Stupid things men do in relationship

Stupid things men do in relationship

Nikushukuru sana kaka kwa salamu. Yote mema mkuu Mungu anasaidia.

All the best to you kaka. Naona Mr Rocky amejificha na Karucee wangu. Ntuzu analibutua kwa akina Khantwe, Kaizer bado yuko mafichoni, Kasinde kapigwa na dolari kila pande kachafuka noti tu. miss chagga naona kanasa kwa Tembo.., yule mrembo Dena Amsi ndio shemejio mkuu rasmi. Miss Kim atokewa na mwekundu bila mafanikio huko kazini kwao, kiwatengu akataliwa posa kwa akina shansarie, mwallu apeleka mashitaka ukweni kuwa bado kombe la dunia halijaisha kwa mumewe Mentor maana hadi sasa huaga anaenda kuangalia mechi na kurejea usiku mnene sana. n.k.

Japo kwa uchache nimeona nikubrief yaliojiri siku chache zilizopita mkuu.
Mentor rudi nyumbaniiiiiiiiiii
 
Last edited by a moderator:

Miss Kim ATAKUA NA BAHATI SANA AISEE amepata bwana material
 
WAKIKATAA kupokea naenda bila mahari
 
Hahahahaaaa..... Kwa dadazangu ndio unatakiwa unijange zaidi.... maana utakutana na wale wazee wanaovaliaga miwani kchini ya macho (wanakuangalia kwa juu ya miwani) wanaoko mbaya!!!

ha ha ha ha mkuu hapo sasa hii familia ya profesa wakikataa mahari yangu.
nakuja kwako aisee
 
Hahahahaaaaaa.... Mkuu was in ref. with you. not her tittle anyway...
Ha ha haaaa maadam wewe upo yote heri mkuu!!!!
Huyu shemeji MKUU rasmi ni cheo kipya na kimezingatia ugatuzi wa madaraka naona!!!!!
 
Kasinde kapigwa na dolari kila pande kachafuka noti tu.

Japo kwa uchache nimeona nikubrief yaliojiri siku chache zilizopita mkuu.

Okeee kumbe ndo weweee ........................ bass nshajua
 
Kama ndio yule dada niliemuona pale... binti mashallahhh!!!! You are very created.

Nop, hujanipata. Nilimaanisha kuwa kumbe ni wewe unayeripoti habari za Kasinde na watu wengine mahala palee okeee. Na si kuwa ni wewe uliyenidondoshea madolari nop, kwani wewe ni kijana? wewe si mzee..........!!!??? looh!! Nilipokuwa beach sikuona wazee wa rika lako halafu from toyo bodaboda to range new model.............. mmmhhhhh sio wewe bana, the dude was Nyani Ngabu na nimeshamlipizia kisasi alikomajee, hana ham na mimi. Pamoja na kuwa nililigonga gari lake na kumpiga ngumi ya kwenye bega bado alinifata polisi kituoni nilikokuwa nimejipeleka kujishtaki na kunitoa, akafuta kesi kisha akanimwagia dolari nyingine.
 
Uligonga gari yake kwa mbele au?
 
Uligonga gari yake kwa mbele au?

nilikosa greda hivo nilikuwa na nyundo nikaigonga gari ya Nyani Ngabu kwenye bonnet mbele, kwa nyuma na kwenye milango yote ubavuni. Alikuwepo eneo la tukio nilipomuangalia usoni alionesha kuchukia ila akajistukia akajidai kucheka na kutoonesha kukasirika.
 
Hahahaaaa umetumia tafsida kali mimi nilidhani ni hivi 1407157370945.jpg 1407157393367.jpg
 
Hahahaaaaa.. wala sijamaanisha ndio niliekugonga aisee... I meant I saw you. Wee na uzee huu wote nikupe dollar zote hizo wajukuu wangu nawawekea akiba gani? you cant be serious... hahahahahahaaaaa!!!!

I am Mzeee? Any way I very much enjoys who am perceived to be. Had you know. like! like! like!!!!!!!

Uione Mr Rocky ila usiseme neno mzee mwenzangu.

Nop, hujanipata. Nilimaanisha kuwa kumbe ni wewe unayeripoti habari za Kasinde na watu wengine mahala palee okeee. Na si kuwa ni wewe uliyenidondoshea madolari nop, kwani wewe ni kijana? wewe si mzee..........!!!??? looh!! Nilipokuwa beach sikuona wazee wa rika lako halafu from toyo bodaboda to range new model.............. mmmhhhhh sio wewe bana, the dude was Nyani Ngabu na nimeshamlipizia kisasi alikomajee, hana ham na mimi. Pamoja na kuwa nililigonga gari lake na kumpiga ngumi ya kwenye bega bado alinifata polisi kituoni nilikokuwa nimejipeleka kujishtaki na kunitoa, akafuta kesi kisha akanimwagia dolari nyingine.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom