Suala la Gender

Suala la Gender

Umeeelezea vzr Sana Kuna upande nakubaliana na we lakini
Mm naongelea zaidi Jamii inavyo mchukulia mtoto wakike na wakiume nintofauti kabisa Kuna wakat tunatakiwa kutoa usawa kwa wote Kama sasaiv Kuna janga la ushoga lakini jamii bado wamejikita kwa mtoto wakike peke Yake huyu wakiume wamemuacha lakini kwasasa mtot wakiume yupo kwenye hatari zaidi kuliko wakike matukio yamekuwa ni mengi ya ukatili kwa mtoto wakiume
Lengo kuu ni kuitaka Jamii iangalie kwa jicho la pili kuhusiana na elimu kwa watoto hasa madhara yanayo weza kujitokeza kwa miaka ya baadae wanaume wanaweza potea kabisa
Wewe acha kulegea,
Una hoja nzuri sana hao viazi mbatata wasikutoe kwenye reli.
 
Morning

Gender ni social formed yaani Jamii ndio imeitengeneza gender ivi tunavyo muona mwanaume wa Leo na mwanamke wa leo alivyo ni matokeo ya gender.

Mwanaume au mwanamke kuvaa anavyo vaa ni Jamii iliamua kuwa mwanamke avae sketi na mwanaume avae suruali ni Jamii ndio ime mtengeneza mwanamke na mwanaume.

Gender imekuwa na matokeo mazuri na mabaya mabaya yapo Zaid kwenye malezi yaani malezi ya mtoto wakiume na wakike ni tofauti Jamii iliamua mwanaume awe kichwa Cha familia na mwanamke awe mama wa nyumbani yaani jamiii ilipendelewa zaidi kuona mwanaume anafanikiwa zaidi kitendo kilicho mpa mwanaume kibuli katika familia.

Mwanaume alipewa muda mwing wangi wakupumzika ila mwanamke alikuwa na heka heka za nyumban kufua, kupika , usafi wa nyumbani, mwanaume yy alikuwa anakazi ya kula na kulala kisa anaaminishwa kuwa yeye ni kichwa Cha familia

Matokeo ya malezi haya ndio tunamuona mtoto wakiume ana miaka 22 anakula chombo anaacha mezani hajui at kupika chai ambapo mtoto huyu ikitokea wazaz wake wamefariki awezi kuishi na mtu yoyote kwasababu labda anaenda kwa ndugu ambapo mtoto wakiume nae anafanya kazi Kama kawaida mtt huyu ukimwambia aoshe vyombo ataona una mnyanyasa kwa Sababu yeye ni yatima na haya Mambo yapo katika Jamii yetu na bado wazazi mnayafumbia macho mkihisi ni malezi mazuri.

Kuna utofauti ambao unatutofautisha Kati ya mwanaume na mwanamke kitu kinachopelekea Kuna vitu mwanamke ashindwe kufanya na mwanaume ashindwe kufanya pia.

Nishauri wazazi mulee watoto wenu Kama Brenda ya multiple ambapo mtoto ataweza kuishi popote pale atakama utakuwepo au lah watoto wakike now day miaka 13 hajui at kupika chai et wakisha halikadhalika wakiume hata kujiongeza hawezi kazi kushinda kwenye tv kuangalia mpira mpka jioni.

Nawasilisha be patient.
"Inapotokea vita hautosikia wanawake na wanaume wote ni sawa , hata wale feminists huwa wanageuka mama wa nyumbani na wanaume ndo huingia uwanjani huku wanawake na watoto wakienda kujificha"

Alisikika mtu mmoja mwenye hekima sana
 
Mtake radhi sana baba yako, nakuhakikishia he aint proud of you, negative he cant be kwa feminine ideology and feminine mentality uko nazo, hata asipokwambia lakini he considers you a lost sheep
But understand it swala ni kumjenga mtoto wakiume na wakike waweze kuwa wawajibikaji bila kujali jinsia zao ndio lengo kuu yaani sipo Kama unavyofikilia sehemu nayotakiwa kusimama as man am standing and make advocate and decision but sio kila situation inahitaji gender ila uelewa
 
Mtoto wa kiume akishajua hizo kazi muachishe, hizo kazi atafanyiwa na Mke wake, badala umfundishe mtoto wa kiume kutafuta pesa ili aweze siku moja kuihudumia familia yake, unamfundisha na kumsisitiza kazi ambazo hazitamsaidia popote Kama Mwanaume.

Hapo unamuharibu kijana wako pasipo wewe kujua.
Mwanaume lazima asifundishwe kazi za kike ili kumfanya awe muwajibikaji katika Kazi zake na aone umuhimu wa mwanamke.

Sasa Kama kijana atajua Kupika, Kufua, Kuosha vyombo, na kufanya usafi unafikiri ataona umuhimu wa mwanamke hapo?

Mfundishe mtoto wa kiume Kazi za kiume na majukumu ya kiume ambayo yanafahamika
1. Kujilinda na kuilinda jamii yake.
2. Kufanya kazi za uzalishaji
3. Kutunza Pesa
4. Kuongoza na kuitawala familia.
5. Kufanya maamuzi magumu ikiwa ni pamoja na kutoa adhabu Kali au kufukuza watu(ikiwemo mtoto au mke) ambaye ataenda kinyume na sheria zake.

Sio umfundishe mtoto ujinga ujinga
Ndio alichokilenga Mtoa Mada hapo,
Kwanini hayo afundishwe Mtoto wa Kiume na sio Wote??
Ujinga Ujinga mnaojazana ndio maana Watoto wenu wakike wanafanywa mambo ya kikatili wametulia kisa Mwanaume ndio kila kitu,

Pathetic
 
Kwasababu mwanamke anachukuliwa kiumbe zaifu lakini.hakuna ukweli juu ya ilo
Nitajie mwanamke yeyote duniani anayeweza kuingia ulingo mmoja na tyson na akamshinda fair and square na tyson ninayemchukulia ni huyu mzee wacha akiwa kijana huyu tyson mzee.
 
Ndio alichokilenga Mtoa Mada hapo,
Kwanini hayo afundishwe Mtoto wa Kiume na sio Wote??
Ujinga Ujinga mnaojazana ndio maana Watoto wenu wakike wanafanywa mambo ya kikatili wametulia kisa Mwanaume ndio kila kitu,

Pathetic
Why umechelewa kuja
 
Mtake radhi sana baba yako, nakuhakikishia he aint proud of you, negative he cant be kwa feminine ideology and feminine mentality uko nazo, hata asipokwambia lakini he considers you a lost sheep
Muone na huyu,
Debe tupu, brainless
 
Wewe ndio akili hamna kabisa kwanza hata kizungu alichokiandika hukijui unaleta mabishano ya kishamba, mleta mada ana hoja ila kwakua vilaza ndio mmejaa kwenye huu uzi mtabisha bisha weee hadi lengo la mada lisifikiwe.


Kilaza kisa Dhana ya Gender sio🤣🤣🤣
 
Nitajie mwanamke yeyote duniani anayeweza kuingia ulingo mmoja na tyson na akamshinda fair and square na tyson ninayemchukulia ni huyu mzee wacha akiwa kijana huyu tyson mzee.
Tatizo we umekuwa socialized ivyo ndio maana unaweza ukasema kuwa mwanamke dhaifu lakini ukashindwa kujua viumbe wote ni dhaifu
 
Kwasababu mwanamke anachukuliwa kiumbe zaifu lakini.hakuna ukweli juu ya ilo
Ni dhaifu ndiyo tukiwa compare na males sijui unataka nianze na scientific evidence?

1.wana small body frame wakati males tuna wide body frame

2.wana muscle fibres type 1 na wakati sisi tuna type 2 muscles fibres means greater power output

3.tuna dense bones tofauti na wao bones zao sio dense hivyo kuwafanya wawe light weight.

Kwa factors hizo tu sidhani kama kuna la kuongeza mkuu
 
Why umechelewa kuja
Watu wengi hawajui Gender na hawajui tofauti ya Gender na Sex,
Mtu anakaza misuli ya vidole gumba kubisha kitu hakielewi, anatoa maelezo mengi ya sex badala ya gender,

Kuna sehemu umetoa mfano mzuri sana,
Ulisema Jamii ndio imetengeneza Gender Role na ili kuthibitisha hilo tunaona kuna Jamii ya Pwani Wanaume wanaenda wao Sokoni lakini kuna Jamii ya Bara Wanawake ndio wanaenda Sokoni,

Kuna jamii Wanawake ndio wanafanya kazi zote kama kuchunga, kuleta kuni, biashara, kiufupi yeye ndie anatunza Familia na Mwanaume kazi yake ni kunywa Pombe na Kuoa Wake wengi,

Humu wengi hawana exposure Mtu asema Mwanamke hawezi kubeba Zege wakati Jamii tu ya Wamasai Wanawake ndio wanajenga Boma,

Wamakua Mwanamke ndie Kiongozi wa Nyumba yaani ndie Kichwa cha Familia,

Wahindi,Wanawake ndio hutoa Mahari kwa Wanaume wakati kwa Africa ni kinyume chake,
Hao Watoto hawajui kitu halafu wanakuja kukutolea Povu hapa,

Naungana nawe kua Gender Roles zimetengenezwa na Jamii husika kwa kumgawia kila Mmoja Majukumu yake kwa kadri wao wataona,

Na nimekuelewa lengo lako ni kutaka kuweka Usawa kwa Wote na sio huyu anapaswa afanye hili sababu ni Ke na huyu afanye lile sababu ni Me.
 
Better is the one who is brainless than that who is a dirty, cheap, toxic feminist bitch.
Huna akili wewe,
Hiyo Gender yako ndio inakuagiza uwe na makasiriko na kutukana hovyo,
Wewe jilegeze tu eti Gender Gender Dunia imechange utapandiwa dau.
 
Tatizo we umekuwa socialized ivyo ndio maana unaweza ukasema kuwa mwanamke dhaifu lakini ukashindwa kujua viumbe wote ni dhaifu
Haujajibu bado swali langu , mkuu
Umesema wanawake si dhaifu sasa naomba nitajie mwanamke yeyote dunia hii ambaye anaweza kuingia uwanja mmoja na tyson akiwa hivi hivi mtu mzima bila mazoezi na akatoka mshindi tena kwa k.o.

Yaani tyson apigwe k.o na huyo mwanamke .

Na kama males and females are equal je unakubali pia michezo yote iwe organized bila kutenga males and females cartegories na kuwe na haki sawa mfano ulingoni akapangwa the rock na mergan thee stallion basi iwe fair play mtu apigwe mpaka akubali?
 
Mkikosa hoja mnakimbilia vitabu vitakatifu,
Debe tupu, brainless.
Kukosa hoja wapi wewe.... ilishaandikwa na inafahamika hivyo mwanaume hawezi kuwa sawa na mwanamke

sasa wewe kama unalazimisha hivyo pole yako
 
Huna akili wewe,
Hiyo Gender yako ndio inakuagiza uwe na makasiriko na kutukana hovyo,
Wewe jilegeze tu eti Gender Gender Dunia imechange utapandiwa dau.
Tehee he hee sasa nitapandiwa dau mimi au huyo shemale (dumejike) mwenzako anaetetea usawa kwamba yeye na wewe mko sawa, yeye ndio anaweza kupandiwa dau, ooh nilisahau street and silly stupid bitches hua hawawezi kuwaza streight.
 
Back
Top Bottom