Stronghold ya CCM imebaki sehemu gani?

Stronghold ya CCM imebaki sehemu gani?

manning

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
5,093
Reaction score
11,948
Wakuu naomba mnisaidie hasa wana CCM wenzangu kwa sasa stronghold yetu iko sehemu gani ya Tanzania?. Kwa sababu Visiwani ni CUF wanatamba, kasikazini na kasikazini magharibi ni CDM inatamba Magaribl na kusini magaribi ni CDM na NCCR wanatamia. Kusini kwa gesi haitoki wote tunaelewa , kwa hali ilivyo sasa tunaweza hata tusipate mgombea uchaguzi ukifanyika huko sasa.
Hapo ndipo najiuliza strong hold yetu ni ipi?
 
Mkuu mikoa ifuatayo ccm iko juu mno na 2015 wala hatutatumia nguvu kubwa kwenyebkampeni: Tanga,Tabora,Singida, Mtwara, Songea, Morogoro, Mwanza(3/4) Musoma (3/4) Bukoba (asilimia 90%), Pwani , Lindi, Iringa( 3/4), Mbeya (1/2) Shinyanga( 1/2) , Arusha (1/4), Kilimanyaro ( 1/2) na mnyara ( 1/2) maeneo yote ambayo sikuweka asilimia ninmaeneo ambay ccm itapata kura za kishindo yaani asilimia tisini na kuendelea. Nyie endeleeni kupiga porojo tu.
 
Pwani ndio maccm wamebaki kwa sababu ya kuhongwa ubwabwa. Si umesikia wanaandamana kupinga 'wapigwe tu hao' kufikishwa mahakamani.
 
Mkuu mikoa ifuatayo ccm iko juu mno na 2015 wala hatutatumia nguvu kubwa kwenyebkampeni: Tanga,Tabora,Singida, Mtwara, Songea, Morogoro, Mwanza(3/4) Musoma (3/4) Bukoba (asilimia 90%), Pwani , Lindi, Iringa( 3/4), Mbeya (1/2) Shinyanga( 1/2) , Arusha (1/4), Kilimanyaro ( 1/2) na mnyara ( 1/2) maeneo yote ambayo sikuweka asilimia ninmaeneo ambay ccm itapata kura za kishindo yaani asilimia tisini na kuendelea. Nyie endeleeni kupiga porojo tu.

Ilikuwa miaka 2 iliyopita. Roho zetu ktk majimbo uliyataja hapo juu: 1/4 ni CCM na CDM ni 3/4.
 
Ktk mikoa ya Ruvuma,Mtwara,Lindi,ambako mlikuwa mnazoa kura hiyo imebakia historia tu,ccm hamtakiwi hata kidogo.mfano juzi Mbunge wa newala aliandaa futari kwa wananchi ili kujipendekeza matokeo watu wakaisusa na ilibidi awape wafungwa ndio walio kula.
 
Mkuu mikoa ifuatayo ccm iko juu mno na 2015 wala hatutatumia nguvu kubwa kwenyebkampeni: Tanga,Tabora,Singida, Mtwara, Songea, Morogoro, Mwanza(3/4) Musoma (3/4) Bukoba (asilimia 90%), Pwani , Lindi, Iringa( 3/4), Mbeya (1/2) Shinyanga( 1/2) , Arusha (1/4), Kilimanyaro ( 1/2) na mnyara ( 1/2) maeneo yote ambayo sikuweka asilimia ninmaeneo ambay ccm itapata kura za kishindo yaani asilimia tisini na kuendelea. Nyie endeleeni kupiga porojo tu.

Naomba tathimini yako
Mkuu vip Mtwara na Lindi ?
 
Sehemu zenye njaa kali sana kama maeneo ya IRAMBA , kondoa na yale maeneo ambayo kilo ya sukari au unga ni habari , mtaji mkubwa sana wa ccm ni zile sehemu zenye jamii duni sana kama vile Monduli , maeneo yenye elimu duni ndiyo ngome yao , hebu fuatilia elimu ya wajumbe wao wa nyumba 10 au hata wenyeviti wa matawi yao , wengi wao hawajui kusoma na hata kuandika !
 
Mkuu mikoa ifuatayo ccm iko juu mno na 2015 wala hatutatumia nguvu kubwa kwenyebkampeni: Tanga,Tabora,Singida, Mtwara, Songea, Morogoro, Mwanza(3/4) Musoma (3/4) Bukoba (asilimia 90%), Pwani , Lindi, Iringa( 3/4), Mbeya (1/2) Shinyanga( 1/2) , Arusha (1/4), Kilimanyaro ( 1/2) na mnyara ( 1/2) maeneo yote ambayo sikuweka asilimia ninmaeneo ambay ccm itapata kura za kishindo yaani asilimia tisini na kuendelea. Nyie endeleeni kupiga porojo tu.

Pole sana, wewe unaishi Tanzania kweli.Na Bukoba/Kagera kwi kwi kwi kwi kwi.muulize JK 2O1O ilikuwaje?
 
Ni Zanzibar tu,si unajua kule mna mke mbichi,CUF?
 
Mkuu mikoa ifuatayo ccm iko juu mno na 2015 wala hatutatumia nguvu kubwa kwenyebkampeni: Tanga,Tabora,Singida, Mtwara, Songea, Morogoro, Mwanza(3/4) Musoma (3/4) Bukoba (asilimia 90%), Pwani , Lindi, Iringa( 3/4), Mbeya (1/2) Shinyanga( 1/2) , Arusha (1/4), Kilimanyaro ( 1/2) na mnyara ( 1/2) maeneo yote ambayo sikuweka asilimia ninmaeneo ambay ccm itapata kura za kishindo yaani asilimia tisini na kuendelea. Nyie endeleeni kupiga porojo tu.

Unajidanganya Ndugu, Mwakani sio Mbali, Tusubiri Kura za serekali za Mtaa. Ila mimi naami mmebakiza Pwani tu. Na kwenye Uraisi Kete yenu ya Udini wa Msikitini itakuwa haina Nguvu tena, Kwani Sitegemei Mwiislam Mwingine kuwa Mgombe wa MACCM, Nijuavyo ni Membe au Lowassa.
 
Hujajua?siku hizi Edward Lowassa anaitwa ABDALLAH LOWASSA!Chezea urais wewe!!!
 
Mikoa yote ya wavaa vibagarashia wanaisupport ccm, sasa itapotokea mwakani mgombea ccm akiwa mkristo sijui wataendelea kuiunga mkono au watahamia nyumba ndogo yao..
 
Mkuu mikoa ifuatayo ccm iko juu mno na 2015 wala hatutatumia nguvu kubwa kwenyebkampeni: Tanga,Tabora,Singida, Mtwara, Songea, Morogoro, Mwanza(3/4) Musoma (3/4) Bukoba (asilimia 90%), Pwani , Lindi, Iringa( 3/4), Mbeya (1/2) Shinyanga( 1/2) , Arusha (1/4), Kilimanyaro ( 1/2) na mnyara ( 1/2) maeneo yote ambayo sikuweka asilimia ninmaeneo ambay ccm itapata kura za kishindo yaani asilimia tisini na kuendelea. Nyie endeleeni kupiga porojo tu.
......blind.....tanga, tabora, singida,dodoma, pwani, baadhi ya maeneo ya morogoro..tumemaliza
 
Hujajua?siku hizi Edward Lowassa anaitwa ABDALLAH LOWASSA!Chezea urais wewe!!!

Ha ha ha hizi ni habari za kweli !!!! Mkuu aliingia lini huko au ni fununu kama ilivyokuwa kwa mzee Seleman Malecela?
 
Back
Top Bottom