Suala la Gender

Suala la Gender

Embu nipe maana ya Gender bila kuhusisha Sex
Una maanisha nini ukisema bila kuhusisha Sex,
Sex ni Jinsi na Gender ni Jinsia, Jinsi zipo 2 tu Me na Ke na Jinsia zipo tele,

Jinsia ipo kwa ajili ya kuelezea sifa za Jinsi husika, katika nyanja za Tabia, Jamii, Mila na desturi,

Na ndio alichokisema mtoa Mada kua Gender Roles zimetengenezwa na Jamii, Jinsi ipo haibadiliki lakini kuipangia Jinsi fulani ifanye kitu fulani na isifanye kitu fulani hilo ni suala la Jamii husika ndio wametengeneza tunaziita Gender Behaviours and Roles,

Sijaelewa kwanini mmeshindwa kuielewa Mada rahisi kama hii au ndio Misongo ya Mawazo mnakua na makasiriko kila muda.
 
Huu upumbavu na ujinga wa western propaganda ni hatari kwa Africa na naona ushaanza kuwaingia baadhi.
Mwanamke ni Mwanamke Na Mwanaume ni Mwanaume na always Wanaume tutakuwa Watawala (Dominant) na Wanawake watakuwa Watawaliwa (Submissive) na hakuna atakayewaza kubadilsha huo uhalisia wa Nature.

Hakuna kitu ambacho anaweza kufanya Mwanaume na mwanamke akakifanya kwa level zilezile ni impossible milele.
Au ukitaka wanawake na Wanaume wawe sawa basi wanawake watakanyagwa tena kwa nguvu bila huruma sababu Mwanaume amemzidi kila kitu mwanamke kwenye kila kitu ambacho anaweza fanya mwanaume.
Nataka nione siku moja mwanamke ananichallenge kivyovyote vile aisee nitamkanyaga bila huruma abaki anatiatia huruma.

Mwanamke siku zote ni dhaifu mbele ya Mwanaume kamwe hawawezi kuwa sawa.
Hizi propaganda zinaharibu hivi vitoto.
 
Hapo ndip napokataa Mimi mwanaume pia ni dhaifu kwa mwanamke na mwanamke ni dhaifu kwa mwanaume all in all viumbe wote wadhaifu hata ukikataa uho ndio ukweli
 
Hapo ndip napokataa Mimi mwanaume pia ni dhaifu kwa mwanamke na mwanamke ni dhaifu kwa mwanaume all in all viumbe wote wadhaifu hata ukikataa uho ndio ukweli
Very good.

Sasa niambie Mwanaume ni dhaifu kivipi "kwa" mwanamke?
Na Mwanaume ni dhaifu kivipi "Ukilinganisha" na mwanmke?

Hayo ni maswali mawili tofauti, yajibu.
 
Kumfundisha mtoto wa kiume kazi za kikekike Ni kumuandaa achelewe kuoa.
NON SENSE
 
Very good.

Sasa niambie Mwanaume ni dhaifu kivipi "kwa" mwanamke?
Na Mwanaume ni dhaifu kivipi "Ukilinganisha" na mwanmke?

Hayo ni maswali mawili tofauti, yajibu.
Udhaifu wa mwanamke au mwanaume unaweza kuonekana hata kwenye kufanya maamuzi katika familia
 
Udhaifu wa mwanamke au mwanaume unaweza kuonekana hata kwenye kufanya maamuzi katika familia
Seriously?

Hebu acha uoga na uonyeshe kivipi?
Onyesha kivipi: udhaifu wa mwanamke au mwanaume unaweza kuonekana hata kwenye kufanya maamuzi katika familia?
 
Bla bla ndefu ila wewe ni feminist, na tena zaidi ni feminist mjinga. Wait a minute, jamii ilimfanya mwanaume kua kichwa sijui nini nini, JAMII NDIO ILIMUUMBA MWANADAMU HATA KUMPANGIA MAJUKUMU?!

Hoja yako kubwa mwanaume na mwanamke wako sawa, hivi wewe una akili kweli ?! Haujui wala kuona duality kwamba kuna kushoto na kuna kulia, kuna usiku na kuna mchana yani unataka kusema usiku uwe sawa na mchana ?! Hauoni umuhimu ma UTOFAUTI WA UUMBAJI ?!

Mwanamke kaumbwa na manyonyo wewe unayo manyonyo, je hauoni ya kwamba kwa kuumbwa tofauti mwanamke ana MAJUKUMU TOFAUTI ?!

Unataka uwe sawa na wanawake, je unaweza kuzaa ?! Unataka wanawake wawe sawa na wanaume je wanamudu kubeba zege, kwenda vitani nk, mwanamke kaumbwa kutombm.wa je nawewe tunaweza kukutomb.a ?

hawa watoto waliolelewa na masingle mothers wamejazwa maujinga sana vichwana kuamini.

Stupid femiminists can't stop to annoy me with their empty headed brains.
Mkuu usingenitukania huyo mtu, ningelimtukana mimi wazi wazi bila kificho wala mafumbo.
 
Wewe ndio akili hamna kabisa kwanza hata kizungu alichokiandika hukijui unaleta mabishano ya kishamba, mleta mada ana hoja ila kwakua vilaza ndio mmejaa kwenye huu uzi mtabisha bisha weee hadi lengo la mada lisifikiwe.
Sawa.

Sina kawaida ya kumjibu kichwa mchunga.
 
Popoma wewe social construction ndio mzigo mezani hapo ... We unaleta mboyoyo miiingi
Acha kutapatapa kama pweza, na ujibu swali.
Ina maana wewe ukijisikia kujiona kama paka maana yake wewe ni paka?

Mtaitaje Paka Gender Identity?
 
Acha kutapatapa kama pweza, na ujibu swali.
Ina maana wewe ukijisikia kujiona kama paka maana yake wewe ni paka?

Mtaitaje Paka Gender Identity?
Na wewe utatoka kifua mbele kujiita msomi,
Msomi anayeleta hoja za kipuuzi, Binaadam atajionaje Mnyama? Hujui hata maana ya Gender Identity halafu unapuyanga puyanga kama Kuku kishingo.

Debe tupu
 
Kupitia huu uzi ndio inaonesha jinsi gani akili za vijana wa kitanzania zilivyodumaa, yaani sijui mlikua mnalishwa nini utotoni kwenu, akili ina utapiamlo, mnachokijua ni matusi na kejeli ndio maana mkienda kwenye mashindano ya kimataifa mnapigwa makonzi,

Ujuaji sasa, akijitia kuweka na vingereza vya kuunga unga basi anajiona kamaliza madarasa yote wakati IQ ni duni duni duni.
 
Back
Top Bottom