Suala la Kibanda sio level yangu-muulizeni Kova- waziri wa Mambo ya Ndani

GHULA

Member
Mar 3, 2013
77
66
Nimesoma katika gazeti la Tanzania Daima asubuhi ya leo, Waziri wa mambo ya ndani Dk Emanuel Nchimbi amenukuliwa akisema sakata la kuvamiwa na kuumizwa vibaya kwa Kibanda hilo ni suala la ngazi za chini, masuala ya ngazi za chini aulizwe Kova. "ngazi za chini"??????????
 
Nimesoma katika gazeti la tanzania daima asubuhi ya leo, Waziri wa mambo ya ndani Dk Emanuel Nchimbi amenukuliwa akisema sakata la kuvamiwa na kuumizwa vibaya kwa Kibanda hilo ni suala la ngazi za chini, masuala ya ngazi za chini aulizwe Kova. "ngazi za chini"??????????

ndio aulizwe Cova maana ndio mtaalam wa kutengeneza filam za aina hiyo,yeye Dr Nchimbi mtaalam wa Kuwaita waislam magaidi,,,,,
angekua kinongoz wa dini fulan wangesema ugaidi,,,hehehheee
 
Wakati baba yake anazungumzia suala la Dr. Ulimboka, huyu jamaa labda alikuwa bado tumboni. Ina maana yeye ni mkubwa kuliko baba yake aliyemweka hapo?
 
Nimesoma katika gazeti la tanzania daima asubuhi ya leo, Waziri wa mambo ya ndani Dk Emanuel Nchimbi amenukuliwa akisema sakata la kuvamiwa na kuumizwa vibaya kwa Kibanda hilo ni suala la ngazi za chini, masuala ya ngazi za chini aulizwe Kova. "ngazi za chini"??????????

Tulisha waambia viongozi wote wa maCCM kwa ujumla wao wamelewa ulevi wa madaraka na hawana busara hata kidogo.
Lakini pia usisahau ni Nchimbi ni mmojawapo wa vihio ambao wana shule ya kuunga unga kwa kutumia plasta.
 
Kweli huu ni ulevi wa madaraka na upeo mdogo sana. Kujiona mkubwa kuliko wananchi wanonyanyasika na kuumizwa ambao ndio waliomuweka hapo.
Hawa ndio aina ya viongozi tulionao!
Aliyoyafanyia kazi yeye kwa level yake ni yapi?:-*
 
Wakati baba yake anazungumzia suala la Dr. Ulimboka, huyu jamaa labda alikuwa bado tumboni. Ina maana yeye ni mkubwa kuliko baba yake aliyemweka hapo?
na hili ni jibu la waziri mwenye PhD!
Ina maana alivyokuwa sekondari angeletewa kwenye mtihani swali la darasa la tatu (2x2=?) asingelijibu, au hakupita huko?
 
kumjadili Nchimbi ni sawa na kumfukuza mwendawazimu aliye iba nguo zako wakati ukiogelea. ...maana huyu jamaa ata akisimama pekee kabla hata ya kusema chochote ni tatizo
 
Nimesoma katika gazeti la tanzania daima asubuhi ya leo, Waziri wa mambo ya ndani Dk Emanuel Nchimbi amenukuliwa akisema sakata la kuvamiwa na kuumizwa vibaya kwa Kibanda hilo ni suala la ngazi za chini, masuala ya ngazi za chini aulizwe Kova. "ngazi za chini"??????????

Nadhani ni sahihi kabisa alivyojibu Waziri.
 
Kama kuliongelea anaona halimuhusu,kujiuzulu si ndio mtihani.

Kweli unaweza ukasoma na bado usielimike!
 
Hakika nia ajabu sana kwa mtu anayetakiwa kusimamia haki ya kila mtanzania bila kujali wadhifa, kabila, dini na mahali anapoishi kutoa majibu kijinga namna hii!

Hivi kiapo chake cha uwaziri kinasemaje? Hivi wajibu wake kama mbunge ni upi?
 
Ila sasa tatizo linakuja mnamshambulia nchimbi anapowakera,
sie tulilaumu hapa aliposema kuuliwa kwa Padre zanziba ni ugaidi,hivi kuuliwa kwa Padre ndo levo yake?kushambuliwa kwa Kibanda levo ya Kova,heheheee
 
Kura tumempa sasa mabega juu,Mambo yanayohusu wizara yake hataki kujibu.

Usishangae 2015 anachukua form za gombea urais.
 
Inaonesha ni jinsi gani viongozi wa serikali ya CCM walivyojikweza! Wanawaona wananchi kama takataka. Nchimbi ashukuru mungu yuko kwenye mfumo usiojali wananchi, vinginevyo angetakiwa by now awe ameshaachia ofisi.

Waziri mwenye dhamana ya kuangalia usalama wa raia na mali zao anawezaje kutoa majibu ya dhihaka kiasi hicho, huku akijua fika kuna raia yuko ICU? Na huyu si raia wa kwanza kuvamiwa kwa style hiyo?

Yaani Nchimbi kweli anaweza kutoa hayo maneno?
 
Sehemu anayopata rushwa hana ngazi za chini.nakumbuka mwaka jana mwezi wa 5 alikuja arusha kuchukuwa rushwa kwa mkenya aliyekutwa na pass ya kusafiria ya tanzania.ambaye tayari waziri nahodha alishasema apigwe PI.
 
Nchimbi,amelewa madaraka.

Tatizo la waandishi kuuliza kwa kujipendekeza bila kutengeneza mfumo mzima wa swali ambao ungemuweka matatani kwa majibu mepesi.
 
kumjadili Nchimbi ni sawa na kumfukuza mwendawazimu aliye iba nguo zako wakati ukiogelea. ...maana huyu jamaa ata akisimama pekee kabla hata ya kusema chochote ni tatizo
mkuu umemaliza na akisoma hapa atawaonea aibu hata wanae
 
Huyu waziri anautani na wananchi wake swala zito kama hili anasema ni la chini alitaka nanai afanyiwe ukatiri ndipo aone liko ktk level yake?
 
Sehemu anayopata rushwa hana ngazi za chini.nakumbuka mwaka jana mwezi wa 5 alikuja arusha kibo palace nakukutana na mkenya aliyekutwa na pass ya kusafiria ya tanzania.ambaye tayari waziri nahodha alishasema apigwe PI,yeye alikuja kuchukua mlungula hatima yake afisa uhamiaji mwakungu aliyekuwa anamfutilia mkenya huyo alimuamishia babati.Mkenya anabaki akitamba kwenye migodi ya tanzanite.
 
Kama kweli kajibu hivo ananikumbusha jibu alilonipa nilipomuuliza "Unawezaje kuwa waziri wa naibu waziri wa ulinzi ikiwa hakupitia vyombo vya usalama wa taifa, jeshi au kazi zinazohusiana na usalama. Wawezaje kufanya kazi na wanausalama"?. Alijibu "wao ndio wanapaswa kujifunza kufanya kazi na mm".

Huenda ana haiba ya kupendwa na uongozi wa juu lakini hekima na uwajibikaji uko chini sana. Kama kiongozi wa wizara aliko Kova, alipaswa kuchukua dhamana. Na si vibaya angejibu "tunalifanyia kazi, tutatoa taarifa baadae".
 
Back
Top Bottom