Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 409
Ujinga wa magamba ni kuzidi kujidanganya kuwa salama eti wana wanachama na ngome zao kumbe watu walishahama kitambo sana...mtakufa bila kujijua wapuuzi nyie,mmekalia kubambikiza kesi za ugaidi na kuiandama chadema huku mkisahau wajibu wenu kwa jamii.