Suarez v diego costa

Suarez v diego costa

huyu diego costa anachezea tmu ya taifa gani? na alishawahi kuitwa kweli?
 
Mnafananisha kifo ( Suarez) na Usingizi ( d Costa)!!!! AfterMessi&Ronaldo anayefuata ni L Suarez!! Kushindwa kuzifunga timu kubwa ni jitihada ya hzo timu KUMCHUNGA KM HEWA YA OXYGEN! AMEKUJA ENGLAND 2011 JAN,alichowafanya man u mpaka dirk kuyt anafunga 3pekeyake Natumai unakumbuka., Game aliyomng'ata ivanovic alifunga kwa kichwa na game kuisha. 2-2!man cty ameshamfunga Joe Hart kwa faulo zaid ya mita 27 toka golini! Mancini analijua hili.MWACHE SUAREZ AITWE SUAREZ NDG
Sijui kama unakijua unachokiongea...Kumbe Suarezi ni kifo tayari?...Sasa kwa akili yako kifo na Usingizi bora kipi? Au kwakuwa ukishakufa unaenda Peponi? Kukutana na mabikra?...Kheheheee
 
huyu diego costa anachezea tmu ya taifa gani? na alishawahi kuitwa kweli?
Diego Costa ni Mbrazili kwa kuzaliwa. Akachukua uraia wa Spain. Kwakuwa Brazil walileta dharau dogo akawatosa kuichezea timu ya Taifa lake, akasema ataichezea Spain...so angalia records zake Spain, ingawa amekuwa ruled out for Injury
 
ok!ngoja tusubiri june sio mbali tuombe uzima ndugu yangu

Ndo tatizo la kumsikiliza sana shaffih dauda na sport xtra..alo kwambia uruguay awatacheza wc nani..unajifanya kunjua diego saana wakati mtu mwenyew umeanza kumfaham kipindi hiki cha tetesi za usajili..suarez ni bonge la striker wewe and he is doing everythng for u haters..na ndo maana beside all aloyafanya mashabiki wa england walikosa jinsi waka mvotia na akapewa tuzo,22 goals in 16 matches.. unamfananisha na van persie alofunga 28 msimu mzima..?unahitaji drip ya glucose c bure.
 
Mna chuki na Suarez ndio maana hamumkubali Happycuit lakini moyoni unajua tu nani bora
 
Last edited by a moderator:
Ndo tatizo la kumsikiliza sana shaffih dauda na sport xtra..alo kwambia uruguay awatacheza wc nani..unajifanya kunjua diego saana wakati mtu mwenyew umeanza kumfaham kipindi hiki cha tetesi za usajili..suarez ni bonge la striker wewe and he is doing everythng for u haters..na ndo maana beside all aloyafanya mashabiki wa england walikosa jinsi waka mvotia na akapewa tuzo,22 goals in 16 matches.. unamfananisha na van persie alofunga 28 msimu mzima..?unahitaji drip ya glucose c bure.

si bure umechanganyikiwa!tusubiri june nimekwambia
 
Diego Costa ni Mbrazili kwa kuzaliwa. Akachukua uraia wa Spain. Kwakuwa Brazil walileta dharau dogo akawatosa kuichezea timu ya Taifa lake, akasema ataichezea Spain...so angalia records zake Spain, ingawa amekuwa ruled out for Injury

kumbe kakimbia brazil basi huyu ni mbovu tu bila shaka ni tunda la msimu.
 
Jamaa ameitwa mara moja tu ktk mechi ya kirafiki dhidi ya Italy ambapo aliingia kama sub ya mfungaji bora wa mashindano ya mabara Fred. Toka hapo hakuitwa hata katika mashindano ya mabara ambapo Brazil ilibeba ndoo.... Jamaa akasusa!! Ila bila uwepo wake mbona Spain anayoitaka ililala 3-0.
 
Work online and earn up to $1100 guaranteed per week through telexfree.
Be free to call and ask how it operates!
0714443969
unataka wenzio wakeshe online 24hrs bure
 
Wajama mnazungusha mno suarez hajazifunga tim kubwa msimu huu 2 msimu uliopita alisawazisha gol kwa chelse ikawa draw ya 1-1 anfild kisha 2-2 stamford bridge, man city pia alifunga gem zote etihad 2-2 gol alifunga kwa fauro kisha anfild pia 2.2 sasa mnataka nn kingine msadiwe tatzo mme kariri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom