Hahahaaaa.... Mkuu siku hizi hela ukiwa na hela hata kama uko under 18 utasikia ''MZEE TIZED'' Ukimbao mbao ndio habari ya mujini... hahahahaaa
Mkuu sibanduki apo... nimejishikisha na supa GLUU. Ukizingatia yeye ana nyama kidogo tunamatch sana. Wewe kwa kuwa ni ndugu yangu unaruhusiwa kula kwa macho tu (kitu kizuri kula na ndugu yako, kibaya mpe Mbwa)
Uko peke yako sweetheart!!!!! nimekaa jangwani kwenye ukame muda sana, at least wewe umejitokeza walau unidondoshee tone moja kuuburudisha ulimi wangu!!!!! With me you are prudently secured.
My dear upendo wako ulivyo juu mbona ntanona mie? nshachekwa sana kamwili hako sijui nini nini? wewe kunenepa ni sawa la barabara ya lami kuota majani etc etc. Njoo nijiburudikie mieee walahiiiii!!!
shindwa na ulegee mshana jr
huyu jamaa anapenda vitu vizuri ale tu yeye... Naye ashindwe na kulegea
hahahahaha nasikia iko kinachoning'inia ndio kinachopoozaga vizuri. na wadada wanavipenda maana ni multipurpose... anaweza kutumia kama mto pia (pillow)
Comfirmed!!!!
, Huyu jamaa hela zimemfanya aitwe mzee bado ni mbichi sana kama Excel
hahahahaaaa... umeniacha sana hoi eti unawahurumia wajawazito....kama wazee wa enzi zetu wenye vitambi.... inhiinhiiii... ngoja waje!!!!!
Kifriza changu kwa kitaalamu huitwa ''SIX PACKS'' hahahahhaahaaaaa....
Yeahhhh a bit innocent... ngoja aje mzee wa fujo uone anavyoleta za kuleta apa cc Mr Rocky
Mambo mrembo?! habari za las vegas!?
mithyuuuu!!!!!!:A S-heart-2:
poa nsharudi kitambo sasa, jua la bongo nalikwepa na kiyoyozi cha ofcn looh.
Karibu sana kwa mara nyingine, hivi ushawahi kufika kanda ya ziwa?
asante, hapana sijawahi fika huko
Nyie watu nyie Ntuzu, Tized, Kasinde wacheni fujo. Kwanza sina kitambi nina kamwili kadogo dogo muulize hata my wife wangu Dena Amsi na mchepuko wangu miss chagga wanavyoufurahia huu mwili
Uko kimazoezi zaidi na hauhitaji kwenda gym kama Ntuzu anavyopambana kuupunguza wa kwake
halafu mi sina fujo namzidi hata Tized kwa upole ila when it comes to love oohh hapo sina upole wowote ready to fight for that
nakupenda kwa unajielewaNyie watu nyie Ntuzu, Tized, Kasinde wacheni fujo. Kwanza sina kitambi nina kamwili kadogo dogo muulize hata my wife wangu Dena Amsi na mchepuko wangu miss chagga wanavyoufurahia huu mwili
Uko kimazoezi zaidi na hauhitaji kwenda gym kama Ntuzu anavyopambana kuupunguza wa kwake
halafu mi sina fujo namzidi hata Tized kwa upole ila when it comes to love oohh hapo sina upole wowote ready to fight for that
Nyie watu nyie Ntuzu, Tized, Kasinde wacheni fujo. Kwanza sina kitambi nina kamwili kadogo dogo muulize hata my wife wangu Dena Amsi na mchepuko wangu miss chagga wanavyoufurahia huu mwili
Uko kimazoezi zaidi na hauhitaji kwenda gym kama Ntuzu anavyopambana kuupunguza wa kwake
halafu mi sina fujo namzidi hata Tized kwa upole ila when it comes to love oohh hapo sina upole wowote ready to fight for that
Karibia na huku mamii, its much luxurious like Dar to the big extent..
make a trip in one of your holidays mamii.. you will enjoy much!
Hahahaaaa.... Mkuu siku hizi hela ukiwa na hela hata kama uko under 18 utasikia ''MZEE TIZED'' Ukimbao mbao ndio habari ya mujini... hahahahaaa
Mkuu sibanduki apo... nimejishikisha na supa GLUU. Ukizingatia yeye ana nyama kidogo tunamatch sana. Wewe kwa kuwa ni ndugu yangu unaruhusiwa kula kwa macho tu (kitu kizuri kula na ndugu yako, kibaya mpe Mbwa)
Uko peke yako sweetheart!!!!! nimekaa jangwani kwenye ukame muda sana, at least wewe umejitokeza walau unidondoshee tone moja kuuburudisha ulimi wangu!!!!! With me you are prudently secured.
My dear upendo wako ulivyo juu mbona ntanona mie? nshachekwa sana kamwili hako sijui nini nini? wewe kunenepa ni sawa la barabara ya lami kuota majani etc etc. Njoo nijiburudikie mieee walahiiiii!!!
shindwa na ulegee mshana jr
huyu jamaa anapenda vitu vizuri ale tu yeye... Naye ashindwe na kulegea
hahahahaha nasikia iko kinachoning'inia ndio kinachopoozaga vizuri. na wadada wanavipenda maana ni multipurpose... anaweza kutumia kama mto pia (pillow)
Comfirmed!!!!
, Huyu jamaa hela zimemfanya aitwe mzee bado ni mbichi sana kama Excel
hahahahaaaa... umeniacha sana hoi eti unawahurumia wajawazito....kama wazee wa enzi zetu wenye vitambi.... inhiinhiiii... ngoja waje!!!!!
Kifriza changu kwa kitaalamu huitwa ''SIX PACKS'' hahahahhaahaaaaa....
Yeahhhh a bit innocent... ngoja aje mzee wa fujo uone anavyoleta za kuleta apa cc Mr Rocky
Karibia na huku mamii, its much luxurious like Dar to the big extent..
make a trip in one of your holidays mamii.. you will enjoy much!
Tized week ijayo utaenda Moro?
Uko my dear mke mdogo miss chagga , mzima wewe
Nimekumissije aise