Style mpya ya kufunga mkanda

Style mpya ya kufunga mkanda

Arusha kwa sasa hivi Trafic wamefanya mtaji kwa waendesha magari kwa wasio funga mkanda ngoja kesho niwape hii!
 
kweli nimeamini ukiwa unaendesha gari la taka,
Akili yote unaiacha dampo.
 
Mbavu sina polisi awamwoni. Huyu bwana kesi hii ya kujaribu kuninyonga
 
Hapo inawezekana majambazi yameshamteka, sasa yapo nyuma yakimuelekeza nini cha kufanya lasivyo wanavuta mkanda mambo yaishe.
 
Back
Top Bottom