited by a moderator:
fafanua,hawana pesa au timu ndogo costa hawez kwenda

Happycuit Arsenal wamesema hawana pea kwasasa na hawanunui mchezaji mwingine ambae ni world class,bajeti ya Ozil imeharibu mipango yote ya matumizi..so labda bajeti ya msimu ujao.
 
Happycuit Arsenal wamesema hawana pea kwasasa na hawanunui mchezaji mwingine ambae ni world class,bajeti ya Ozil imeharibu mipango yote ya matumizi..so labda bajeti ya msimu ujao.

ah!kumbe?ila source ya taarifa yako mkuu tafadhari
 
Haha hatimaye Happycuit umemkubali Mfalme wa majogoo kiulaini kabisa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom