Suala la Gender

Suala la Gender

Seriously?

Hebu acha uoga na uonyeshe kivipi?
Onyesha kivipi: udhaifu wa mwanamke au mwanaume unaweza kuonekana hata kwenye kufanya maamuzi katika familia?
Shida yako unabisha kwa kitu ambacho hukijui
 
Bla bla ndefu ila wewe ni feminist, na tena zaidi ni feminist mjinga. Wait a minute, jamii ilimfanya mwanaume kua kichwa sijui nini nini, JAMII NDIO ILIMUUMBA MWANADAMU HATA KUMPANGIA MAJUKUMU?!

Hoja yako kubwa mwanaume na mwanamke wako sawa, hivi wewe una akili kweli ?! Haujui wala kuona duality kwamba kuna kushoto na kuna kulia, kuna usiku na kuna mchana yani unataka kusema usiku uwe sawa na mchana ?! Hauoni umuhimu ma UTOFAUTI WA UUMBAJI ?!

Mwanamke kaumbwa na manyonyo wewe unayo manyonyo, je hauoni ya kwamba kwa kuumbwa tofauti mwanamke ana MAJUKUMU TOFAUTI ?!

Unataka uwe sawa na wanawake, je unaweza kuzaa ?! Unataka wanawake wawe sawa na wanaume je wanamudu kubeba zege, kwenda vitani nk, mwanamke kaumbwa kutombm.wa je nawewe tunaweza kukutomb.a ?

hawa watoto waliolelewa na masingle mothers wamejazwa maujinga sana vichwana kuamini.

Stupid femiminists can't stop to annoy me with their empty headed brains.
Stupid feminist with American far left social ideology,kama hawa ndio wale wanasumbua kule USA wanasema there is plenty of genders,eti gender is how you feel idendified, what a crap🗑️🗑️🗑.
Anakuja hapa na hizi ideology za kusema men and women are equal.🗑️
 
Unaelewa nini kuhusu Usawa wa Kijinsia kwanza, isije nikawa najadili na kilaza pro max
inahusiana na upatikananji wa haki/fursa sawa bila kujali jinsia sawa achilia mbali majukumu sikatai ..

ila in modern world, this is an agenda by ''elites'' to achieve something ila in reality men and women aint the same
 
Ivyo vitabu vumeandikwa na watu Kama we tu ndio maana ukisoma ukatafakari vitabu vyenyewe vinabishana
Mnatabu sana hivi ushajiuliza kwa nchi zenye mawazo na mitizamo kama yako ndizo zinaongoza kwa kuwa na talaka, single parents wengi mpaka kupelekea watoto kuwa na tabia za ajabu.
 
inahusiana na upatikananji wa haki/fursa sawa bila kujali jinsia sawa achilia mbali majukumu sikatai ..

ila in modern world, this is an agenda by ''elites'' to achieve something ila in reality men and women aint the same
Men and Women ain't the same kwenye nyanja ipi?
Usije ukaleta hoja ya manyonyo na matiti, sijui kuzaa na kuchutama,

Njoo na hoja zilizoshiba zinazoonesha Wanawake na Wanaume hawako sawa kwenye akili, majukumu na uwajibikaji
 
Kama mpaka leo unashindwa kung'amua kuwa mwanaume na mwanamke hawako sawa kiakili, kimajukumu na kiuwajibikaji na kuendelea kung'ang'ania usawa sijui ufeminist utaendelea kubishana hadi kukuche...

Mtu mzima kabisa nianze kukutafunia a b c za tofauti ya mwanaume na mwanamke? Leta hoja nyingine suala la akili, majukumu na kuwajibika, KE na ME lipo pande zote.
 
Unaona sasa huna hoja unahorojeka tu, toa facts ueleweke, hao Wanawake wasiokua na akili ni wa huko kwenu mnaowafungia kwenye mabox mnayoyaita nyumba halafu nyie waume zao mnashinda vilabuni,

Ukizungumziwa Usawa mnakimbilia Ufeminist kwa hiyo mnataka tuukumbatie mfumo dume hadi lini? Wanaume wenyewe ndio nyie mmebakiza akili za kuvukia bara bara na kuwaza ngono tu.
 
imebidi tu nicheke {japo nakusikitikia my friend}, ukishaelewa kiundani tofauti za kimaumbile/kiasili za KE na ME hutahangaika kutumia nguvu kubwa sana na kukasirika

Naomba nifanye marejeo kwa ROBERT HERIEL kwenye moja ya nyuzi zake aliwahi kusema hivi, nanukuu:
''Hapa Duniani ipo mifumo miwili tuu inayoongoza dunia. Hakuna mfumo wa kati.
Ni aidha uchague Mfumo dume au uwe WA mfumo Dume.

Ni fahari Kwa mwanamke kuchagua mfumo wowote, aidha achague mfumo jike au dume kwake vyote ni Faida.
Tena akichagua mfumo dume ndio hupewa heshima na utukufu zaidi.
Mathalani, Mfume dume Kwa binadamu unaongozwa na kanuni ya kutoa na kuhudumia Familia na jamii.
Pia unataka mwanaume ndiye awe mlinzi WA familia, jamii na Dunia Kwa ujumla.
Mwanamke anapobeba jukumu la kutoa huduma(kuhudumia) familia yake, na jamii ni utukufu kwake,ni sifa ambayo kwake ni faida.
Mwanamke kutoa pesa za matumizi NYUMBANI kabeba mfumo dume, kwamba Yeye ndiye Baba WA Nyumba, na ndiye mwenye mamlaka Kwa maana mamlaka siku zote yapo kwenye mfumo dume pekee.
Mwanamke akikulinda au kuhakikisha usalama wako na kuhakikisha hakuna wa kukuumiza, hiyo kwake ni sifa njema, sio jukumu lake.
Mfumo jike unamtambua mwanamke kama Mlezi WA watoto mbali na kuwazaa. Mfumo huu umebebwa na karibu viumbe vyote Duniani isipokuwa baadhi ya Ndege warukao.
Mwanaume kujipa mambo ya Mfumo jike Kama kumlea mtoto Kwa kuwa karibu yake Sana sio sifa kwake isipokuwa ni kujidhalilisha, malezi Kwa Asilimia 90% ni jukumu la mwanamke, ni mfumo jike.
Na hapa nazungumzia malezi Yale ya ukaribu wa Baba na mtoto Kama kumuozesha, kumfulia nguo au kumlisha na kumpikia chakula mtoto hizo ni pigo za mfumo jike.
Hakuna mwanaume atakayesifiwa ikiwa atafanya mambo ya Mfumo jike.
Mfumo jike unamtambua mwanamke kama kiumbe pekee kinachostahili kupendeza, kurembwa na kung'arishwa.
Mfumo dume haufuati kanuni hiyo.
Hakunaga mwanaume aliyefuata mfumo jike wa kujiremba, kujing'arisha na kupendeza akasifiwa au akapewa utukufu. Kwa mwanaume ni aibu ni Fedheha Kwa mwanaume Kuambiwa yeye ni mzuri.
Na hakuna mwanamke mwenye akili timamu ambaye atakubali nafasi yake ichukuliwe na Mwanaume.
Mwanamke mwenye akili timamu yaani afuataye mifumo dume atakubali umshinde yote lakini sio Urembo, uzuri, kudeka, kupendeza, kusifiwa sifiwa, ulaini laini, Kupenda attention na kuwa slow learner.
Mwanamke hujiona Bora akiitwa JIKEDUME
Lakini mwanaume hujiona dhalili kuitwa DUMEJIKE.
Kikanuni ni halali na haki kabisa mwanamke kumdharau mwanaume afuataye mfumo jike.
Ni halali mwanamke kumdharau mwanaume au mume wake ikiwa atamuhudumia, yaani Mkeo akikuhudumia ni halali yake kukudharau kwani hauna tofauti na yeye, nyote mnakuwa mnaongozwa na mfumo jike.
Hakuna mwanamke anayemdharau mwanaume masikini, isipokuwa wanawake wanadharau wanaume wanaomfuata mifumo jike.
Yaani wewe uwe masikini alafu umuoe yeye akiwa kakuzidi kimapato au Akili. Hapo hata ufanye nini ukweli ni kuwa atakudharau Kwa sababu yeye ndiye atakuwa Mtawala(atatumia mfumo dume) Kwa sababu mfumo dume ndio unaoongoza yaani wenye mamlaka ya kuongoza.
Sasa ni lazima uchague aidha uwe Jike katika umbile la Uanaume udhalilike, au uwe dume kikwelikweli.
Kwa mwanamke yote kwake ni faida, akijifanya mwanamke ni faida, na akijifanya mwanaume ni faida zaidi na atapata sababu ya kudharau wanaume wasiokamilika.''

(Mwisho wa kunukuu)

Robert Heriel
 
Kama unamuda wa kutosha endelea kumpa somo huyo Binti.
Kama unahisi muda wako ni mchache nakusihi usipoteze muda wako.
 
Blah blah blah yaani huyo maskini wa fikra wewe ndie reference yako!!! Sishangazwi sana na hilo, nyie sio wa kuhurumiwa bali wa kuchapwa viboko mbele ya Watoto wenu Akili zinaweza zikachemka,

Mfumo Jike, Mfumo Dume umewekwa na nani???
Eti Mwanamke akihudumia Nyumba hilo sio jukumu lake na wale wanaotoa Mahari kwa Waume zao na ukumbuke ni Mila, Desturi na Sheria ya jamii husika,

Hiyo Mifumo ndio chanzo cha yote hayo, eti Mwanaume hujiona dhalili akiitwa Mzuri, Non sense!

Mbadilike mnatia aibu, toeni hiyo Mifumo kwenye mabichwa yenu ndio maana mnakufa mapema kwa kujitutumua wakati ni masuala ya kusaidiana tu,

Huyo Kilaza anakwambia suala la malezi ya Mtoto asilimia 90 ni la Mama, ujinga ujinga tu kama Mtoto mlimtafuta wote vipi kulea alee mmoja,

Nyie ndio hamuwapeleki Wake zenu Clinic eti utaonekana Mume Bwege,

Mijusi gurugunya.
 
Woi, ngoja nisipoteze muda tu maana hutaki kuelewa
 
😂😂😂

Ukishindwa kutumia Akili yako vizuri kuchambua mambo sio kosa kutumia akili hata za wanyama Mkuu.
 
Back
Top Bottom