james marco
JF-Expert Member
- Aug 2, 2017
- 208
- 167
Mwambie jamaa akuambie ukweli huyo atakua kala bata zake kagonga gpa.1.6[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijakurupuka my friend ameanza mwaka Wa kwanza upya wakati wenzake tunamaliza Masters
Huyu hawezi kua kasoma masters itakua musterbation[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huu ndo ukweli, tatizo huyu jamaa inaonekana hana ufahamu juu ya taratibu za vyuo vikuu. Hii kusema ana master ni kujisifia ila nadhani ndiye aliyefeli na kwa uandishi wenye uelewa wa namna hii naona alistahili.
Ngoja nikianza PhD ntakutag huyo ni 2020Huyu hawezi kua kasoma masters itakua musterbation[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una uwezo nakushauri apply chuo kingine mapema tu.hapo hutoboi mkuu..Naombeni ushauri jamani..mm nimwnafnzi wa udom 1yrs..ad sasa nina carryover under16 mbili na sup 3.matokeo ya semester ya pili bado ayajatoka..but kwa hari hii nakata tamaa kabisa nahisi kudisco.
Ilo ni disco la mchana kweupee......Naombeni ushauri jamani..mm nimwnafnzi wa udom 1yrs..ad sasa nina carryover under16 mbili na sup 3.matokeo ya semester ya pili bado ayajatoka..but kwa hari hii nakata tamaa kabisa nahisi kudisco.
We itakuwa mtu wa Bata sanaNaombeni ushauri jamani..mm nimwnafnzi wa udom 1yrs..ad sasa nina carryover under16 mbili na sup 3.matokeo ya semester ya pili bado ayajatoka..but kwa hari hii nakata tamaa kabisa nahisi kudisco.
Usikate tamaa subr matokeo ya semester ya 2Naombeni ushauri jamani..mm nimwnafnzi wa udom 1yrs..ad sasa nina carryover under16 mbili na sup 3.matokeo ya semester ya pili bado ayajatoka..but kwa hari hii nakata tamaa kabisa nahisi kudisco.
Ilo ni disco la mchana kweupee......
Ataaply vipi wakati bado anajulikana ni mwanafunzi wa UDOM?Kama una uwezo nakushauri apply chuo kingine mapema tu.hapo hutoboi mkuu..
Acha uoga dogo,muombe Mungu,yaani piga Swala au Sala,za kutosha,ukimaliza weka mashaka pembemi piga shule,unachopitia mtiani mdogo sana,utatusua tu.piga shule,maisha sio lelemama,sasa wewe unalialia upo Chuoni,Kuna vijana hawatakuja kujua nini maana ya chuo kikuu,wao na uzao wao,chakula tu shida.piga shule,maliza masomo,Kama mtoto wa kiume pambana sana,Kama ni wa kike ndio upamabane maradufu,dunia ya leo Haina simile kwa binti asiye na mwelekeo,it's fucking jungle out here!Naombeni ushauri jamani..mm nimwnafnzi wa udom 1yrs..ad sasa nina carryover under16 mbili na sup 3.matokeo ya semester ya pili bado ayajatoka..but kwa hari hii nakata tamaa kabisa nahisi kudisco.
Atapewa barua, kisha atapeleka tcu watamtoa kwenye mfumoAtaaply vipi wakati bado anajulikana ni mwanafunzi wa UDOM?
Wakuu KWA mfano huo had akapate barua ya kupeleka TCU sio leo I mean lazma atasubir had matokeo yatoke na yakitoka Kama haja disco bas haez pata had aandike barua ya kuomba kujifuta chuo alaf ije ijibiwe sio kazi ndogo itachukua hata mwezi Sasa huo mwezi s round zote zinakua zishaisha za kuomba chuo. Nasema hivi kwasababu m mwenyew nilikua muhanga wa hayoAtapewa barua, kisha atapeleka tcu watamtoa kwenye mfumo
Hapana mkuu haifiki hata wiki ,kuna jamaa yangu alidisco mwaka 2018 tuko field, akafanya mchakato huo huo mwaka akapata chuoWakuu KWA mfano huo had akapate barua ya kupeleka TCU sio leo I mean lazma atasubir had matokeo yatoke na yakitoka Kama haja disco bas haez pata had aandike barua ya kuomba kujifuta chuo alaf ije ijibiwe sio kazi ndogo itachukua hata mwezi Sasa huo mwezi s round zote zinakua zishaisha za kuomba chuo. Nasema hivi kwasababu m mwenyew nilikua muhanga wa hayo
Barua unachukua chuoni unakuta imeshaandaliwa kabisa nikupachika tu jina, kisha unawapelekea tcu wanakutoa kwenye system. Ila mkopo ndio Hatopata helsb.Wakuu KWA mfano huo had akapate barua ya kupeleka TCU sio leo I mean lazma atasubir had matokeo yatoke na yakitoka Kama haja disco bas haez pata had aandike barua ya kuomba kujifuta chuo alaf ije ijibiwe sio kazi ndogo itachukua hata mwezi Sasa huo mwezi s round zote zinakua zishaisha za kuomba chuo. Nasema hivi kwasababu m mwenyew nilikua muhanga wa hayo
Sawaa...Ilo ni disco la mchana kweupee......
Unadhani system hii ni sahihi? Inasaidia ama inadumaza elimu yetu Tanzania?Mzumbe navojua mm kuwa na sapu mwisho 3 tu, zikifika 4 ni dsicontinuation, yaan at any time of ur studies sapu zisidi 3, na sapu zinafanyika once a year, so ukashinda kuchomoa uka-carry ukija kuchangaya na za mwaka ujao zikifika 4 kwaheri hata kama GPA ni 3