The Infamous
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 731
- 121
Duh..haya kaka ila omba Ulinzi.
acha jazba mzee, umemaliza SUA nini? anyway kiafya tunatakiwa tuwe tunarelax mara mojamoja japo kwa kucheka kidogo. hata vitani kunakua na wakati wa kuburudika kwa mvinyo kidogo.tuna omba ushaidi wa haya ulioandika hapa.
Mmh! nadhani zikombain sifa zote na zote wape vyuo vyote!
Tunataka sifa za wasomi wa MUHAS [Muhimbili], Makumira, IMTU, KAiruki, Mbegani, Open University, Tengeru etc. Hebu tujaze uelewa maana huko ulikogusa mwanzo hatukupita
1. Maskini,waoga na washamba - SUA
2. Matajiri, wajanja na wenye akili - MZUMBE
3. Wenye akili chache, wavivu na matozi, masister duu - CBE DAR
4. Malaya, wasanii, wauza sura na wasio jiweza kiakili - IFM
5. Upeo mdogo, wapenda sifa na watoto wa mama - TUMAINI UNIVERSITY
6. Wazalendo wenye asili ya Arusha na Moshi - MUCCOBS
7. Wapenda ofa duni za serikali - TIA
8. Waliokosa vyuo kabisa - RUCCO
9. Mafundi - DIT, ST JOSEPH
10. Wapenda dezo na wamekosa nafasi UDSM - UNIVERSITY OF DODOMA
11. Wasiojali future, watoto wa geti kali - SAUT
12. Wenye uwezo wa kipesa na kiakili but walifeli form4-6 - IAA
13. Wanaosoma sana but silent - ST JOHN, KCMC, BUGANDO
14. Wasiofahamu umuhimu wa elimu - CHUO CHA MIPANGO DOM, ZANZIBAR UNIVERSITY, MORO MUSLIMU, NYUKI TABORA
15. Wakujitolea na future duni - DUCE, MUCE, KIGURUNYEMBE
16. Wasiojali nchi mamluki - ABROAD
17. Watu wa sifa zote hapo juu za kila aina - UDSM

hakya mungu wewe!!!
nimecheka sana, na kufurahi pia
kabla sijaja huku oslo nilipta hapo kwa hao unaosema wajanja na wenye akili.
lakini umefanya utafiti wa haya kaka?
3. Wenye akili chache, wavivu na matozi, masister duu - CBE DAR
16. Wasiojali nchi mamluki - ABROAD
Huyu mshikaji hapa chini ako katika kundi lipi kati ya hayo hapo juu?
....
kabla sijaja huku oslo......
Pasi na shaka huyu jamaa ni wa CBE!
Just a laugh!