Stupid things men do in relationship

Kaka wewe tena, nakuamini sana hasa mambo ya hela... Hata Nikukupa Millioni 200 najua zitafika salama, ila nikupe shemejio uongozane nae tu!!!! THUBUTU!!!!!!!!!!!

(Sina maana hioooooo!!!!)





Hahahahahaaaaaaaa

Na Mimi sina maana hiyooooooo!
 
Kaka wewe tena, nakuamini sana hasa mambo ya hela... Hata Nikukupa Millioni 200 najua zitafika salama, ila nikupe shemejio uongozane nae tu!!!! THUBUTU!!!!!!!!!!!

(Sina maana hioooooo!!!!)


Mkuu Tized hata shem atafika salama salimini niamini tuu
Maana kufika kwake salama ni kuwa atafika salama kimwili bila ajali ila yale mengine sijui kama atafika salama bila kufanyiwa ukaguzi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Tized hata shem atafika salama salimini niamini tuu
Maana kufika kwake salama ni kuwa atafika salama kimwili bila ajali ila yale mengine sijui kama atafika salama bila kufanyiwa ukaguzi


Unalazimisha kuaminiwa?

Hahahahaaaaa

Kasinde kaa mbali na huyu aiseee!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kasinde usiwasikilize Tized na Ntuzu mimi ni mwaminifu sana na wala sina tabia hiyo kabisa


Khantwe mzima my dear
Nimekumissije aise
(futa Ntuzu asione) japo ni kukumiss kwa kawaida tuu bila ubaya



Khantwe usimsikilize huyu bhana

Kiwategu Uko wapi mkulu? Yani tangu wakatae posa yako wazazi Wa shansarie na wewe umekosa Amani!

Weka begani usepe neya na Mkuu!

Mokoyo acha na wewe kila wakati kukaa na mkeo ICHANA wewe Hujui Chakula kizuri mule wengi?

miss chagga penda Mie weye! Dah! Asiione Khantwe hii!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
do that kwakweli mana haya mambo hayaaaaaa mmhh....kuna dalili ya kufall kwa msukuma mmoja aseeee kwa nje I think he's calm loving caring n the alike but...but..but i dont know him better best maombi yako ni muhimu sana pls.....

Naomba tu asijekuwa mume wangu huyo lol
 
hahahahaaaaaaaaaa looh!!
 
Kasinde achana na huyo kimbaumbau Tized na huyo Mzee Wa miamba Mr Rocky Njoo kwangu Mzee Wa hayo makitu ya Nites Clubs Disco na mengineyo! Wasifu wako huu umenifanya niingilie Kati love ya Tized kwako!

Mmmmh sijui kwa nini nimepita mitaa hii loh
 
Last edited by a moderator:
uuuuhhhhhh waaaooow!!! is that an invitation to treat!!?? Lets see what MTZ huyu atasemaje.............

Kwani Tized is inlove with me..........???? mbona....................!!!!!

Be careful young lady
 
Mimi ni Tized mwenye wivu, nawapatiliza hadi wana maovu ya baba zao... tafadhali acha kumchombeza Kasinde wangu ki''lake zone lakezone apa'' Understand muraaa?

hahahaaa! come on meen! sie watu wa kanda ya ziwa ni wakarimu saaana! mwache Kasinde aje aburudishwe na upepo wa ziwa!... sisi hatuna congestion kama yenu huko! lol.
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh sijui kwa nini nimepita mitaa hii loh



Swty! Nilikua napima Gia zangu km zinaweza kumteka Kasinde

Mimi niko na wewe tu honey wangu! Hayo yalikua majaribio ya Gia za kung'oa mzigo!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…