ndege joni
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 689
- 1,126
UkweliBasi alikudanganya,iko hivi kwa vyuo vya bongo ukiwa na GPA ya 1.8 utaruhusiwa kufanya sup chini ya hapo unadisco,na baada ya sup GPA yako itakiwa kuwa 2.0kupanda ,chini ya hapo ni disco,kama una 2.0 lakini bado kuna masomo,hukupata pass basi unarudia mwaka,kwa mfumo huo hata kama soma lina point nyingi bado huwezi kudisco,kwa vyuo vingi masomo huwa 7-12 kwa semester moja,hata kama utapata ziro masomo mawili bado GPA yako haiwezi kuwa chini ya 1.8,elimu ya bongo kweli inamatatizo lakini sio kwa kiwango hicho,huo ni uongo
GPA yoyote utakayoipata kama ukishindwa kuchomoa carry over ya somo moja unaondoka chuoniHakuna disco inayoweza kutokea mpka mwanafunzi awe na below gpa kwa mfano below 1.8 hiyo ni disco na haiwezi kutokea kwa kufeli somo moja, hiyo ya jamaa yako kufeli somo moja then mtu adisco bila kufanya supplimentary, bila carry over sijui imekuaje
Chuo gani hicho maana chuo kikongwe UDSM carry ni miaka mitano ukishindwa ndio una disco... Na haiwezekani mtu ufeli course moja udisco.GPA yoyote utakayoipata kama ukishindwa kuchomoa carry over ya somo moja unaondoka chuoni
UDOM watu wanaondoka kisa kushinda kuchomoa carry over..Chuo gani hicho maana chuo kikongwe UDSM carry ni miaka mitano ukishindwa ndio una disco... Na haiwezekani mtu ufeli course moja udisco.
Anaweza ku_disco kwa hilo somo moja endapo ata_carry mpaka mwaka wa tatu wenzake wakahitimu... atapewa chance 2 za mwisho kama mwanafunzi wa nje na baada ya hapo akishidwa anakuwa anedisco. Applicable in muhas, mzumbe and e.t.cHuyo labda alishikwa na kikaratasi, hakukwambia ukweli kwenye vyuo vingi tz huwezi kudisco kwa somo moja utaishia kucarry tu ila ku abscond kunatokea kama hukufanya mtihani bila sababu ya msingi.
Ukweli unaojulikana na wengi. Tena nadhani kwa baadhi ya vyuo unapewa another 2 chances to carry after your fellows graduateGPA yoyote utakayoipata kama ukishindwa kuchomoa carry over ya somo moja unaondoka chuoni
Ningependa kufahamu sheria hii iko chuo gani kwa hapa Tanzania?GPA yoyote utakayoipata kama ukishindwa kuchomoa carry over ya somo moja unaondoka chuoni
ARDHI University [emoji310]Ningependa kufahamu sheria hii iko chuo gani kwa hapa Tanzania?
Kama sheria hiyo haimpi mtu nafasi ya kucarry kozi kipindi chote cha masomo yake+mda wa nyongeza baada ya kuisha mda wa darasani basi watu wengi sana wangekuwa hawamalizi shule.ARDHI University [emoji310]
Unacarry kipindi chote cha masomo?Kama sheria hiyo haimpi mtu nafasi ya kucarry kozi kipindi chote cha masomo yake+mda wa nyongeza baada ya kuisha mda wa darasani basi watu wengi sana wangekuwa hawamalizi shule.
Maana kucarry kozi huwa kunawakumba wanafunzi wengi tu.
Ok.Unacarry kipindi chote cha masomo?
Labda kama wamebadili sheria
Na wala si watu wengi wangedisco kwa kuwa watu wengi huchomoa sup
Ukifeli supplementary unarudia kulisoma somo na mwaka wa nyuma yako,
Unaingia UE na Ukifeli ndo mwisho wako
UDOM..Ningependa kufahamu sheria hii iko chuo gani kwa hapa Tanzania?
Kwa ninavyofahamu hata kama una carryover ukimaliza miaka yako ya masomo mfano labda mitatu au minne basi una miaka miwili ya ziada ya kuhakikisha umeclear hiyo carryover yako, ukishindwa ndani ya miaka hiyo ya nyongeza basi utakuwa umeshadisco.
Hakuna sheria ya hivyo mkuu..Kama sheria hiyo haimpi mtu nafasi ya kucarry kozi kipindi chote cha masomo yake+mda wa nyongeza baada ya kuisha mda wa darasani basi watu wengi sana wangekuwa hawamalizi shule.
Maana kucarry kozi huwa kunawakumba wanafunzi wengi tu.
Yani katika vitu nisivyvielewa hapa duniani tena Tanzania ni swala zima la kudisco MTU anafaulu semester zote halafu anafeli somo moja semester ya mwisho eti anaambiwa amedisco na haruhusiwi omba hiyo course for 3 years au akaanze mwaka Wa kwanza . Mimi hapo sijaelewa hivi somo moja nifute performance ya MTU ya miaka 3. Hivi Nina uhakika maprof wa bongo wamesoma nje wanaelewa system zipoje hivi wanashindwa badilisha huu ujinga. Kwanza hii system inafanya Prof awemungu MTU aamue kufelisha watu au kutaka kuchukua rushwa . naandika hayo baada ya rafiki yangu tuliyesoma,nae high school yeye kuanza first year wakati wenzake tunamaliza,masters.
Namahukuru mungu elimu yangu ya chuo sikusoma bongo na sitokuja soma bongo labda kufundisha.
Tujadiliane kuhusu hili LA kudisco
Germany unaruhusiwa soma semester 8-10 for masters after that ndo utaambiwa uanze lipia ada maana wewe unachezea pesa za walipa kodiduu mimi nimeipenda hiyo Germany System.Ingepitishwa hapa bongo mzee baba mie najiunga zangu BA in Economics mwaka wa kawanza naanzia ST Augustine Semester ya kwanza.Nanyanyuka na A-6 nahamia Semester ya Pili Tumanini University Napata A-5 na B+-1 Najumuisha mwaka mzima Napata 4.9 GPA. Mwaka wa pili nahamia Mzumbe Morogoro Semester ya kwanza Napata A-5 narudi Semester ya pili Tumaini Naitafuta B+1 na A-5 hapo mwaka mzima nakuwa na 4.9 .Mwaka wa tatu narudi Tumaini nazikamata A-6 SEMESTER ya kwanza na semester ya mwisho naenda UDSM najua pale mwaka wa mwisho BA economics huwa wanapitiaga kipindi kigumu mno kwa sababu pale kuna mkono wa DR KARAMAGI,PROF NEHEMIA OSORO,PROF AMANI NA PROF MKENDA kwa hiyo nahamua kujitutumua nakanyaga B+1 B-1 na C-4 sasa hapo mzee baba ukijumlisha nakuwa na GPA ya 3.5 kwa mwaka wa mwisho hapo hapo napeleka points zangu TCU wakanijumlishie kwenye Cumulative GPA kwa Degree yangu nakuwa na GPA ya 4.4 mzee hiyo hapo nakamata First Class kiulainiiiiiiii naanza kumtafuat mzee Jiwe anipeleke BOT moja kwa moja maana ntakuwa kwenye Range za akina Martini Chegere
Usichokijua ni sawa na usiku wa giza.......duu mimi nimeipenda hiyo Germany System.Ingepitishwa hapa bongo mzee baba mie najiunga zangu BA in Economics mwaka wa kawanza naanzia ST Augustine Semester ya kwanza.Nanyanyuka na A-6 nahamia Semester ya Pili Tumanini University Napata A-5 na B+-1 Najumuisha mwaka mzima Napata 4.9 GPA. Mwaka wa pili nahamia Mzumbe Morogoro Semester ya kwanza Napata A-5 narudi Semester ya pili Tumaini Naitafuta B+1 na A-5 hapo mwaka mzima nakuwa na 4.9 .Mwaka wa tatu narudi Tumaini nazikamata A-6 SEMESTER ya kwanza na semester ya mwisho naenda UDSM najua pale mwaka wa mwisho BA economics huwa wanapitiaga kipindi kigumu mno kwa sababu pale kuna mkono wa DR KARAMAGI,PROF NEHEMIA OSORO,PROF AMANI NA PROF MKENDA kwa hiyo nahamua kujitutumua nakanyaga B+1 B-1 na C-4 sasa hapo mzee baba ukijumlisha nakuwa na GPA ya 3.5 kwa mwaka wa mwisho hapo hapo napeleka points zangu TCU wakanijumlishie kwenye Cumulative GPA kwa Degree yangu nakuwa na GPA ya 4.4 mzee hiyo hapo nakamata First Class kiulainiiiiiiii naanza kumtafuat mzee Jiwe anipeleke BOT moja kwa moja maana ntakuwa kwenye Range za akina Martini Chegere
Sio kweli mkuu...muhimbili university ukipata 3 sups hata use na 3.5 GPA unatembea kwenu...for first and second year school of Md.....sio mchezo ndgHakuna disco inayoweza kutokea mpka mwanafunzi awe na below gpa kwa mfano below 1.8 hiyo ni disco na haiwezi kutokea kwa kufeli somo moja, hiyo ya jamaa yako kufeli somo moja then mtu adisco bila kufanya supplimentary, bila carry over sijui imekuaje