Suala la Gender

Suala la Gender

Tangu enzi na enzi Jamii ilikuwepo na ndio ilio chagua kuwa mwanaume akawinde wewe mwanamke atunze familia pindi mwanaume anapoenda kulinda ata wanyama Kuna Jamii yao kama vile Simba dume hawz kwenda kuwinda ila Simba jike ndio anaweza kuwinda

Unaweza kututajia ni lini hiyo jamii ilikaa na kuweka huo mgawanyiko wa majukumu?
 
Baba sio mlezi, mama ndiye Mlezi.

Huoni hapo tayari familia imeanguka Kwa sababu Baba kaingilia majukumu ya Mama, na Mama anafanya majukumu ya Baba?

Ambacho ungeshauri hapo, ni kumwambia Mzee atafute kazi afanye,
Mwanaume ndiye Mzalishaji.
Mke ni mtunzaji na mratibu wa vilivyochumwa na Mwanaume.

Wasomi sijui Kwa nini elimu ya Wazungu inawaharibu.
Assume huyu baba angekuwa hajui malez watoto wangekuwaje mama yupo bize na marafiki na pombe Hana muda na family
 
Assume huyu baba angekuwa hajui malez watoto wangekuwaje mama yupo bize na marafiki na pombe Hana muda na family

Baba ndiye chanzo cha yote.
Hakuna Baba asiyejua malezi.

Mwanaume ndiye anamfundisha mwanamke Malezi.
Mwanaume ndiye amepewa uwezo wa kujua kitu kizuri na Kibaha.
Ila Mwanamke ni mpaka aambiwe hiko ni kizuri au kibaya.

Hiyo ni saikolojia Mkuu
 
Acha wauliwe!

Mnafundisha watoto kupingana na Nature mnafikiri hawatauana!
Mwanamke hajafundishwa kumheshimu mwanaume(mume wake) anafanya mambo ya kipuuzi unategemea nini hapo.

Acha wauane ili Magereza waendelee kupata Ajira, na Wauza majeneza wajiingizie kipato
Nakubaliana na wewe mkuu, kwa mindset ya mtoa mada na mafuriko ya ushangiliwaji na kufuata mkumbo mambo ya gender equality (ambayo pia ndio hoja kuu ya mtoa mada) mivutano katika jamii itashuhudiwa ikishamiri na kuelekea maafa kama alivyokiri mdoa mada.

Imagine wanawake kuingia katika ndoa wakiwa na viburi, jeuri na wajuaji jambo dogo wataweka ligi mitifuano isiyoisha 50/50 ngangari ngangari kwanini mauaji yasishamiri. Mwanaume kiasili kaumbwa kuongoza, ndie mtawala wa familia na anahitaji heshima.

Katika uzi wako mmoja ulisema mwanaume apaswa kulinda heshima yake kwa gharama yoyote, nakubaliana na wewe
 
Atakuambia Wazungu hawapo hivyo kisa hajasikia kwenye vyombo vya habari
 
Baba ndiye chanzo cha yote.
Hakuna Baba asiyejua malezi.

Mwanaume ndiye anamfundisha mwanamke Malezi.
Mwanaume ndiye amepewa uwezo wa kujua kitu kizuri na Kibaha.
Ila Mwanamke ni mpaka aambiwe hiko ni kizuri au kibaya.

Hiyo ni saikolojia Mkuu
Mkuu hapana maisha yanazunguka at we unaweza ukaja ukawa Kama huyu na ukakosa chakufany
 
Mkuu hapana maisha yanazunguka at we unaweza ukaja ukawa Kama huyu na ukakosa chakufany
Mkuu samahani kukuliza swaki personal. Katika malezi yako, ulilelewa na mama bila baba kuwepo niko sahihi kiasi gani kwa jambo hili ?
 
Nakubaliana na wewe mkuu, kwa mindset ya mtoa mada na mafuriko ya ushangiliwaji na kufuata mkumbo mambo ya gender equality (ambayo pia ndio hoja kuu ya mtoa mada) mivutano katika jamii itashuhudiwa ikishamiri na kuelekea maafa kama alivyokiri mdoa mada.

Imagine wanawake kuingia katika ndoa wakiwa na viburi, jeuri na wajuaji jambo dogo wataweka ligi mitifuano isiyoisha 50/50 ngangari ngangari kwanini mauaji yasishamiri. Mwanaume kiasili kaumbwa kuongoza, ndie mtawala wa familia na anahitaji heshima.

Katika uzi wako mmoja ulisema mwanaume apaswa kulinda heshima yake kwa gharama yoyote, nakubaliana na wewe
Mwanamke kuwa na kiburi ni tabia yake yaani ni asiri kwani zamani hakukuwa na wanawake wenye kiburi? Shida ni kwamba mwanaume alikuwa amezoea kuwa juu ya mwanamke now hali ni tofaut now wanawake Wanaziongoza familia zao
 
Mkuu samahani kukuliza swaki personal. Katika malezi yako, ulilelewa na mama bila baba kuwepo niko sahihi kiasi gani kwa jambo hili ?
Hapana nimelelewa na wazazi wangu wote na baba yangu ndio alikuwa responsible mkubwa kwangu
 
Hapana nimelelewa na wazazi wangu wote na baba yangu ndio alikuwa responsible mkubwa kwangu
Mtake radhi sana baba yako, nakuhakikishia he aint proud of you, negative he cant be kwa feminine ideology and feminine mentality uko nazo, hata asipokwambia lakini he considers you a lost sheep
 
Mkuu huenda unalengo zuri katika huu mjadala lakini Kwa lugha rahisi na upole.

Katika variable hizi yaani Jinsia (Sex) na Jinsi (Gender) lazima uangalie ipi ni Dependent variable na ipi ni independent Variable.

Jinsia(Sex) ni Independent Variable
jinsia (Gender ni Dependent Variable
Gender Inategemea Jinsia, lakini jinsia haitegemea Gender.

Jinsia ndio inayozalisha Jinsi,
Katika jinsia kuna jinsia yenye nguvu na jinsia dhaifu hii hupelekea jinsia yenye nguvu kuzalisha Gender yenye nguvu, na jinsia dhaifu kuzalisha Gender dhaifu.

Mwanamke kibaolojia, kisaikolojia (akili na tabia), kinguvu ni dhaifu ukilinganisha na Mwanaume. Ndio maana mwanaume katika ulimwengu anamajukumu makubwa kuliko mwanamke.

Alafu usije ukasema amepewa na jamii, hakuna siku jamii ilikaa kumpa majukumu mwanaume, hiyo imekutwa hivyohivyo na kumbuka mwanaume ndiye Jamii yaani Mtawala.

Ukisema siku hizi wanawake wanafanya majukumu ya kiume hivyo inafanya kuwe na USAWA wa Kihindi(Gender) baina yao, utakuwa unakosea, Kwa sababu mtu anapofanya kitu watu wanaangalia matokeo baada ya kitu kufanyika.

Mwanamke akifanya kazi za mwanaume, je anapata athari Hasi au chanya, jibu ni kuwa anapata athari Hasi, Kama vile kukomaa na kuharibika maumbile, kuchoka na kupoteza utu wake kama Mwanamke, na Kama ameolewa basi atashindwa baadhi ya majukumu ya kindoa, ndio unasikia mambo ya Mke kumpimia mumewe UNYUMBA.

Athari zingine ni Kuharibika Kwa mimba, Mabadiliko ya Hedhi,

Wanawake hawakuumbwa kufanya kazi nzito na zenye kuhitaji nguvu. Ndio maana hakuna USAWA wa kijenda.
Debe tupu,
Hujui hata tofauti ya Jinsi na Jinsia, unajikanyaga kanyaga kwenye maelezo yako kama mtu aliyebanwa na haja ndogo.
 
Unajua msingi wa definitions ni kwa muibu wa yule anaye utoa ?

Turudi katika uhalisia na kwenye asili, ushawahi kujiuliza kwanini kulikuwepo mitume ba manabii na jamii pia zilikuwepo ? Hapa sikupeleki kwenye dini bali ni ushughulishe tu akili yako. Jibu ni kuwa si kila linalo onwa na jamii fulani ni sawa basi ni sawa kweli, kwahiyo mitume wakaja kuzi reform jamii na kuziweka katika ubalisia na usawa.
Wewe ndio akili hamna kabisa kwanza hata kizungu alichokiandika hukijui unaleta mabishano ya kishamba, mleta mada ana hoja ila kwakua vilaza ndio mmejaa kwenye huu uzi mtabisha bisha weee hadi lengo la mada lisifikiwe.
 
Back
Top Bottom