Suala la posho za wabunge

330,000.Tshs ????? That is take home salary for normal government employee who work hardly under harsh environment per Monthly. Those MPs what are they doing which is so special!!!! to sit down and to pass the law?? duh!!!!!
 
Kamba iko wapi n'jinyonge miyeee nikapumzike akhera!
 
Nabariki posho za JF kila mmoja wenu atapata 100,000 kwa siku.
 
nimesikitishwa na mchango legelege wa mawazo kutoka kwa Mnyika na nimesikitishwa zaidi na mbunge Selasini ambaye ameunga mkono posho mpya na kumshutumu Zitto. Hao wa CCM walishanisikitisha zamani, lakini hata hawa?
 
330,000.Tshs per day????? That is take home salary for government employee who work hardly under harsh environment per Monthly. Those MPs what are they doing which is so special!!!! to sit down and to pass the law?? duh!!!!!
 
nasubiri jioni nimsikilize kibonde ataongea nini...kuhusu hili jana alini boa kweli ...
 
Faiza Foxy, Ritz please commentF!!!
 
Tukopamoja wapiganaji wetu nafikiri nchi hii wanasiasa wake wengi ni VIBARAKA wa UBEBERU hawako tayari kuona Tanzania ikijikomboa TUTAPAMBANA NAO mpaka kieleweke.

 
Sikutaka kuamini kwamba serikali ya ccm chini. ya ya jk na pinda imeridhia nyongeza ya posho za wabunge toka elfu 70 mpaka laki 2 kwa siku mpaka niliposkia habari hiyo ktk takriban magazeti yote asubuhi hii.

Ikumbukwe kwamba haya yanafanyika ktk kipindi ambacho serikali hiyohiyo imewanyima posho madaktari hata wasio na mishahara kama interns. Je, kwa stahili hii ya serikali tatizo la nchi yetu ni umaskini? Serikali basi iache kusingizia umaskini na iseme ukweli kuwa nchi inazo hela za wanasiasa na si wananchi wengineo.

Ikumbukwe pia kuwa awali JK alikataa kusaini nyongeza hiyo akidai hali ni mbaya kwa wote, bila shaka wakiwemo madaktari. Je, sasa hali imeboreka kwa wengine mpaka aridhie kwa wanasiasa hao tu?

Mungu ibariki Tanzania, Mungu iepushe na ccm.
 
Without justice – Government is nothing but a band of robbers
 
Tukopamoja wapiganaji wetu nafikiri nchi hii wanasiasa wake wengi ni VIBARAKA wa UBEBERU hawako tayari kuona Tanzania ikijikomboa TUTAPAMBANA NAO mpaka kieleweke.

kwa maneno na kuandika JF pekee?

Mimi naamini ukombozi umekaribia. umekaribia kiihivi, iwapo POLICE, MAGEREZA, WALIMU, JWTZ, na watumishi wengine watasimama wajihoji mishahara yao, naamini kesho tu wote watakuwa wamegoma kuwaunga madaktari jitihada za kujikomboa. Polisi wataingia kazini lakini kusign na kuondoka, walimu pia wafanye hivyo, polisi wakitumwa kwenda kuwapiga walimu, madaktari wanaogoma, ndo kwanza wao wanawalinda kama mpaka kwa rais wafike bila mtu yeyote kuwabugudhi. tukifanya hivyo kila mtu na nafasi yake, lazima kieleweke
 
zitto alichofanya kama taarifa yako ni sahihi ni chema sana. Lakini kusema wabunge wote wanamtukana, nadhani ni vema ukafafanua walikuwa wakina nani. Ina maana hata wabunge ambao yeye ni N/katibu mkuu wao wamemtukana? Hebu nyoosha maelezo!

ndugu yangu baadhi ya wabunge wa CHADEMA akiwamo hata mbowe wanamuona ZITTO ni threat kubwa sana kwao, wanamchokonoa huku na huku kutafuta ubaya wake, but the boy is very smart katika baadhi ya maeneo alipozunguzmzia suala la kufutwa posho za wabunge hakuna mbunge yeyote wa chadema aliyesimama kumtetea , nimependa kauli yake moja kwa wabunge kuwa they are thinking small, ni vema mkaangalia sana hatma ya watanzania na siasa hizi tulizonazo
 
Upole wetu, unyonge wetu vimetufikisha hapa tulipo.We don't act but tunaishia kusema tu.
 
Chanzo gazeti la Citizen!hiki ni kiburi cha wanasiasa kujiona wao ni bora!!katiba mpya bora tusiwe na bunge faida yao kwa watanzania ni ndogo sana kuliko faida.5
hawa nao si malaika reaction inapaswa ichukuliwe dhidi ya bunge lote na serikali yake
 
Sasa hapo unadhani rushwa kwenye kampeni za ubumge zitaisha!! watatoa tu rushwa kwa wingi kwani akishashinda anajua pesa zake zitarudi. Hata moyo wa wananchi kujitolea kuchangia maendeleo utapungua zaidi sasa. Inasikitisha sana!!
 
Hapa sijui FF,MS na Rejao watasemaje,hv watanzania tutalalamika mpaka lini kwa nn tusiingie barabarani?
 
Ndugu zangu mabadiliko yako mikononi mwetu kusema laukweli tokea huyu jamaa aingie ikulu sijao chamaana zaidi ya kujiongezea posho...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…