Suala la posho za wabunge

Katika suala la upambanaji lazima aonekane kinara, kwa hivi kwa maoni yangu si sahihi sana kuwatuhumu wabunge wa CDM kuwa kaachiwa Zitto pekee kwa posho za wabunge, kumbuka hata mgomo wa madaktari Dr Ulimboka kajitoa sana na si kwamba yuko peke yake hapana! Wabunge wote wapenda watanzania wako nyuma ya Zitto na Januari, na siye pia watanzania tuko nyuma yao.

samahani mkuu sikuelewi unaponiambia nisiwalaumu wabunge wa CHADEMA wako nyuma ya Zitto, hainiingii akilini na haiwezi kuniingia, yani wao waweke posho mfukoni halafu uniambie wanapinga posho? Hata kama ni mapenzi kwa chama wanapoenda kinyume hatuna budi kuwaambia, they should walk the talk.
 
kwa Taarifa zisizo na shaka toka chanzo maalumu, suala la posho za wabunge limeleta mtafaruku katika kikao cha wabunge kupata muhutasari wa kitakachojadiliwa bungeni.kikao hicho kinaendelea sasa hivi. Muda huu wabunge wote wameungana kumtukana ZITTO ambaye ametoa hoja posho zifutwe madaktari walipwe, kuanzia SPIKA hadi PINDA wote wanamuattack ZITTO na wengine kadhaa wanamtukana JANUARI MAKAMBA.

nitawapasha kitakachoendelea, ZITTO kawaambia hamnifanyi lolote na ukweli ndo nishawaambia hivyo.

Mkuu zitto anawapa ukweli tatizo wameweka matumbo yao mbele mafisadi wakubwa hawa.na hawezi kumfanya kitu.asante kwa taarifa.
 
Mkuu umesahau ilo swala la posho lipo kwenye ilani ya chadema kwa iyo zito apo anatekeleza ilani ya chama chake
 
Chanzo gazeti la Citizen!hiki ni kiburi cha wanasiasa kujiona wao ni bora!!katiba mpya bora tusiwe na bunge faida yao kwa watanzania ni ndogo sana kuliko faida.5
 
mkuu unasema kweli? kama ni hivyo basi siwezi kutofautisha IQ za viongozi na IQ za mifugo yetu maana naona wote wamejaliwa utashi peke yake na akili hamna hata kidogo.
 
This is The United Republic of Tanzania, Independent since 1961, 50 years of Independence.:yawn:
 
mkuu unasema kweli? kama ni hivyo basi siwezi kutofautisha IQ za viongozi na IQ za mifugo yetu maana naona wote wamejaliwa utashi peke yake na akili hamna hata kidogo.

Subiri kesho mkuu utaona,wasivyo na HAYA!!!!!"wapo katika fungate ya uhuru".5
 
This is The United Republic of Tanzania, Independent since 1961, 50 years of Independence.:yawn:

Nashukuru similiki bastora,niliposoma katika gazeti la Citizen nilipata mshituko,uvumilivu utafika mwisho tuu.5
 
Chanzo gazeti la Citizen!hiki ni kiburi cha wanasiasa kujiona wao ni bora!!katiba mpya bora tusiwe na bunge faida yao kwa watanzania ni ndogo sana kuliko faida.5
Upole wetu ndo unaowajenga kiburi hadi wanafanya wanavyoona wao inafaa. Hizo posho zinaongezwa bila grounds zozote za maana. yaani wanaongeza kwa kuwa wameamua kujiongezea, vile wananchi ni wapumbvu na wanajua hatuwezi kuwafanya kitu. Ila tungekuwa tunaweza hata kuwagomea kuongezwa hizo posho, wasingethubutu kufanya huu ushenzi. Sisi tuendelee kuvumilia tu hadi tutolewe damu.
 
Maisha bora kwa kila mtanzania,...
maisha ni magumu kwa wabunge tu na sio kwa madaktari.

Kama maombi ya laana yangekuwa yanajibiwa basi
nimemuomba Mungu kila mbunge atakae pokea hiyo 200,000 AFE haraka sana.
 
Pinda: MPs' allowances have Kikwete's blessings

President Jakaya Kikwete has reportedly blessed the increase in seating allowances for Members of Parliament from Sh70,000 to Sh200,000 per day. This was said yesterday by Prime Minister Mizengo Pinda, when supporting a statement by the Speaker of the National Assembly, Ms Anne Makinda, during a charged briefing session of the MPs ahead of their session which starts here this morning.

Sources from within the closed-door meeting said the two senior leaders were forced to stand and give the clarification following a heated exchange among lawmakers who were divided in two camps, with a majority of them supporting the pay increase. Sources told The Citizen that Mr Pinda told the MPs that the President had okayed the new allowances following an exchange between Mr Zitto Kabwe (Kigoma North-Chadema) and Juma Nkamia (Kondoa North -CCM).

The exchange ensued after Mr Nkamia blamed Mr Zitto for acting as if he was the President's spokesman by stating publicly that State House had not sanctioned the new allowances. But Mr Zitto defended himself, saying that according to regulations, if the President sanctioned any changes to MPs' entitlements, he was supposed to do so in writing.

"But I have not received any such directive, just like Mr Nkamia or any other MP. How can I support sitting allowances that have not received explicit authorisation from the President?" queried Mr Zitto. This prompted Ms Makinda to rise and tell the meeting that the President's office had allowed the application to up the sitting allowances.

When some MPs showed that they still doubted the Speaker's statement, Mr Pinda stood and assured the meeting that President Kikwete had indeed assented to the new allowances but had advised Parliament to know "how it might deal with the issue." He did not explain.

Sources said further that after the announcement by Mr Pinda a majority of MPs pounced on the few who were against the increase of allowances, notably Mr Zito Kabwe, Mr January Makamba (Bumbuli-CCM) and Dr Hamis Kigwangala (Nzega-CCM), and branded them rebels for publicly denouncing the allowances.

After the increase, an MP will now be entitled to Sh330,000 each day he attends a House session. This would translate to Sh200,000 sitting allowance, Sh80,000 per diem and Sh50,000 for fuel.

Source: http://www.thecitizen.co.tz/news/5-political-news/19382-pinda-mps-allowances-have-kikwetes-blessings
 
:lol: uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii x70 :yawn::yawn: ng'eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee x 2000 nikimaliza kulia najilipua
 
Namshanga JK{ Janga la Kitaifa} na Pinda.Wamebariki posho wakati WAATHIRIKA WA MABOMU ya GONGOLAMBOTO hawajalipwa fidia.Si waliopoteza VIUNGO wala NYUMBA.Taasisi mbali mbali zilichanga pesa kwa ajili ya nini?.TUAMKE WATANZANIA.
 
After the increase, an MP will now be entitled to Sh330,000 each day he attends a House session. This would translate to Sh200,000 sitting allowance, Sh80,000 per diem and Sh50,000 for fuel.

Source: Pinda: MPs

"Mtanzania wa kawaida hana haki Tanzania" that's an understatement to what is being done by this crappy government of ours.

Hii kitu inasikitisha na kusarisha sana, yani nikiwafikiria hao wanasiasa wetu wasivyo na aibu wala huruma nakosa la kusema.Kwa style hii 'maisha bora kwa kila Mtanzania' ni pale wanapoaga dunia na sio vinginevyo.
 
Ngoja tu wazifuje. Ukombozi unakuja Tanzania.
 
mkuu unasema kweli? kama ni hivyo basi siwezi kutofautisha IQ za viongozi na IQ za mifugo yetu maana naona wote wamejaliwa utashi peke yake na akili hamna hata kidogo.

Umesema vema mkuu, wanasiasa ni mifugo tu, na sisi ndo wafugaji.
 
Back
Top Bottom