Mtu anakuona kila siku na mke wako alafu anakuhuliza eti uyu ni mke wako! Hapana si mke wangu ni mganga wa kienyeji katokea sumbawanga kaja kunifundisha uchawi
MZEE; kijana siku hizi unafanya kazi wapi?
KIJANA; nipo tu nyumbani
MZEE; acha uongo kijana si umeajiliwa pale kwenye kampuni mpyaa
KIJANA; kama unujua ukweli halafu bado unauliza maanake unataka kujua uongo