Stronghold ya CCM imebaki sehemu gani?

Stronghold ya CCM imebaki sehemu gani?

Mkuu mikoa ifuatayo ccm iko juu mno na 2015 wala hatutatumia nguvu kubwa kwenyebkampeni: Tanga,Tabora,Singida, Mtwara, Songea, Morogoro, Mwanza(3/4) Musoma (3/4) Bukoba (asilimia 90%), Pwani , Lindi, Iringa( 3/4), Mbeya (1/2) Shinyanga( 1/2) , Arusha (1/4), Kilimanyaro ( 1/2) na mnyara ( 1/2) maeneo yote ambayo sikuweka asilimia ninmaeneo ambay ccm itapata kura za kishindo yaani asilimia tisini na kuendelea. Nyie endeleeni kupiga porojo tu.

Hapo mbeya umedanganya, ccm hata kura 15% hawatafikisha, watu wanajitambua huku
 
Kweli jf inasaidia sana nyie wa vyama. mnasubiri upate au niseme ate majibu then muanze halafu muanze kwenda sehemu ambazo hazitatajwa.

Duh hapa mnasevu pesa kibao za kutuma watu kwenda kufanya ma savei.
 
unajidanganya ndugu, mwakani sio mbali, tusubiri kura za serekali za mtaa. Ila mimi naami mmebakiza pwani tu. Na kwenye uraisi kete yenu ya udini wa msikitini itakuwa haina nguvu tena, kwani sitegemei mwiislam mwingine kuwa mgombe wa maccm, nijuavyo ni membe au lowassa.

kete ya udini itawageukia wenyewe! Hawakulijua hilo mwanzoni.
 
Mkuu mikoa ifuatayo ccm iko juu mno na 2015 wala hatutatumia nguvu kubwa kwenyebkampeni: Tanga,Tabora,Singida, Mtwara, Songea, Morogoro, Mwanza(3/4) Musoma (3/4) Bukoba (asilimia 90%), Pwani , Lindi, Iringa( 3/4), Mbeya (1/2) Shinyanga( 1/2) , Arusha (1/4), Kilimanyaro ( 1/2) na mnyara ( 1/2) maeneo yote ambayo sikuweka asilimia ninmaeneo ambay ccm itapata kura za kishindo yaani asilimia tisini na kuendelea. Nyie endeleeni kupiga porojo tu.

Makupa Tanzania hakuna mikoa hii- Songea, Bukoba, Musoma.
 
Mikoa yote ya wavaa vibagarashia wanaisupport ccm, sasa itapotokea mwakani mgombea ccm akiwa mkristo sijui wataendelea kuiunga mkono au watahamia nyumba ndogo yao..

'na yeye si wamemvalisha kibaraghashea ndugu au hukumuona na joho juu na yeye amekuwa mpwani pwani asije akaliwa kiboga,ohoooo...'
 
Pwani,ruvuma,dodoma ila musoma vijijini lolote linaweza kutokea .
 
Mfano Arusha yenye wilaya sita,ukiondoa arusha mjini na karatu kote ni maccm,kilimanjaro kwenye wilaya sita ukiondoa hai na moshi mjini kote utakapoenda ni maccm,lakini tathimini ilivyo magwanda wataingiza idadi kubwa ya wabunge lakini hawatashinda nafasi ya urais
 
Tafuta mikoa yenye maendeleo duni na ambayo elimu hasa juu ya uraia na utambuzi juu ya rasilimali haijafika, ukipata bac ndio ngome ya ccm
 
Mkuu mikoa ifuatayo ccm iko
juu mno na 2015 wala hatutatumia nguvu kubwa kwenyebkampeni:
Tanga,Tabora,Singida, Mtwara, Songea, Morogoro, Mwanza(3/4) Musoma (3/4)
Bukoba (asilimia 90%), Pwani , Lindi, Iringa( 3/4), Mbeya (1/2)
Shinyanga( 1/2) , Arusha (1/4), Kilimanyaro ( 1/2) na mnyara ( 1/2)
maeneo yote ambayo sikuweka asilimia ninmaeneo ambay ccm itapata kura za
kishindo yaani asilimia tisini na kuendelea. Nyie endeleeni kupiga
porojo tu.

Nilizani utasahau Tabora maana huku bado tumelala sana tuta endelea na mafisadi CCM hadi tukome.
 
Hata huu mkoa uliojazana wagogo na warangi bado ni ngoma yetu, tena huku ushindi ni 99%
 
Tafuta mikoa yenye maendeleo duni na ambayo elimu hasa juu ya uraia na utambuzi juu ya rasilimali haijafika, ukipata bac ndio ngome ya ccm

mfano,Geita,Tanga,bagamoyo,lindi,mtwara,pwani na rukwa.huko idadi ya raia ni ndogo alafu ndio inaongoza kwa njaa na umasikini.ukiwapa khanga wanatunza kabatini hadi sikukuu
 
Hata huu mkoa uliojazana wagogo na warangi bado ni ngoma yetu, tena huku ushindi ni 99%

Ha ha ha Mkuu umesema kweli Mkoa wetu huu ukisha wapa tishet kanga utasikia chalumba mbhaaa. Ukiwaongezea mabhulagadugu hapo ndo unaweza hata kuchukua vidosho wao woote kiulaini kabisa.
 
Mfano Arusha yenye wilaya sita,ukiondoa arusha mjini na karatu kote ni maccm,kilimanjaro kwenye wilaya sita ukiondoa hai na moshi mjini kote utakapoenda ni maccm,lakini tathimini ilivyo magwanda wataingiza idadi kubwa ya wabunge lakini hawatashinda nafasi ya urais
Acha fix wewe ina maana Nasare siyo mbunge? Rombo jee?
 
Kweli jf inasaidia sana nyie wa vyama. mnasubiri upate au niseme ate majibu then muanze halafu muanze kwenda sehemu ambazo hazitatajwa.

Duh hapa mnasevu pesa kibao za kutuma watu kwenda kufanya ma savei.

Mkuu umesema kweli kabisa
 
Mkuu mikoa ifuatayo ccm iko juu mno na 2015 wala hatutatumia nguvu kubwa kwenyebkampeni: Tanga,Tabora,Singida, Mtwara, Songea, Morogoro, Mwanza(3/4) Musoma (3/4) Bukoba (asilimia 90%), Pwani , Lindi, Iringa( 3/4), Mbeya (1/2) Shinyanga( 1/2) , Arusha (1/4), Kilimanyaro ( 1/2) na mnyara ( 1/2) maeneo yote ambayo sikuweka asilimia ninmaeneo ambay ccm itapata kura za kishindo yaani asilimia tisini na kuendelea. Nyie endeleeni kupiga porojo tu.

...hiyo Mwanza ni ya Tanzania au ya Zambia?...
 
Mkuu mikoa ifuatayo ccm iko juu mno na 2015 wala hatutatumia nguvu kubwa kwenyebkampeni: Tanga,Tabora,Singida, Mtwara, Songea, Morogoro, Mwanza(3/4) Musoma (3/4) Bukoba (asilimia 90%), Pwani , Lindi, Iringa( 3/4), Mbeya (1/2) Shinyanga( 1/2) , Arusha (1/4), Kilimanyaro ( 1/2) na mnyara ( 1/2) maeneo yote ambayo sikuweka asilimia ninmaeneo ambay ccm itapata kura za kishindo yaani asilimia tisini na kuendelea. Nyie endeleeni kupiga porojo tu.
Kweli kipenda roho hula nyama mbichi! Chongo huita kengeza......
 
Back
Top Bottom