Kusafirisha mzigo na basi kwenda Namibia

Kusafirisha mzigo na basi kwenda Namibia

skinless

Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
72
Reaction score
112
Habari wananzengo,

Nataka kusafirisha mzigo kwenda Namibia kwa njia ya basi/gari maana ni kama kilo mia sita hivi, je nafanyaje? Msaada tafadhali
 
  • Thanks
Reactions: O29
Sema mzigo uko wpi? Nakule unashuka wapi?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom