Style mpya ya kusafirisha maiti nchini Congo

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,102
53,357
.
20180410_161728.jpg
 
hata tanzania inewah tokea kitu kama hicho kama picha nitakua bado sijafuta naweza kuziweka hapa
 
Wakimhifadhi kwenye box na kulipakia kwenye pikipiki kutakuwa na tatizo? Hii ni zaidi ya udhalilishaji.
 
Tabora ni kawaida,wengi wanakuwaga wameshindwa kumudu gharama za usafirishaji inawabidi wafanye hivyo.Tena bora hao wanasafirisha na pikipiki,wengine wanatumia baskeli na ni mwendo mrefu tena usiku wa manane
 
Tabora ni kawaida,wengi wanakuwaga wameshindwa kumudu gharama za usafirishaji inawabidi wafanye hivyo.Tena bora hao wanasafirisha na pikipiki,wengine wanatumia baskeli na ni mwendo mrefu tena usiku wa maneno
Mkuu...
Tabora ipi haya hufanyika?
 
Kwahiyo watu wanasafirishana usiku tena na baisikeli how comes
 
Mkuu...
Tabora ipi haya hufanyika?
Skonge,kaliua uko na vijiji vingine,wakienda kutibiwa hosp ya rufaa kitete,ikawa bahati mbaya mgonjwa kafariki na pesa ya kusafirisha ni shida inabidi wajipange tu maiti ifike kijijini hata kwa baiskeli,na ni usiku maana mchana ukikamatwa ni kosa hilo
 
Back
Top Bottom