Suala la Gender

Suala la Gender

Women get the last word in every argument , anything you say after that,it's the beginning of a new argument 🤌

Nafahamu hili ndio maana nakuzungusha nitakavyo...

Nimemaliza.
Utamzungusha nani wewe kiazi,
Huna ujualo
 
Shida yako unabisha kwa kitu ambacho hukijui
Unaona?

Dogo hauwezi kushindana na nature hata siku moja na ndio chanzo cha wewe kukimbia hayo maswali mawili mepesi sababu hauwezi kujibu na hayawezekani kujibu.
Hayo mambo ya usawa ni nonsense haya ukitumia grammar kuelezea.

Ni weak na haujiamini mkuu yote sababu ya hiyo weak mentality, au kama unaona sipo sahihi basi jibu yale maswali and prove me wrong.
 
Very good.
Sasa niambie Mwanaume ni dhaifu kivipi "kwa" mwanamke?
Na Mwanaume ni dhaifu kivipi "Ukilinganisha" na mwanmke?

Hayo ni maswali mawili tofauti, yajibu.
Kwenye mapenzi mwanaume dhaifu na mwanamke ni dhaifu kwa mwanaume kwenye mapenzi
 
Very good.
Sasa niambie Mwanaume ni dhaifu kivipi "kwa" mwanamke?
Na Mwanaume ni dhaifu kivipi "Ukilinganisha" na mwanmke?

Hayo ni maswali mawili tofauti, yajibu.
Udhaifu wa mtu unaweza kuwa ata kwenye kuamini watu

Mfano mm udhaif wangu mkubwa kumuamin mtu mapema na ww unaweza ukawa udhaifu wako ni pesa yaani ww ukiona pesa hata Kama una hasira Ukiona pesa unacheka
 
Back
Top Bottom